Rwanda wanachangamka kwa Kasi, Sisi tupo tu!

 
Eti songwe mechaka mnoo, ni mambo ya aibu mno kwenye hili Taifa.
 
Nimecheka sana
Sasa mkuu unazunguka mdani wakati zimepaki nje
Pita Southern Perimeter Road kutokea Hatton X
Karibu na Hilton Garden Inn London Heathrow, ndio huwa ina park hapo
Sasa ukiitafuta ndani ya Heathrow utaishia kuwaona warundi tu
Mkuu nafanya kazi na security companies, huwa tu aingia mpaka kwenye tarmac area, kuwa pandisha ndege wahalifu mbalimbali wanakwenda sehemu tofauti tofauti duniani waliokuwa 'Deported' na serikali. Abiria wa kawaida mkiingia kwenye ndege hata hauwezi kuwatambua wamekaa na wadinfikizsji wao vizuri. Mara nyingi hukatiwa ticket ambazo si za mbali karibu na choo. Na tunaenda Airport zote za London Gatwick, Stansted, Luton
 
Tanzania imeendekeza kujenga wanasiasa na sio kujenga uchumi wa nchi na maendeleo ya kijamii, na pesa nyingi zinapotelea huko kwenye siasa hivyo ni sahihi tu wenzetu kenya na rwanda watupite kwa kila kitu maana wao walisha toka huko kitambo sana
 
Sina uhakika kama sisi hatufanyi hivyo. Lakini kwa mujibu wa newtimes, Rwanda inapata dola 1.5 bilioni za kimmarekani kwa mwaka kutokana na madini.

Sisi wenye madini yetu. Juzi waziri Mavunde amesema 2022 Tz ilipata 1.877 trilioni kutoka kwenye gesi, madini na mafuta na kati ya hizo milioni 402 , zilipigwa!
 
Hizo ni propaganda
 
Nimekuelewa boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…