luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Nazijuaga nyuzi zakeWewe utakuwa mgeni, mtoa thread ni Mdau mkubwa wa Kenya. Nyuzi mbali mbali kuhusu Kenya humwambii kitu
View attachment 1658698
Shida ni kwamba anahisi things move smooth hajui kwaamba rwanda kwenda kenya through Lake victoria lzm wapitie kwa m7 unless awe na good term na Tz
Of which na yy ana maslai na ziwa victoria kwa nchi za maziwa makuu na tayari amefungua makucha.
Shida nyingine mambo yanaweza yasiende kama ambavyo walipangaa ktk COW, walikubaliana hadi kifikia 2020 bac kuwe SGR network from.mombasa to kigali.