Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

I don't even know why you were even waste your energy and time [emoji23]
Even me I don't know why[emoji3].

Lakini jamaa anatuzoea sana waislamu, imagine nilimkuta na hizi DHWALAALAAT zake kwenye Uzi wa sports!!!

Yaani huyu jamaa angekuwa anaung'atia meno ukristo wake, kama hivi anavyoung'atia meno uislamu, huwenda angekuwa kadinali sasahivi au papa kabisa.

Maana hachoki, kutwa yeye na hadithi na aya, halafu mambo nyeti kuhusu ukristo wake hajui[emoji3]
 
Unapo ita watu ignorant haisaidii
Nadhani umeninukuu vibaya, because according to definition.

جهل مركب هو إدراك شيء ضد ما هو عليه
Au hii definition ya uongo?
 
Even me I don't know why[emoji3].

Lakini jamaa anatuzoea sana waislamu, imagine nilimkuta na hizi DHWALAALAAT zake kwenye Uzi wa sports!!!

Yaani huyu jamaa angekuwa anaung'atia meno ukristo wake, kama hivi anavyoung'atia meno uislamu, huwenda angekuwa kadinali sasahivi au papa kabisa.

Maana hachoki, kutwa yeye na hadithi na aya, halafu mambo nyeti kuhusu ukristo wake hajui[emoji3]
Sisi sehemu yoyote mnayoweka uongo tupo Kuweka kweli

Kule nilikuta muislamu anabisha Koran ikisomwa majini hawaaogei kusikiliza,
 
Even me I don't know why[emoji3].

Lakini jamaa anatuzoea sana waislamu, imagine nilimkuta na hizi DHWALAALAAT zake kwenye Uzi wa sports!!!

Yaani huyu jamaa angekuwa anaung'atia meno ukristo wake, kama hivi anavyoung'atia meno uislamu, huwenda angekuwa kadinali sasahivi au papa kabisa.

Maana hachoki, kutwa yeye na hadithi na aya, halafu mambo nyeti kuhusu ukristo wake hajui[emoji3]
[emoji23]
 
Kwa hili Rwanda nawapongeza sana, zile kelele za alfajiri zinakera sana.

Hii ni Taharifa ya BBC...

Waislamu wanaoadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani nchini Rwanda hawasikii adhana wakati wa swala ya asubuhi, na huenda wasisikie tena, kutokana na marufuku iliyowekwa na mamlaka nchi humo.

Mwezi uliopita mamlaka ilipiga marufuku matumizi ya vipaza sauti kwenye misikiti asubuhi na mapema, ikisema kuwa ilikiuka sheria za uchafuzi wa kelele ambazo zinakataza kelele zaidi ya decibel 55 wakati wa mchana na decibel 45 usiku katika maeneo ya makazi.

Mamlaka ya Rwanda inasema kuwa wakaazi walilalamika kuhusu mwito wa mapema wa maombi - ambao hufanyika majira ya alfajiri na huchukua kama dakika mbili au tatu.
===

Waislamu wanaoadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani nchini Rwanda hawasikii adhana wakati wa swala ya asubuhi, na huenda wasisikie tena, kutokana na marufuku iliyowekwa na mamlaka nchi humo

Mwezi uliopita mamlaka ilipiga marufuku matumizi ya vipaza sauti kwenye misikiti asubuhi na mapema, ikisema kuwa ilikiuka sheria za uchafuzi wa kelele ambazo zinakataza kelele zaidi ya decibel 55 wakati wa mchana na decibel 45 usiku katika maeneo ya makazi.

"Uamuzi huo ulikiuka haki zetu za kutekeleza imani yetu," anasema Zaina Mukamabano mwenye umri wa miaka 55 ambaye anaishi katika mji mkuu, Kigali.

Anasema ni mara ya kwanza katika maisha yake kuwa hakuna wito wa maombi, au "adhan", asubuhi wakati wa Ramadhani.

Zoezi la kupachika vipaza sauti kwenye minara kwenye misikiti lilianza huko Asia katika miaka ya 1930 na kuenea kote ulimwenguni. Wito tano hutolewa kwa siku, kuwaita waumini kwa sala zao tano za kila siku.

Mamlaka ya Rwanda inasema kuwa wakaazi walilalamika kuhusu mwito wa mapema wa maombi - ambao hufanyika majira ya alfajiri na huchukua kama dakika mbili au tatu.

"Hatuna furaha ... wakati wa Ramadhani ni adhana ambayo inatuambia kuwa ni wakati wa kuanza kufunga, na sio Waislamu wote nchini Rwanda wana saa za kengele," anasema mkazi mwingine, Nuhu Bihibindi.

Bi Mukamabano anasema serikali ingeweza kuiambia misikiti kupunguza tu sauti, "kama wanavyowaambia mabaa kupunguza sauti ya muziki wao".

“Adhana ni utamaduni wetu, ni imani yetu, kuipiga marufuku ni kuwakera Waislamu, kutokuwa nayo wakati wa Ramadhani kunatia uchungu zaidi,” anasema.

Mkazi mwingine wa Kigali, Issa Karim Mugabo, anasema yeye na wengine sasa wanafikiria kupeleka serikali mahakamani.

Lakini Sheikh Souleiman Mbarushimana, mshauri wa mufti wa Rwanda, na mwanazuoni wa Kiislamu, anasema viongozi wa Kiislamu tayari wamelijadili suala hilo na serikali na kukubaliana juu ya uamuzi huo.

"Waislamu wanasema haki yao ya imani ilikiukwa ... lakini mamlaka imetuambia (Adhana)] imepigwa marufuku kwa manufaa ya wote," Bw Mbarushimana anasema.

"Tulisema kwamba lazima tukubaliane na kuendelea, kwa sababu imani yetu pia inatutaka kuheshimu uamuzi wa mamlaka."

Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
Dikteta paul kagame anayezuia uhuru wa kuabudu siku zake zitakuja kuhesabika ,mungu hawezi mvumilia
 
Mbona ni vile vile , au ulitaka ku
rekebisha nini?

Muhammad alibanwa aonesha muujiza akaja na majibu anawaambia wangojee na yeye anangojea
Ni vile vile vipi. Katika huu mjadala mwishowe unatia huruma.
 
Walikuwa wanamtaka muhammad afanye muujiza, na mpaka kafa hajafanya
Alifanya miujiza mingi kwa amri ya Mola wake.Kwanza kaacha Qur'an ambao ni muujiza wa milele. Alitoa maziwa ya kuwanywesha kundi kubwa la watu kutoka katika mbuzi aliyekuwa amekonda.Alisafiri kutoka Palestina hadi Makkah katika muda mfupi ndani ya usiku, safari ya miezi kadhaa enzi hizo.Makafiri wenzio wa Makkah wote walikubali kuwa huo ni muujiza. Muujiza mwengine alipaa mbinguni kwenda kuzungumza na Mola wake kutoka baitul maqdis hadi uwingu alikokaribiswa na Mola wake yawezekana ni nje ya Galaksi hii tunayoishi sisi yenye nyota na Jua letu.Kutoka nje ya galaksi yetu kwa sehemu ya usiku na kurudi lazima alisafiri kwa kasi zaidi ya mwangaza kwa mara nyingi sana. Hakuna ndege wala chombo chochote mpaka sasa kilichofanya safari kama hiyo.Nabii Issa a.s ambaye ndiye Yesu nay alikuwa na miujiz kadhaa kama vile kufufua mfu kwa amri ya Mola wake na kujua vilivyofichwa uvunguni ndani ya majumba.Musa a.s naye alikuwa na miujiza yake ikiwemo kupasua bahari na kupita salama na jeshi lake. kila mmoja alipewa muujiza ambao ukiuangalia kipekee utasema ni mkubwa kuliko mwengine,
 
Usiongee tu na kujaza server bila nukuu, weka verse za koran , isa verse zipo ndani ya koran sasa weka aya za muhammad na hiyo miujiza na nani aliona
 
Nafurahi sana ninapoona umeshtushwa na baadhi ya miujiza ya mitume watukufu na kutaka upewe nukuu,Ngoja kwanza nikupe nukuu ya ule muujiza mkubwa wa Nabii Muhammad s,a.w ndani ya Qur'an uliomo ndaya ya surat bani Israil aya ya 1 (17:1)
ن ّ ٗ م ۡل َ ِدهِۦ ل ۡ ب َ ِع ۡ َس ٰى ب َ ٓ أ ِي َّ َ ٱل َ ٰن ۡح ب ُ س َ ا ۡص ق َ ۡ ۡ ِج ِد ٱل َس م ۡ َ ٱل ِل َ ِام إ َر ۡ ۡ ِج ِد ٱل َس م ۡ ٱل ۚ ٓ ا َ ِن ٰت َ َاي ۡ ء ُ ِ ۥ من ه َ ِي ُ ُۥ لِن َ ۡل َو َا ح ن ۡ َك ٰر َ ِي ب َّ ٱل ١ ُ َ ِصري ۡ ُ ٱل َّ ِميع َ ٱلس و ُ ُۥ ه ه َّ ِن إ
. Allah Mtukufu Anajisifu na kujitukuza kwa uwezo Wake juu ya yasiyowezekana na yoyote isipokuwa Yeye, hapana Mola isipokuwa Yeye, hapana Mlezi isipokuwa Yeye. Yeye Ndiye ambaye alimpeleka mja Wake Muhammad, (rehema za Allah Mtukufu na amani zimshukie), kipindi cha usiku, kwa mwili wake na roho yake, katika hali ya kuwa macho na siyo ya kulala, kutoka msikiti wa Ḥarãm Uliyoko Makkah, kwenda msikiti wa Aqṣã uliyoko Bayt al- Maqdis, ambao Allah Mtukufu Amezibariki sehemu zinazouzunguka kwa matunda, nafaka na vinginevyo, na Akaufanya ni mahali pa Manabii wengi, ili ajionee maajabu ya uwezo wa Allah Mtukufu na dalili za upweke Wake. Hakika Allah Mtukufu, Aliyetakasika na kutukuka, Ndiye Mwenye kuzisikia sauti zote, Ndiye Mwenye kukiona kila cha kuonekana, na Atampa kila mmoja anachofaa kupata duniani na Akhera.
 
Kuna swali la muhimu Sana nimekuuliza

Nani aliona
 
Kuna swali la muhimu Sana nimekuuliza

Nani aliona
Hilo wala si suali la muhimu kama unavyosema.Yako maswali muhimu yanayokuhusu wewe mwenyewe ukiweza kuyajibu basi utafahamu jibu la huo muujiza.
Kwa mfano .Jee wewe unazo akili.
 
Nani aliona , miujiza unafanywa ili watu waone na waamini, kama hakuna Alie ona sio muujiza ,

Mimi naweka nikaja kesho nikakwambia nilipaa usiku wa manane mpaka kwenye mwezi na kurudi je utaniamini?
 
Nimekwambia wewe kwenye mjadala sasa unatia huruma.Badala kujibu swali la msingi unarudia misitari yako ile ile.Nilikuuliza jee wewe unazo akili.Hukujibu. Ukijibu tataendelea hapo. Kwa hilo swali lako la nyongeza mimi nitakujibu.Kwamba muujiza huo wa safari ya ajabu ulishuhudiwa na kundi la watu wa Makkah na wote wakakubali kuwa ni muujiza.Inashangaza wewe unauliza na ukijibiwa unarudia suali.Asubuhi aliporudi kutoka masjidul Aqswa ilibidi aseme kuhusu safari yake hiyo na kila aliyesikia alipata mshtuko na wakataka iwe ni sehemu ya kumuumbua Muhammad s.a.w.Akaulizwa tukiwaita watu wakusanyike hapa utasema maneno yako hayo hayo?.Akakubali waitwe na akatamka hivyo hivyo.Hakuwahi kufika Palestina lakini akajibu maswali yao yote kuhusiana na msikiti huo tangu idadi ya milango na madirisha na rangi zake mpaka wazee wote waliowahi kufika wakathibitisha kuwa ni kweli yote aliyosema.Kuhusu safari yake kwa njia ya anga kutoka Makkah mpaka Palestina akawasimulia kuhusu msafara wa kibiashara wa jamaa zao waliokuwa wakiwasubiri,akawapa taarifa juu ya mmoja ya ngamia katika msafara huo aliyepata ajali na akawa akikokotwa.Pamoja na dalili nyengine akawapa makisio ya muda watakapofika.Kila kitu kilikwenda sawa walipofika.Hawa ndio walioona na wakaamini.
Nakusubiri kama utajibu kuhusu akili zako ili tuendelee na kama bado hutajibu ngoja nizidi kukuonesha dalili za ujinga wako,Jee Yesu ni Mungu au ni mtume wa Mwenyezi Mungu?
 
Swali nani alimuona akiwa anapaa, issue ya kuadithia Haina mashiko kabisa , Yesu alifanya miujiza na watu walikuwa wanaona kwa macho sio Hadith

Kumbuka pia Muhammad alikuwa mgonjwa , anafikiri kafanya kitu kumbe hajafanya

The Prophet (ﷺ) continued for such-and-such period imagining that he has slept (had sexual relations) with his wives, and in fact he did not ....Sahih al-Bukhari 6063
 
Back
Top Bottom