Kwa kurudia swali lako lile lile kila mara ambalo umejibiwa inaonesha umeona mwanya wa kutokea hapa ingawaje huo mwanya haupo.Na ni ishara kuwa yale majibu mengine ambayo umeyakalia kimya umeyaelewa.Nashukuru kwa hilo.Tuje kwenye hivi viswali vyako vya kitoto na vya wagonjwa wa akili tupate majibu yake kulingana na ugonjwa wako.
1.Nani alifanywa mbadala si lazima atajwe kwani kwanza Allah s.w hufanya atakalo na sisi hatumuulizi wala hatumpangii
2.Kitu muhimu alichotaka kufanya ni kumuokoa mja wake mtukufu Yesu ambaye ndiye Issa bin Maryam ili asidhuriwe na washenzi,baada ya hapo awawache maadui hao wamezubaa na wasiwe na majibu ya alipo Yesu.Eti walimzika halafu akafufuka baada ya siku tatu.Si vituko hivyo.Kwa kusema kwao huo ndio walizidi kujigaragaza na Allah s.w anawacheka na wanachekesha mpaka leo.
3.Tulisema hapo juu na.1 kuwa Allah ana hekima sana analofanya haulizwi na iwapo hujaona hekima yake leo utajuwa hapo baadae.Kwa huko kufananishwa Issa a.s faida zake ni hizo hapo juu na.2
4.Hizo simulizi kuwa kuna walioshuhudia ambazo unazisoma kwenye biblia,kitabu chenye makosa 50,000 nakupa pole.
Nakunasihi umuangalie tena yule mtafiti Ahmed Deedat ambaye hata papa wa enzi zile alimuogopa na alimkimbia.
Wewe ni nani unayetaka kutetea simulizi za kwenye Biblia ambayo naamini hujaiweka akilini japo misitari mitano.Msikilize hapo chini.
Usipaniki jibu maswali , hujajibu
Kumbuka Allah alifanya mtu anaefanana na Isa kabisa na ndio maana Jews wakasema wamemuona na wamemuua
, Tunataka kujua haya mwaswali
1. Nani alifanywa mbadala wa isa?
2. Allah anakiri Isa bandia aliuawa kwa nini Allah alitoa mtu mwingine innocent afe?
3. Watu waliona Isa bandia kafa na kafanana na original , kwa nini Allah aliwadanganya?
4. Waliona na kushuhudia na Alie waekea bandania nani muongo? Walio andika walichoona kwamba kasukubia au Alie wafanyia bandia?