Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Hapa umesema Umar alishushiwa verse azitamke , unabadili mawazo au
Hata katika kunukuu nilichosema hujawa mkweli. Mimi nimesema alitamkishwa halafu aya ikateremshwa na aliyemtamKisha.Na wala hakuteremshiwa yeye.
Hivi ndivyo ulivyoninukulu mimi Ummar r.a kutamkishwa maneno na Mwenyezi Mungu halafu ikawa ni aya katika Qur'an.
Kuonesha kuwa haikuwa muhimu kujulikana kuwa aliyetamka kama hivyo ni Ummar r.a basi hata aya ilipokuja haikusema kuwa hayo yalitamkwa naye.Bali waliomsikia ndio walifananisha na tamko lake.Muhimu ni ujumbe uliokuwemo kwenye aya.
Naamini umechoka na umeishiwa na hoja lakini kabla hajafika daktari wako Kilembwe na mimi nipo karibu nakusikilizia pumzi zako.
 
Adhana ya kutumia visa sauti sio sahihi,hii technologia ni ya hivi karibuni

Mtume Muhammad angelikuwa anaishi na sisi katika karne hii basi sifikirii kama angelitumia Vipaza sauti kwa Adhana hasa ya Asubuhi ..

Misikiti mingine huwa na Vipaza sauti venye kiwango kikubwa sana (db) ya kupiga kelele kiasi ambacho kijiji kizima kinaamka..

Wako wanaofikiri kuwa kila kelele zikizidi ndio wanapata dhawabu nyingi,[emoji23]..

Mtume aliwahi kuwaambia wafuasi wake kuwa wanaposali wasali kimya kimya, wapokwenda kwenye Nchi isiyokuwa ya kiislamu wasali kimya kimya,..hiyo ndio busara ya dini yetu

kumbuka kuwa Tanzania sio Nchi ya Kiislam..Waislam tunatakiwa tuwaheshimu wengine wasiokuwa Waislam

Serikali ilete sheria yakutotumia vipaza sauti kwenye miskiti...Ameen
Kwahiyo bwana chabuso wewe ndiye umeifahamu dini vizuri kutoka kwa mtume kuliko waislamu woote duniani?

Au haya maneno yako unayaegemeza wapi?
 
Wapi umepata habari hiz😵nesha.Usiwe unatunga kutoka kichwani kwako.
Bilal alikuwa mtumwa wa Muhammad , Muhammad alivyo kufa akanunuliwa na Abu Bakr, Bilal akamlilia Abu bakr amuachie huru baada ya mateso ya utumwa , Abu bakr akamuachia huru

Bilal akililia uhuru kwa Abu Bakr
Bilal said to Abu Bakr, "If you have bought me for yourself then keep me (for yourself), but if you have bought me for Allah's Sake, then leave me for Allah's Work." -Sahih Bukhari 5:57:99
 
Bilal alikuwa mtumwa wa Muhammad , Muhammad alivyo kufa akanunuliwa na Abu Bakr, Bilal akamlilia Abu bakr amuachie huru baada ya mateso ya utumwa , Abu bakr akamuachia huru

Bilal akililia uhuru kwa Abu Bakr
Bilal said to Abu Bakr, "If you have bought me for yourself then keep me (for yourself), but if you have bought me for Allah's Sake, then leave me for Allah's Work." -Sahih Bukhari 5:57:99
Hawa jamaa kama ulivyosema
Bila uwongo hawawezi kuitetea Dini yao na itakufa.
Yaani maandiko yao wenyewe wanayabishia hadi waoneshwe na wewe.
Sio kwamba hawayajui bali ndio aina yao ya kuitetea Dini.
Kama mtu hajui hayo maandiko basi ataongopewa mwanzo mwisho.

Hawa akili zao hazita warudi hadi wakae chini na kutafakari ni kwanini ibada zao zote wanalisujudia Jiwe Jeusi la mji wa Makka.

Bila hivyo itakuwa sawa na kutwanga maji kwenye Kinu.
 
Bora walivyo katazwa.
Hivi Mungu gani huyo kila saa anaimbwa.

Allah Mkubwa, Allah Mkubwa, Allah Mkubwa.

Ndio nini sasa. Bora kwanye adhana mngekuwa mnaitana.
Waumini tuje kwenye swala, tuje kuswali.

Sasa mnavyo paga Mikelele Allah Mkubwa ndio mnamaanisha watu wafanye nini ?

Huo mkelele wa adhana hauna maana yoyote zaidi ya kulitaja Jina la mungu wenu bure.

Watu wa Torati walisha katazwa na Mungu wao.

Kumbukumbu la Torati 5:7
"Usiwe na miungu mingine ila mimi"

Nyie mnao Uzza, Lutta na Manata.

"Kumbukumbu la Torati 5:8
Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini duniani, au kilicho majini chini ya nchi.
Kumbukumbu la Torati 5:9 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao",

Nyie mmechonga Jiwe Jeusi mmeliweka pale Maka ndani ya Alqaba mnalisujudia kila kukicha.

"Kumbukumbu la Torati 5:11 Usilitaje bure Jina la Bwana, Mungu wako; maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia, mtu alitajaye jina lake bure."

Nyie kila dakika, Allah Mkubwa, Allah Mkubwa Allah Mkubwa.
Kama mmelogwa vile.

"Kumbukumbu la Torati 5:17
Usiue."
Nyie kila siku mnachinja watu eti wamemkejeri Mtume au Allah.
Nani aliwaambia muue kwa sababu hizo. Utasikia katuambia Allah.

Imeandikwa ktk Torati, usiue.


"Kumbukumbu la Torati 5:21 Wala usimtamani mke wa jirani yako; wala usiitamani nyumba ya jirani yako, wala shamba lake, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala kitu cho chote alicho nacho jirani yako."

Muhamadi kamtamani mke wa mtoto wake wa kufikia hadi kampora.
Eti ndio Nabii huyo. Nabii wa Allah.

"Kumbukumbu la Torati 5:18
Wala usizini."
Muhamadi kaanzisha ndoa ya Mutta ya siku moja, mbili au tatu kwa malipo.
Yeye anajipa haki ya kuchukua mwanamke yeyote wa mbele yake.

Ndio maana mwanamke mateka akamtilia sumu na kumwua shauri ya uroho wa Ngono.
Ninyi kawaahidi wanawake 72 mkijilipua kwa jina la Allah.

Allah na Muhammadi ni Wapinga Kristo dhahiri kabisa waache kumsingiza Dajar.
Kila alicho kiagiza Mungu wao wanakivunja.

"Allah na Muhammadi ni Wapinga Kristo dhahiri kabisa waache kumsingiza Dajar.
Kila alicho kiagiza Mungu wao wanakivunja".

Mkristo nikiwa bia kuwa Islam ndiye mpinga Kristo anakataa, ninamuacha naenda zangu.
 
We sema tu about about.

Ungeanza kumwonya ndugu yako kwa kuanza kuongea maneno ya vitisho.

Utadhani kuna watu anawatawala.

Tumeona matukio mengi tu vikundi vya Kiislamu vinawakamata Wakristo na kuwalazimisha kusilimu au kuwachinja.

Tukio la mwaka 2015 la Chuo Kikuu cha Garissa Kenya magaidi wa Kiislamu waliwatenga Wanafunzi wa Kikristo na kuwaua, na kuwaacha Wakiislamu. Baadhi ya Magaidi hao walikuwa ni Watanzania.

ISIS, Al-qaida, Bokoharam nao wanafanya sana matukio kama hayo na kuna Watanzania.

Tunajua chuki kali isiyo na huruma hata chembe, iliyomo ktk baadhi ya Waislamu dhidi ya Ukristo na Wakristo.

Chukua matukio ya kuchomwa shule za Kikristo na Makanisa hapa kwetu TZ na Tindikari za Zanzibar.

Chukua Magaidi waliofichwa ktk jamii za Kiislamu za Mkuranga, Kilwa na Rufiji, na kufanya uhalifu mkubwa. Wakiwemo Watanzania.

Tukio la Kulipua Ubarozi wa Marekani hapa nchini lili ratibiwa na Mtanzania pia wa Dini hiyo hiyo ya Religion of Peace.

Hasira za kuchoma mabucha ya Nguruwe.
Vurugu za Mbagala nk.

Mnayakumbuka maneno ya chuki na kuhamasisha vurugu ya viongozi wenu Mashehe wa Uamsho.

Sikumbushi vurugu ila mjue kumbukukumbu zinahifadhiwa na kuchukuliwa kwa tahadhari kubwa.

Wakristo tungekuwa dhaifu hatunge baki salama leo. Ama tungesilimishwa kwa nguvu au kuchinjwa na Waislamu wanaojifanya wana Siasa kali.

Madhira yaliyo wakuta Waislamu wa Afrika ya Kati kwa Anti Baraka na wale wa India kwa Wahindu, ni shauri ya chokochoko kama hizi na vitisho vya kizembe kama anachofanya huyu Mujahidina.

Mwisho wali ishia kulia lia na kuomba huruma na kukimbilia kwa hao hao walio wafanyia fujo.

Jinga kabisa.

First of all: We strongly condemn all forms of violence acts

Second: What happened in the past between us? And what's hannenin' right now? But still you have the audacity to point finger at us, you gotta be kidding

It make no sense at all to criticise muslims for endorsing violence. How could you criticism one thing to others without applying the same logics to yours? I don't wanna go into detail, no need to point out your brutality and savagery – Luckily you can't erase the scars with a bandage

The truth is, all major religions are attached by violent extremist movement. The problem of religious violence is intrinsic to all religion. All major Abrahamic Religions scriptures contains some texts that may be used to justify violence. On this basis, any religious group members may be extreme and that is a depravity of core teachings

Pointing out the faults of others doesn't make you a Saint. Judging a whole group of people based of what one of the people in that group did/done or is doing ain't right, we should judge individually and not collectively

Stop the hate
 
Chukua Magaidi waliofichwa ktk jamii za Kiislamu za Mkuranga, Kilwa na Rufiji, na kufanya uhalifu mkubwa. Wakiwemo Watanzania.

Mnayakumbuka maneno ya chuki na kuhamasisha vurugu ya viongozi wenu Mashehe wa Uamsho.

Suppose that's true, why not applying the same parameter to Mbowe and Lissu then?

Personally, i ain't drawn to all this propaganda
 
Stop the hate
Unamjua muanzilishi

Q5:14 We had made a solemn covenant with those who call themselves Christians, but they forgot their share of the guidance that was sent to them. We have induced hatred and animosity among them which will remain with them until the Day of Judgment.......
 
Hawa jamaa kama ulivyosema
Bila uwongo hawawezi kuitetea Dini yao na itakufa.
Yaani maandiko yao wenyewe wanayabishia hadi waoneshwe na wewe.
Sio kwamba hawayajui bali ndio aina yao ya kuitetea Dini.
Kama mtu hajui hayo maandiko basi ataongopewa mwanzo mwisho.

Hawa akili zao hazita warudi hadi wakae chini na kutafakari ni kwanini ibada zao zote wanalisujudia Jiwe Jeusi la mji wa Makka.

Bila hivyo itakuwa sawa na kutwanga maji kwenye Kinu.

Aiiiight [emoji4]
 
Unamjua muanzilishi

Q5:14 We had made a solemn covenant with those who call themselves Christians, but they forgot their share of the guidance that was sent to them. We have induced hatred and animosity among them which will remain with them until the Day of Judgment.......
[emoji4]
 
Kwa hili Rwanda nawapongeza sana, zile kelele za alfajiri zinakera sana.

Hii ni Taharifa ya BBC...

Waislamu wanaoadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani nchini Rwanda hawasikii adhana wakati wa swala ya asubuhi, na huenda wasisikie tena, kutokana na marufuku iliyowekwa na mamlaka nchi humo.

Mwezi uliopita mamlaka ilipiga marufuku matumizi ya vipaza sauti kwenye misikiti asubuhi na mapema, ikisema kuwa ilikiuka sheria za uchafuzi wa kelele ambazo zinakataza kelele zaidi ya decibel 55 wakati wa mchana na decibel 45 usiku katika maeneo ya makazi.

Mamlaka ya Rwanda inasema kuwa wakaazi walilalamika kuhusu mwito wa mapema wa maombi - ambao hufanyika majira ya alfajiri na huchukua kama dakika mbili au tatu.
===

Waislamu wanaoadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani nchini Rwanda hawasikii adhana wakati wa swala ya asubuhi, na huenda wasisikie tena, kutokana na marufuku iliyowekwa na mamlaka nchi humo

Mwezi uliopita mamlaka ilipiga marufuku matumizi ya vipaza sauti kwenye misikiti asubuhi na mapema, ikisema kuwa ilikiuka sheria za uchafuzi wa kelele ambazo zinakataza kelele zaidi ya decibel 55 wakati wa mchana na decibel 45 usiku katika maeneo ya makazi.

"Uamuzi huo ulikiuka haki zetu za kutekeleza imani yetu," anasema Zaina Mukamabano mwenye umri wa miaka 55 ambaye anaishi katika mji mkuu, Kigali.

Anasema ni mara ya kwanza katika maisha yake kuwa hakuna wito wa maombi, au "adhan", asubuhi wakati wa Ramadhani.

Zoezi la kupachika vipaza sauti kwenye minara kwenye misikiti lilianza huko Asia katika miaka ya 1930 na kuenea kote ulimwenguni. Wito tano hutolewa kwa siku, kuwaita waumini kwa sala zao tano za kila siku.

Mamlaka ya Rwanda inasema kuwa wakaazi walilalamika kuhusu mwito wa mapema wa maombi - ambao hufanyika majira ya alfajiri na huchukua kama dakika mbili au tatu.

"Hatuna furaha ... wakati wa Ramadhani ni adhana ambayo inatuambia kuwa ni wakati wa kuanza kufunga, na sio Waislamu wote nchini Rwanda wana saa za kengele," anasema mkazi mwingine, Nuhu Bihibindi.

Bi Mukamabano anasema serikali ingeweza kuiambia misikiti kupunguza tu sauti, "kama wanavyowaambia mabaa kupunguza sauti ya muziki wao".

“Adhana ni utamaduni wetu, ni imani yetu, kuipiga marufuku ni kuwakera Waislamu, kutokuwa nayo wakati wa Ramadhani kunatia uchungu zaidi,” anasema.

Mkazi mwingine wa Kigali, Issa Karim Mugabo, anasema yeye na wengine sasa wanafikiria kupeleka serikali mahakamani.

Lakini Sheikh Souleiman Mbarushimana, mshauri wa mufti wa Rwanda, na mwanazuoni wa Kiislamu, anasema viongozi wa Kiislamu tayari wamelijadili suala hilo na serikali na kukubaliana juu ya uamuzi huo.

"Waislamu wanasema haki yao ya imani ilikiukwa ... lakini mamlaka imetuambia (Adhana)] imepigwa marufuku kwa manufaa ya wote," Bw Mbarushimana anasema.

"Tulisema kwamba lazima tukubaliane na kuendelea, kwa sababu imani yetu pia inatutaka kuheshimu uamuzi wa mamlaka."

Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
MIMI ni MKRISTO.

Sikubaliani na hili swala...huu ni utamaduni kama tamaduni zingine..

Kama wameanza na hili ifika baadae wanaweza sema hakuna kuabudu siku ya Jumapili au mengine yeyote.

So sio swala la kushangiria kabisa.
 
MIMI ni MKRISTO.

Sikubaliani na hili swala...huu ni utamaduni kama tamaduni zingine..

Kama wameanza na hili ifika baadae wanaweza sema hakuna kuabudu siku ya Jumapili au mengine yeyote.

So sio swala la kushangiria kabisa.
Ahsante kwa kuturejesha kwenye mada
 
Leo nimeamka mapema kusikiliza Adhana.
Baada ya Ile Allah Akbar Zikaja ngonjera nyingi sana.

Utasikia
"Swala ni Bora Kuliko Usingizi"
Inarudiwa mala kumi.

Mala akaanza kuongea ongea maneno mengi tu.

Adhana imechukua zaidi ya Robo saa mtu anaongea tu.

Adhana na ifutwe tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leo nimeamka mapema kusikiliza Adhana.
Baada ya Ile Allah Akbar Zikaja ngonjera nyingi sana.

Utasikia
"Swala ni Bora Kuliko Usingizi"
Inarudiwa mala kumi.

Mala akaanza kuongea ongea maneno mengi tu.

Adhana imechukua zaidi ya Robo saa mtu anaongea tu.

Adhana na ifutwe tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23]

Tafadhali rejea post namba 207, POHAMBA alitoa ufafanuzi
 
Kwako haina hiyo unayoiita relevancy lakini kwa mujibu wa mafundisho ya Uislamu hatujaona wala haijaainishwa njia mbadala ya adhana, there is no any substitute for the Adhan call, kama ingelazimika kuwepo na njia mbadala basi mtume wetu mtukufu (saw) angeianisha njia hiyo na kwakuwa hajaiainisha njia nyingine basi hatuna excuse kushika any other way.



Ndio kuuliza ni njia.moja ya kujua nyumba ya ibada lakini Adhana nayo ni njia bora zaidi kujua mahali ulipo msikiti, kuhusu google map sio kila msikiti utaonekana katika google map na sio kila mtu ni mtaalamu wa kutumia hizo smart devices isitoshe sio kila mtu anaweza kumiliki hizo devices za gharama hivyo utaona adhana bado inabakia kuwa the universal call for all muslims of all walks of life kwani uislamu ni dini inayochukua watu wa hali zote za maisha.



Hapo nakuunga mkono na hilo ndilo fundisho la Uisilamu kwamba mara baada ya adhana kuimbwa na Waumini kukusanyika ndani ya msikiti kinachobaki ni humo ndani kufanya ibada bila kutumia Loud speaker kuwabughudhi watu waliopo nje.---- loud speaker ni kwa ajili adhana na matangazo mengine ya muhimu kwa jamii kama italazimu na sio kutumia loud speaker kurusha dua za ibada za humo msikitini.



Nyumba za ibada ni LAZIMA zijengwe kwenye makazi ya watu, nyumba ya ibada ni nyumba ya huduma ya kiroho kwa watu, kama maduka, hoteli, guest houses na lodges, bar nk, zinajengwa kwenye makazi ya watu ili huduma ziwe karibu na watu vipi nyumba za ibada kwanini zisijengwe karibu na makazi ya watu ??!!, ukipeleka nyumba za ibada mbali na watu basi watu watajenga bar nk na hivyo kumkaribisha shetani karibu na watu.

Ponder deeper.
Mbona misikitini huwa nasikiaga wanavyoswali.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
ujinga wako bado ni mkubwa kuhusu Allah s.w. Nadhani unamfananisha na miungu yenu isiyokuwa na uwezo wa chochote. Qur'an ilishushwa kwa Mtume Muhammad s.a,w na maneno yote ni yake mwenyewe.Hata Mtume s.a.w hakuweza kuongeza neno.Jibril alikuwa yuko makini kuisikiliza kila baada ya kuteremshwa.Ingekuwa kuna maneno ya Umar r.a basi angetaja jina lake humo na kusifia ushujaa wake.Na kama ni maneno ya Muhammad s.a.w basu angeingiza majina ya mama na babu zake lakini badala yake akataja na kusifia majina ya mama yake Yesu a.s na mke wa Firauni.
Maneno aliyotamka Ummar r.a na yakawemo kwenye Qur'an itakuwa alitamkishwa na Mwenyezi Mungu kwa hekima anazojuwa mwenyewe S.W. Nani alieyekufundisha kulia na kutafuta ziwa la mama ulipozaliwa.Jee una uchaguzi katika hayo.
Shida zote zinaanzaga na mawazo kama haya, kwanini usiabudu imani yako bila kudhihaki za wengine, sina uhakika kama uislam unakufundisha kuita miungu ya wengine si chochote, wapo na wenzako upande wa kikristo wanaofikiri kama wewe na wanapiga kelele usiku kucha bila kujali usingizi wa watu
 
Miaka hiyo watu walikuwa hawana saa kujua majira ndio maana adhana ilitumika, ni sawa na sasa mwezi kutoka hakuna kubahatisha maana teknoloji inaruhusu kujua precisely mpaka dakika utakapotoka
 
Vipi na wenzetu wakristo waliacha kupiga kengele lao la kuwaita watu kanisani, wakatoliki mnahusika kuharibu usingizi wa watu pia
 
Mbona misikitini huwa nasikiaga wanavyoswali.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app


Spika hasa ni kwa ajili ya adhana na inapobidi inaweza kutumika kutolea matangazo ya muhimu ya kijamii mfano matangazo ya vifo nk, na sio kutangaza dua za jinsi wanavyosali mle msikitini ikifanyika hivyo ni makosa na huo ndio usumbufu kwa jamii zote za kiisilamu na zisizo za kiisilamu.
 
Back
Top Bottom