Rwanda yaiwekea Ubelgiji vikwazo vya kiuchumi

Kataifa kadogo kanatoa vikwazo kwa taifa kubwa, ni sawa na kupigisha kidole kwenye jiwe halafu useme unalikomoa jiwe.
 
Rwanda imetangaza kusitisha ushirikiano wa kiuchumi na Ubelgiji kutokana na kuituhumu nchi hiyo kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuendesha kampeni ya kuihujumu kupata mikopo na misaada katika taasisi za kimataifa.

Ubelgiji nayo kwa upande wake imejibu mapigo kwa kueleza inafanya tathmini ya uhusiano wake na Rwanda.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Na sisi Tanzania tuiwekee vikwazo USA kwakukatisha ARVs

NB: bado Rwanda iinawndelea kutufundisha Kwamba hata hizi big power tunaweza kuzi sanctionView attachment 3241810
Kelelee za mfa maji hizi mkuu stytuned
 
Sioni Kama Ubelgiji inaweza kuilinda Kongo, hata Kama imeahidiwa kitu, ni watu dhaifu sana! Ingeomba msaada ujerumani, urusi au China, japo ni Kama amechelewa. Ila Kinshasa na Bujumbula ikiangushwa, Africa mashariki yote itakuwa chini ya miguu ya mrefu,

Hawa EAC wakiwa na maono heri wangeihami Burundi na Western Congo.
Too late
 
Inzawezekana anambdla au hana.
Maana anayetoa kauli hiyo ni raisi ila hatujui wananchi wake wanamsimamo upi. Pia hata ikitokea Rwanda ikapata madhara katika hilo sidhani kama watawala wataathirika moja kwa moja.

Ila huo msimamo wa Prezda PK ndo uhalisia au wasifu wake og sio jambo la kushangaza. Na anaweza kuwin ktk hilo tifu hususani ikiwa hao wabeljiam walikuwa wapga mkwara tuu ili Rwanda itishike.
 
Rwanda imetangaza kusitisha ushirikiano wa kiuchumi na Ubelgiji kutokana na kuituhumu nchi hiyo kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuendesha kampeni ya kuihujumu kupata mikopo na misaada katika taasisi za kimataifa.

Ubelgiji nayo kwa upande wake imejibu mapigo kwa kueleza inafanya tathmini ya uhusiano wake na Rwanda.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Na sisi Tanzania tuiwekee vikwazo USA kwakukatisha ARVs

NB: bado Rwanda iinawndelea kutufundisha Kwamba hata hizi big power tunaweza kuzi sanctionView attachment 3241810
Hiki ni kituko.

Kama ilivyokuwa kwa Zimbabwe ambapo Rais Robert Mugabe eti aliiwekea vikwazo nchi ya Uingereza chini ya Waziri Mkuu wake Tony Blair
 
Rwanda imetangaza kusitisha ushirikiano wa kiuchumi na Ubelgiji kutokana na kuituhumu nchi hiyo kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuendesha kampeni ya kuihujumu kupata mikopo na misaada katika taasisi za kimataifa.

Ubelgiji nayo kwa upande wake imejibu mapigo kwa kueleza inafanya tathmini ya uhusiano wake na Rwanda.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Na sisi Tanzania tuiwekee vikwazo USA kwakukatisha ARVs

NB: bado Rwanda iinawndelea kutufundisha Kwamba hata hizi big power tunaweza kuzi sanctionView attachment 3241810
Nawawaomba wizara ya mambo ya nje "hili nalo mkalitazame"
 
Back
Top Bottom