Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri



Umesema wewe ni Muhindu, kwanini hamli nyama ya ng'ombe ??
 


Kumbe waogopa Kiarabu na huogopi kiingereza!!?

Hivi huko Kenya huwa hawafyatui Adhana za kiarabu??--- je imekatazwa kutoa adhana huko kama Rwanda??
 

tanzania waislamu na wakristo sio nusu kwa nusu. waislamu ni 80% ndio maana sensa ya kuhesabu watu wanakataza kutaja dini ili isijulikane na hii aliianzisha mtaifisha majumba ya waislamu nyerere
 
Umesema wewe ni Muhindu, kwanini hamli nyama ya ng'ombe ??
Dini ya mchongo tu hiyo haiwezi kujisimamia.
Ushashindwa kujibu swali unatapatapa, yani bila kumjengea muamini hofu hamna kitu huko, bila kutisha watu hamjakaa kwa amani kwa sababu mnajua imani yenu hiyo ni dhaifu sana.

Embu fikiria hichi kidogo tu bila Ukristo hakuna hiyo imani ila kuna Ukristo bila Uyahudi sijui unanielewa?
 

muislamu yeyote anapokuwa muislamu anaelewa lugha ya adhana inasema nini na kuswali anajua kusoma kwa lugha ya kiarabu. huwezi kuibadilisha adhana iwe ya kiswahili hii si roman katolik. mkristo mtanzania anapoenda china anapata tabu kusali hajui lugha wanayoitumia kanisani, muislamu mtanzania anapokwenda china akienda msikiti wa wachina atasali kama vile yupo tanzania tena anaweza pia kuwaongaza kuwasalisha wachina maana tunatumia lugha moja na mafundisho ya kusali ni yaleyale
 
Kumbe waogopa Kiarabu na huogopi kiingereza!!?

Hivi huko Kenya huwa hawafyatui Adhana za kiarabu??--- je imekatazwa kutoa adhana huko kama Rwanda??

Halafu kiarabu chenyewe hamfundishwi huko kwenye shule zenu, kipo tu kwenye misikiti, unafyatukia watu alfajiri kama chizi na likanzu lako....hehehe nyie kituko bana.
 


Dini ya kihindu ni kwa ajili ya Wahindi je wewe ni Muhindi??!!
 
Athari kimazingira haina?
Mimi nimelala zangu sina habari nao wananiamsha saa 11 huo sio usumbufu?

Unajua hayo mavipaza sauti yameanza kutumika lini?
Tangu hata kagame ajazaliwa yapo pia hata tusio waislamu adhana inatusaidia kuwahi kuamka.
 
unafyatukia watu alfajiri kama chizi


Umefikia stage hii ??!---- the exceedingly hatred !!.

Wewe umeishi Tz je umepata kuwasikia Wa Tz wasiokuwa Waisilamu wakilakamika juu ya adhana ya Alfajiri?? au umepata kuwasikia Waisilamu wakilalamika juu ya kengele za wakatoliki kila saa 12 asubuhi na jioni??, we live in harmony and tolerences that you will never find in Kenya.

Kama kuishi bila ukabila mmeshindwa je kuvumiliana katika mambo ya imani na ibada kwa baadhi ya ninyi etheists mtaweza??

Chuki na husuda ni sumu inayotafuna roho zenu mbaya za kijahili, kishetani na ngono.

Ulitaka kuingia Uisilamu sababu ya hamu ya ngono, je hiyo hamu leo imeisha?? au ndio malaya wote wa Kakamega wanakutambua??

You adulterous.
 

Wacha kulialia...Hakuna anachukia dini lenu hilo ila acheni makelele ya kiarabu alfajiri yote, watu wamelala na watoto wachanga, lugha yenyewe haifundishwi kwenye shule yoyote ya Kayumba, unakurupuka kwenye spika na kiarabu, mkiacha hizo kero hakuna ambaye atawasema chochote, almradi hamlazimishi watu kwenye mnachokabudu huko.
 


Anzia huko kwenu Kenya kupiga campaign ya kuzuia adhana kama wewe ni kidume!!.

Rais wako U.M kenyatta anaiheshimu adhana itakuwa wewe kibiriti ngoma wa kibera!!?, una nini wewe??
 
Anzia huko kwenu Kenya kupiga campaign ya kuzuia adhana kama wewe ni kidume!!.

Rais wako U.M kenyatta anaiheshimu adhana itakuwa wewe kibiriti ngoma wa kibera!!?, una nini wewe??
Hamchelewi kujilipua na kuua raia wasio na hatia,ndio maana mambo mengi kombe linafunikwa!Kagame yeye kawadhibiti!
 
Anzia huko kwenu Kenya kupiga campaign ya kuzuia adhana kama wewe ni kidume!!.

Rais wako U.M kenyatta anaiheshimu adhana itakuwa wewe kibiriti ngoma wa kibera!!?, una nini wewe??

Izuiwe kote, nimefurahi sana kamanda Kagame kuwanyoosha na kiarabu chenu hicho.
 
Hamchelewi kujilipua na kuua raia wasio na hatia,ndio maana mambo mengi kombe linafunikwa!Kagame yeye kawadhibiti!


Adhana imekuwepo pwani ya Africa mashariki hata kabla ya ukoloni wa kiingereza, Waingereza wakaingia wakaikuta Adhana na wao wakaanzisha makanisa na kengele zake bado adhana ikawepo na wao wakaruhusu uhuru wa imani na maelewano miongoni mwa jamii hata huko kwao tunapowachukulia kwamba wamestaarabika adhana ni ruksa, sasa kazi imefika kwa mtu mweusi mwenye roho na AKILI nyeusi asiyejua vipaumbele nini yeye anaona Adhana ni kero lakini umalaya, ulevi, madanguro, nk ni neema wala hana mpango navyo isipokuwa tu cheap politics eti; watajilipua!!!.
 
Hapa wamekosea. Kengele je?
Mikutano ya injili je?
PA mitaani je?
Kagame amelewa umagharibi.
 
Paul kagame noma. Ingekuwa tz tungepga kelele knoma
Analeta ujinga baada ya Ujinga jirani yetu.Hatutaki jirani mjinga kama Ukraine.Mara wakimbizi wa Uiengereza waje kwake.Mara adhana.Kama aliwahi kusifiwa eti ameleta maendeleo basi mwisho wake ni sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…