Rwanda yaijibu barua ya bunge la Marekani dhidi ya kesi ya Rusesabagina

Aaah ila huyo jamaa alikamatwa kindezi sana......
Na ameishitaki kampuni ya ndege iliyomkamatisha,zoezi lao lilikua rahisi tu badala ya ndege kumpekeka Burundi wao wakampeleka Rwanda fasta tu.

Usalama Rwanda wamesema hio njia inaitwa Deception na inakubalika kwny medani,ila sijajua ukweli ukoje.
 
😂😂😂
 
Back
Top Bottom