4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
acha ubish wa kitoto , yaan tz tuna watu wabish na hata hawajatembea , Rwanda ipo salama kuliko bongo , Rwanda ukipigwa tukio bas kuna mkono wa serikali na sio watu from no where kama panya roadHuna akili Yani kwa swala la usalama ndo uilinganishe Tanzania na Rwanda? Vipi hujui hiyo nchi hadi Sasa hivi Ina waaasi? Je huo usalama ni upi unaosemea? Kabla ya kuposti tumia kwanza akili kwa swala la usalama Tanzania inaongoza East and central Africa.Kwa ishu ya usalama Rwanda Hali yake ni ngumu sana kwa Sababu anytime huyo Kagame anapinduliwa ukizingatia nchi haiana political succession kama Tanzania.