and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Jirani zetu Rwanda Ni ngumu kusikia vikundi Kama Panya Road.
Kule adabu ipo maana wajeda wanazunguka barabarani na SMG au AK-47 muda wote na ukileta mchezo unapata kile unastahili mubashara (live) na hakuna sijui NGOs sijui Human rights report, Usalama Kwanza.
Inasikitisha Tungekinya wameshindwa kushughulikia kikundi cha wahuni wachache.
NB: Usalama Rwanda ndio umewawezesha kupata nafasi ya ku-host CHOGM 2022 na mikutano mikubwa duniani