Rwanda wanachangamka kwa Kasi, Sisi tupo tu!

Rwanda wanachangamka kwa Kasi, Sisi tupo tu!

Sisi tunatangaza Mabango ya Mwenyekiti wa CCM.
Huoni kama sisi tuna akili zaidi kuliko hata hao Wanyarwanda wako?!
To be honest boss huku matangazo kwa mfano kwenye kitovu cha London
Piccadilly circus kuweka tangazo la biashara kwa wiki ni £250,000 kwa wiki
Sawa na 875,000,000 ndio hivyo sijakosea 😄 🤣
Sasa sijui hayo mabango kilakona yanalipa kwa watalii kuyaona
Screenshot_20240911_103727_Google~2.png
 
Wenzetu wanazidi kuchanja mbuga,

Na sasa wameanza kutumia fursa ya Vyanzo vyetu vya utalii kupiga pesa.

Rwanda Air kwasasa wana Direct flights kutoka baadhi ya Miji mikubwa Duniani to Kigali, then to JNIA and KIA.

Air Tanzania hawana mpango wowote, wacha majirani watusaidie.

Few to mention Rwanda Air wana Direct flight from Paris to Kigali then KIA/JNIA
London to Kigali then KIA/JNIA.

Na wako mbioni kutua na Zanzibar.

Air Tanzania wanapeleka Airbus na Boeing
 
Kwa maneno ya Prof Assad.." Watumishi wengi wa serikalini,uwezo wao ni mdogo hivyo utendaji wao pia ni mdogo"..
 
To be honest boss huku matangazo kwa mfano kwenye kitovu cha London
Piccadilly circus kuweka tangazo la biashara kwa wiki ni £250,000 kwa wiki
Sawa na 875,000,000 ndio hivyo sijakosea 😄 🤣
Sasa sijui hayo mabango kilakona yanalipa kwa watalii kuyaona View attachment 3093131
Kweni hawawezi kupigiwa simu na kuambiwa wasipoweka Bango la Mwenyekiti watatumiwa TRA ya huko ili wanyooshwe?!
 
Watanganyika hamjui mnataka nini serikali ikitaka kufufua Hilo shirika kelele zinatoka kila Kona kuponda.

Qatar airways owns 49% of Rwanda air let that sink in.
Sisi tulikuwa na partnership na SA, Kwanza Alliance Air ,ls pili SAA na kote tukapigwa badala ya kujenga.
 
Wenzetu wanazidi kuchanja mbuga,

Na sasa wameanza kutumia fursa ya Vyanzo vyetu vya utalii kupiga pesa.

Rwanda Air kwasasa wana Direct flights kutoka baadhi ya Miji mikubwa Duniani to Kigali, then to JNIA and KIA.

Air Tanzania hawana mpango wowote, wacha majirani watusaidie.

Few to mention Rwanda Air wana Direct flight from Paris to Kigali then KIA/JNIA
London to Kigali then KIA/JNIA.

Na wako mbioni kutua na Zanzibar.

Air Tanzania wanapeleka Airbus na Boeing Songwe.
Songwe ya mbeya ?
 
Ni safi sana KUPORA madini na kuendeleza nchi yake.

sisi Tanzania tunayo madini hatuwezi kutumia kuendeleza nchi.
Imagine Kagame madini na resources tulizonazo zingekuwa za Rwanda ingetisha!!!

Bora wizi wa madini, kuliko sisi tunayo lakini hatuwezi kuyatumia
Wewe una tofauti gani na waliomuua Mzee Kibao wa CHADEMA? Unafurahia Kagame anavyoua wakongo kisa utajiri wao wa madini? Na kama angekuwa anaendeleza nchi yake kwanini wanyarwanda wanakimbia maisha magumu kwao na kwenda nchi zingine? Wewe ni mtu katili usiyefaa kwenye jamii ya wastaarabu.
 
Sisi tulikuwa na partnership na SA, Kwanza Alliance Air ,ls pili SAA na kote tukapigwa badala ya kujenga.

Sahizi wabongo hawataki shirika lifufuke na hawataki wawekezaji. Ukijaribu tu kila mtu anapiga kelele unauza nchi. Hapo hapo wanasema kwanini wengine wanaendelea. Smh
 
Sahizi wabongo hawataki shirika lifufuke na hawataki wawekezaji. Ukijaribu tu kila mtu anapiga kelele unauza nchi. Hapo hapo wanasema kwanini wengine wanaendelea. Smh
Ukiinama Nchale ukiinuka Nchale 😀
 
Back
Top Bottom