#COVID19 Rwanda yafanikiwa kutoa chanjo kwa 10% ya watu wake

#COVID19 Rwanda yafanikiwa kutoa chanjo kwa 10% ya watu wake

Saudia Arabia huingii kwake kwa chanjo za China pamoja na kuwa zimeidhinishwa na WHO.

Mara kachanja kisirisiri chanjo ya China mara oh kafa kwa corona kwa sababu hakuchanja, sasa hatujui hata tushike lipi?
Piga chanjo ww wacha manenooooo
 
Piga chanjo ww wacha manenooooo
Unahimiza chanjo wakati watu huku uraiani wameachiwa kuambukizana kadri watakavyo, sasa huo kama sio upumbavu ni nini? Kama vp mkuu kachanje tena hata mara mbili hadi tatu ilimradi ziishe kabla hazija expire.

Chanjo milioni moja tu zinashindikana kuisha hadi sasa katika watu milioni 60 halafu et watu walivyo wapumbavu kwa kufeli kwao wanatupia lawama kwa Gwajima na Magu.
 
Back
Top Bottom