Bugal
Member
- Jun 1, 2024
- 50
- 101
Wenzetu wanazidi kuchanja mbuga,
Na sasa wameanza kutumia fursa ya Vyanzo vyetu vya utalii kupiga pesa.
Rwanda Air kwasasa wana Direct flights kutoka baadhi ya Miji mikubwa Duniani to Kigali, then to JNIA and KIA.
Air Tanzania hawana mpango wowote, wacha majirani watusaidie.
Few to mention Rwanda Air wana Direct flight from Paris to Kigali then KIA/JNIA
London to Kigali then KIA/JNIA.
Na wako mbioni kutua na Zanzibar.
Air Tanzania wanapeleka Airbus na Boeing Songwe.