Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 12,445
- 27,920
Ana mvimbia member wa NATO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana mvimbia member wa NATO
Ndio anayopewa KPUnaelewa thamani ya dola trillion mkuu?
Kelelee za mfa maji hizi mkuu stytunedRwanda imetangaza kusitisha ushirikiano wa kiuchumi na Ubelgiji kutokana na kuituhumu nchi hiyo kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuendesha kampeni ya kuihujumu kupata mikopo na misaada katika taasisi za kimataifa.
Ubelgiji nayo kwa upande wake imejibu mapigo kwa kueleza inafanya tathmini ya uhusiano wake na Rwanda.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
Na sisi Tanzania tuiwekee vikwazo USA kwakukatisha ARVs
NB: bado Rwanda iinawndelea kutufundisha Kwamba hata hizi big power tunaweza kuzi sanctionView attachment 3241810
Too lateSioni Kama Ubelgiji inaweza kuilinda Kongo, hata Kama imeahidiwa kitu, ni watu dhaifu sana! Ingeomba msaada ujerumani, urusi au China, japo ni Kama amechelewa. Ila Kinshasa na Bujumbula ikiangushwa, Africa mashariki yote itakuwa chini ya miguu ya mrefu,
Hawa EAC wakiwa na maono heri wangeihami Burundi na Western Congo.
Hiki ni kituko.Rwanda imetangaza kusitisha ushirikiano wa kiuchumi na Ubelgiji kutokana na kuituhumu nchi hiyo kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuendesha kampeni ya kuihujumu kupata mikopo na misaada katika taasisi za kimataifa.
Ubelgiji nayo kwa upande wake imejibu mapigo kwa kueleza inafanya tathmini ya uhusiano wake na Rwanda.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
Na sisi Tanzania tuiwekee vikwazo USA kwakukatisha ARVs
NB: bado Rwanda iinawndelea kutufundisha Kwamba hata hizi big power tunaweza kuzi sanctionView attachment 3241810
Una maanisha Rwanda wanajipiga middle finger [emoji23]Kataifa kadogo kanatoa vikwazo kwa taifa kubwa, ni sawa na kupigisha kidole kwenye jiwe halafu useme unalikomoa jiwe.
[emoji23][emoji23]Kelelee za mfa maji hizi mkuu stytuned
Mwisho ikawajeHiki ni kituko.
Kama ilivyokuwa kwa Zimbabwe ambapo Rais Robert Mugabe eti aliiwekea vikwazo nchi ya Uingereza chini ya Waziri Mkuu wake Tony Blair
Nawawaomba wizara ya mambo ya nje "hili nalo mkalitazame"Rwanda imetangaza kusitisha ushirikiano wa kiuchumi na Ubelgiji kutokana na kuituhumu nchi hiyo kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuendesha kampeni ya kuihujumu kupata mikopo na misaada katika taasisi za kimataifa.
Ubelgiji nayo kwa upande wake imejibu mapigo kwa kueleza inafanya tathmini ya uhusiano wake na Rwanda.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
Na sisi Tanzania tuiwekee vikwazo USA kwakukatisha ARVs
NB: bado Rwanda iinawndelea kutufundisha Kwamba hata hizi big power tunaweza kuzi sanctionView attachment 3241810
Alipomvimbia JK wa TZ unakumbuka lakini?Kwa mawazo yako unazan rwanda yupo mwenyewe ??