Tatizo wameshapata watetezi humu humu jana mbichi usiku saa nne mitaa ya boko muuza duka wetu yupo hoi bin taabani sio wa kupona hao watoto wamemkata kata vibaya na kuchukua kila kitu [emoji25][emoji25]
Ile nchi haina utawala wa sheria, huku watu angalau wanafikishwa mahakamani, huwezi kupiga risasi Kila mtu barabarani. Rwanda sio nchi ya kututolea mfano Tanzania, Rwanda ni Mali ya mtu mmoja, Tanzania inaongozwa kitaasisiJirani zetu Rwanda Ni ngumu kusikia vikundi Kama Panya Road.
Kule adabu ipo maana wajeda wanazunguka barabarani muda wote na ukileta mchezo unapata kile unastahili mubashara (live).
Inasikitisha Tungekinya wameshindwa kushughulikia kikundi cha wahuni wachache.View attachment 2374333
Ukubwa wa nchi siyo kigezo halisi cha kushindwa kuzuia uhalifu.nchi kama ni kubwa unamaana hata jeshi litakuwa kubwa ili kuweza kukabili ukubwa wa eneo hilo.Rwanda ni ndogo sana kuidhibiti. Rpc wa tabora ni zaidi ya igp wa rwanda kwa majukumu.
Nadharia ya uharifu ni kuwa kadri watu wanakuwa wengi na wakosaj wanaongezeka.
Hongera PT kwa kupunguza uharifu.
Hivi kwanini mnapenda kujitetea kwa kusema rwanda ni ndogo kama nchi mnaiona kubwa na kuwashinda igaweni basi. Hivi tz ni kubwa kuliko nchi zote duniani. Ok mbona panya road wanauwa watu dar ina maaba dar nu kubwa kuliko rwandaRwanda ni ndogo sana kuidhibiti. Rpc wa tabora ni zaidi ya igp wa rwanda kwa majukumu.
Nadharia ya uharifu ni kuwa kadri watu wanakuwa wengi na wakosaj wanaongezeka.
Hongera PT kwa kupunguza uharifu.
ISIS i miss you mama.Wapigwe shaba tu hao vijambazi vidogo visije vikakuwa vikawa majambazi walahi![emoji3062]
Wapigwe shaba na wazikwe kaburi moja wasiwasumbue majirani na wazazi kuzika dadadeki zao walahi [emoji35]
Rwanda ni ndogo sana kuidhibiti. Rpc wa tabora ni zaidi ya igp wa rwanda kwa majukumu.
Nadharia ya uharifu ni kuwa kadri watu wanakuwa wengi na wakosaj wanaongezeka.
Hongera PT kwa kupunguza uharifu.
Ile nchi haina utawala wa sheria, huku watu angalau wanafikishwa mahakamani, huwezi kupiga risasi Kila mtu barabarani. Rwanda sio nchi ya kututolea mfano Tanzania, Rwanda ni Mali ya mtu mmoja, Tanzania inaongozwa kitaasisi
Kama ulikuwepo umemjibu swafi kabisa mtu kabla hujaja humu fanya ka utafiti kidogo angalia ratio ya askari kwa raia jiografia ya nchi n.k kha Rwanda na Tz wapi na wapiRwanda ni ndogo sana kuidhibiti. Rpc wa tabora ni zaidi ya igp wa rwanda kwa majukumu.
Nadharia ya uharifu ni kuwa kadri watu wanakuwa wengi na wakosaj wanaongezeka.
Hongera PT kwa kupunguza uharifu.
kabisa kabisa watu weusi sio wa kuwapa sijui demokrasia mara sijui haki za binadamu,waswahili ni wa kupeleka mputa mputa.ukiiba mali ya umma pigwa chuma,panya road piga chuma,ukilawiti watoto chuma n,kMwendo wa Chuma kama Saudi Arabia
Dar ni kubwa kuliko Rwanda ? panya road wapo darRwanda ni ndogo sana kuidhibiti. Rpc wa tabora ni zaidi ya igp wa rwanda kwa majukumu.
Nadharia ya uharifu ni kuwa kadri watu wanakuwa wengi na wakosaj wanaongezeka.
Hongera PT kwa kupunguza uharifu.