Nazijuaga nyuzi zake
Shida ni kwamba anahisi things move smooth hajui kwaamba rwanda kwenda kenya through Lake victoria lzm wapitie kwa m7 unless awe na good term na Tz
Of which na yy ana maslai na ziwa victoria kwa nchi za maziwa makuu na tayari amefungua makucha.
Shida nyingine mambo yanaweza yasiende kama ambavyo walipangaa ktk COW, walikubaliana hadi kifikia 2020 bac kuwe SGR network from.mombasa to kigali.