Sio mchezo, ila nafikiri sisi hatushindwi kwasababu ya parking London au Paris au Amsterdam. Fikra tu haziko sawa na sisiKupata kibali kutua Heathrow Airport ni shughuli haswa
Halafu kuegesha tu malipo yake kwa siku ni balaa
Sasa jamaa kwa jeuri huwa linakaa hata wiki
Ila sijajua sababu
Huwa naiona imepaki Heathrow kila wakati sijui kwa sababu ya Gold za jirani