#COVID19 Rwanda yafanikiwa kutoa chanjo kwa 10% ya watu wake

#COVID19 Rwanda yafanikiwa kutoa chanjo kwa 10% ya watu wake

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Rwanda imesifiwa kufikia lengo la dunia ambapo kila nchi itapaswa kuchanja walau 10% ya watu wake na hivyo imeondolewa katika orodha ya nchi zilizokuwa katika orodha nyekundu ya kuingia Nchi za Ulaya

Rwanda ilipokea dozi milioni 3.4 za chanjo na kuanzia mwezi Agosti hadi Septemba 24 walifanikiwa kuwapa chanjo kamili watu 1,466,966 na wengine 2,029,038 wakiwa wamepata dozi moja

Hata hivyo Kitu cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Africa(CDC) hadi sasa bara la Afrika limetoa chanjo kwa 4.06% nchi zinazoongoza kwa kutoa chanjo zikiwa Morocco, Afrika Kusini, Algeria na Tunisia

====
Rwanda hit the September global target of fully vaccinating 10 percent of its 12.9 million population against Covid-19 and is among countries recommended by the European Union to have unrestricted access for non-essential travel its territory.

The country has vaccinated 2,029,038 people with the first jab and 1,466,966 are fully vaccinated as of September 24. In August, Rwanda launched a vaccination campaign that targeted Kigali residents above the age of 18.

According to the World Health Organisation (WHO), Rwanda has received 3.4 million doses of vaccines so far. Of these, it has administered 3.3 million doses and fully vaccinated 10 percent of its population.

On Thursday, the Africa Centres for Disease Control and Prevention said in the latest weekly briefing that African countries have so far acquired 181.2 million doses of Covid-19 vaccines. The agency said around 4.06 percent of Africa's population has been fully vaccinated. Some 136.3 million of the total 181.2 million Covid-19 vaccine doses have been administered so far. Five countries — Morocco, South Africa, Egypt, Algeria and Tunisia -— have acquired and administered the most doses to their populations, according to the agency.

Morocco has so far administered 39.5 million doses, accounting for about 48.63 percent of the country's total population. So far at least 70,739,842 Covid-19 tests have been conducted on the continent. These numbers are expected to increase as Tanzania committed to official publishing of Covid-19 statistics as part of conditions to access $567.25 million International Monetary Fund loan, disbursed earlier this month to mitigate effects of the global pandemic.

Finance minister Mwigulu Nchemba in an official letter dated August 20 to the Fund, pledged; "We are committed to start, by end-September 2021, to regularly and transparently report and disseminate critical information on the pandemic to the WHO and the public at least weekly," said Mr Nchemba. Tanzania stopped official publishing of Covid-19 data in April last year, with only 509 cases and 21 deaths reported then.

The IMF says on its website that the loan endorsement and disbursement are in response to Tanzania's need for "urgent financial assistance" to implement its Covid-19 response plan.
 
Ndo maana mama anakazan huko ulaya...japo chanjo zinadoka ila anataka aongezewe nyingine
 
Hawa ambao sie tumeshawachoma si ni sawa na rwanda nzima
Hapana,

Rwanda inakadiriwa kuwa na raia 12,630,000

Kwa mujibu wa WHO,

Tanzania imechanja watu 389,807

Tukichukua idadi ya tuliochanja / Idadi ya raia wa Rwanda X 100 ili tupate %

Itakuwa 389,807/12,630,000 = 3.086 %

Inamaana Rwanda ingehesabika imechanja 3.086%

===
Sisi tuna muitikio mdogo sana kwenye chanjo, na utoaji elimu kuhusu umuhimu wa chanjo ni mdogo mno, ndio maana tunasuasua.
 
Mkuu wewe umechanja?
Mie tayari
 
Inaonekana nchi zilizochanja kwa wingi ni Ile ambazo zima uchumi mzuri na raia wake wamesoma. Morocco, Algeria, Tunisia na South Africa. Nchi ambazo raia wake wabishi kuchoma ni zile ambazo raia wake ni mbumbumbu na maskini, Tanzania et al.

Fikiria Morocco imechanja asilimia 43 ya raia wakati Tanzania ni kama asilimia moja.
 
Sijui kwanini mnahusisha kukubali chanjo na elimu, kwani hizo chanjo zengine ambazo watu wamechanjwa bila kupinga walikuwa na elimu gani hadi wakakubali hadi sasa ionekane kuwa watu hawataki kuchanjwa kwa sababu tu ya kukosa elimu?
 
Sababu kuu ya kukataa chanjo ni ujinga. Hizo zingine ni za kutengeneza.
 
Inaonekana nchi zilizochanja kwa wingi ni Ile ambazo zima uchumi mzuri na raia wake wamesoma. Morocco, Algeria, Tunisia na South Africa. Nchi ambazo raia wake wabishi kuchoma ni zile ambazo raia wake ni mbumbumbu na maskini, Tanzania et al.

Fikiria Morocco imechanja asilimia 43 ya raia wakati Tanzania ni kama asilimia moja.
Tunaendelea kusikilizia mgando kwanza...
 
Sababu kuu ya kukataa chanjo ni ujinga. Hizo zingine ni za kutengeneza.
Nimekuuliza hivi hizo chanjo zengine ambazo watu wamezikubali au walizikubali ni kwamba walikubali kwa sababu ya ujinga pia au hawakuwa wajinga walikuwa wameelimika?
 
Nimekuuliza hivi hizo chanjo zengine ambazo watu wamezikubali au walizikubali ni kwamba walikubali kwa sababu ya ujinga pia au hawakuwa wajinga walikuwa wameelimika?
Huyo jamaa hapo pichani kwako aliambiwa oyaaa chanja akabaki akisema hio Ni Vita ya kiuchumi,kilichofuata TBC Ni wimbo wa Taifa.
 
Huyo jamaa hapo pichani kwako aliambiwa oyaaa chanja akabaki akisema hio Ni Vita ya kiuchumi,kilichofuata TBC Ni wimbo wa Taifa.
Chanjo inazuia kifo? Una hakika hakuchanja? unaweza kuthibitisha kweli hakuchanja chanjo ya China kama vilivyokuwepo tetesi humu?
 
Chanjeni kwani lazima? Halafu vitu vingine woga tu tangu korona ianze mpaka sasa mbona hatujachanja tunadunda tu .
Dunia inataka asilimia 10 kwanini badala ya 75% au 100% kuweni na akili
Tunakusanyika bila barakoa wala sanitizer wala hatuugui miaka inasonga
 
Chanja oooooh hii Ni Vita ya kiuchumi.
Saudia Arabia huingii kwake kwa chanjo za China pamoja na kuwa zimeidhinishwa na WHO.

Mara kachanja kisirisiri chanjo ya China mara oh kafa kwa corona kwa sababu hakuchanja, sasa hatujui hata tushike lipi?
 
Back
Top Bottom