Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Wewe ni mpuuzi kabisa.Yaani watu wanaweza kumuona Yesu akifanya miujiza lakini hawawezi kumuona Muhammad akifanya miujiza. Kama zote ni hadithi basi hizi zinazomuhusu Muhammad s.a.w ni za kuaminika zaidi kwa sababu zimekusanywa kitaalamu na ni miaka ya karibuni kuliko wakati wa Yesu. Halafu habari za Yesu kwenu mnasoma kwenyee biblia kitabu kilichojaa makosa.Ukitaka habari za uhakika za Yesu utazipata katika Qur'an na vitabu vyetu vya hadithi. Huyu Yesu anatuhusu sisi waislamu zaidi kwa sababu ni mwenzetu katika imani.Swali nani alimuona akiwa anapaa, issue ya kuadithia Haina mashiko kabisa , Yesu alifanya miujiza na watu walikuwa wanaona kwa macho sio Hadith
Kumbuka pia Muhammad alikuwa mgonjwa , anafikiri kafanya kitu kumbe hajafanya
The Prophet (ﷺ) continued for such-and-such period imagining that he has slept (had sexual relations) with his wives, and in fact he did not ....Sahih al-Bukhari 6063
Kumbuka kuwa kitabu cha Qur'an ni kitabu cha miujiza hivyo habari zinazotajwa humo ni kweli tupu,sisi hatuwezi kumpa Yesu sifa chini ya hadhi yake ya kiutume kuliko mnavyofanya nyinyi. Eti alisulubiwa huku analia. Katika Qur'an hatukubali kudhalilishwa namna hiyo na Mwenyezi Mungu ameukataa uzushi huo.Angalia Qur'an 4:157