Unahimiza chanjo wakati watu huku uraiani wameachiwa kuambukizana kadri watakavyo, sasa huo kama sio upumbavu ni nini? Kama vp mkuu kachanje tena hata mara mbili hadi tatu ilimradi ziishe kabla hazija expire.
Chanjo milioni moja tu zinashindikana kuisha hadi sasa katika watu milioni 60 halafu et watu walivyo wapumbavu kwa kufeli kwao wanatupia lawama kwa Gwajima na Magu.