Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,265 Reaction score 4,735 Dec 20, 2020 #41 Yodoki II said: Kagame lazima ataishia pabaya km Samuel Doe Click to expand... Hoja imeingwa mkono
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Dec 20, 2020 #42 Aaah ila huyo jamaa alikamatwa kindezi sana......
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,200 Reaction score 49,076 Dec 20, 2020 #43 Chikwuemeka said: Aaah ila huyo jamaa alikamatwa kindezi sana...... Click to expand... Na ameishitaki kampuni ya ndege iliyomkamatisha,zoezi lao lilikua rahisi tu badala ya ndege kumpekeka Burundi wao wakampeleka Rwanda fasta tu. Usalama Rwanda wamesema hio njia inaitwa Deception na inakubalika kwny medani,ila sijajua ukweli ukoje.
Chikwuemeka said: Aaah ila huyo jamaa alikamatwa kindezi sana...... Click to expand... Na ameishitaki kampuni ya ndege iliyomkamatisha,zoezi lao lilikua rahisi tu badala ya ndege kumpekeka Burundi wao wakampeleka Rwanda fasta tu. Usalama Rwanda wamesema hio njia inaitwa Deception na inakubalika kwny medani,ila sijajua ukweli ukoje.
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Dec 20, 2020 #44 mng'ato said: Na ameishitaki kampuni ya ndege iliyomkamatisha,zoezi lao lilikua rahisi tu badala ya ndege kumpekeka Burundi wao wakampeleka Rwanda fasta tu. Usalama Rwanda wamesema hio njia inaitwa Deception na inakubalika kwny medani,ila sijajua ukweli ukoje. Click to expand... πππ
mng'ato said: Na ameishitaki kampuni ya ndege iliyomkamatisha,zoezi lao lilikua rahisi tu badala ya ndege kumpekeka Burundi wao wakampeleka Rwanda fasta tu. Usalama Rwanda wamesema hio njia inaitwa Deception na inakubalika kwny medani,ila sijajua ukweli ukoje. Click to expand... πππ