Rwanda yakana mpango wake wa siri wa kuigawa Congo DRC kwa kunyakua eneo la Mashariki

jeshi la burundi si ndyo hilo lilifukuza waasi mkoani cibitoke waliokua wameandaliwa na kagame waliozima zoezi la mapinduzi 2015 ,kifupi kagame hawezi ingia vitani na burundi atakua amefungua mlango wa chumbani anako lala ,afanye hayo DRC kichwa cha mwendawazimu
Mkuu kama kagame kaweza watengeneza waasi ndani ya nchi ya burundi kama unavyosema ww na wakafanya mapinduzi,mapinduzi ambayo bila ya tz kuyakataa sahizi burundi ingekuwa under control ya paul kagame a.k.a mr butcher.
sasa utasema burundi ina jeshi ?.
Yani sahivi litengwe kati ya pk na mchungaji nkurunzinza,,kurunzinza anakalishwa mapema sana tunampa ifazi ya kula,kunywa na kulala hapa upanga karibu na kambi ya staff wa jw,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hawa burundi na rwanda vita kati yao wahutu na watusi wa pande zote 2 kujiunga hivyo kagame naamini hawezi kuchomoa by the way tuombe wasitwangane wajenge nchi zao maskini
 
Habari JF.

Waziri mkuu wa zamani wa Congo Matata Mponyo na kiongozi moja wa kanisa, wamedai kwa nyakati tofauti kuwa Rais Kagame anataka kuipanua Rwanda. Mpango huo wa Kagame ni kushinikiza utawala wa majimbo nchini Congo na baadae kuliingilia jimbo moja kwa kuliomba kupiga kura ya kujitenga na kujiunga na Rwanda.

Jimbo hilo ni maeneo ya Mashariki yakijumuisha Kivu kusini na kaskazini. Eneo hili lina Watusi wengi ambao ni kabila la Kagame na pia kuna raslimali nyingi kama madini, misitu, uvuvi, udongo wenye rutuba, wanyama pori nk.

Viongozi hao wawili pia wamedai vita vya Mashariki ya Congo vinachangiwa na Kagame kufanikisha mpango wake Ovu. Pia wanadai Kagame ametumia vikundi vya uasi ambavyo vimetafuta muafaka kwa kuandikishwa jeshini na vina mpango wa kuasi baadae kwa kudai taifa lao huru la KIVU.

Waziri wa nchi za nje wa Rwanda Leo ameitisha mkutano wa dharura na wanahabari wa kimataifa na wa ndani na kuwashutumu viongozi hao wa Congo kwa uchonganishi. Amesema Rwanda inataka kuona maelewano mazuri baina ya jirani zake wote ikiwepo Congo. Anedai pia maridhiano na Uganda yanaendelea na yamefika pazuri. Amesema Congo ni rafiki mzuri wa Rwanda na angependa uhusiano huo mzuri udumu na usivurugwe kwa kauli hizi tata.
Hahahaha , Kivu Republican
 
Huo mpango (kama bado upo) kwa dunia ya sasa inawezekana kutekelezwa?

Je raia wa Drc wanaoishi huko Kivu wako tayari kuwa sehemu ya Rwanda?

Je makundi ya waasi huko Kivu ikiwemo Maimai, FDLR (waasi kutoka Rwanda) wako tayari kwa hilo?
Hahahaha,

Unajua Kivu Republican ilikua hata kabla ya kagame kuzaliwa?

Kivu ,na maeneo yote ya mashariki ,toka enzi za ukoloni ni sehemu korofi ,hata kipindi cha Mobutu walisumbua

Na hilo sio wazo la PK , watu wa mashariki ,banyamulenge na wengine wamelowa pale enzi na enzi

Ukitaka kuona Kivu au mashariki ya Congo ya sasa, rejea historia ya eneo hilo toka ukoloni
 
Raia wengi wa kivu kaskazin na kusini ni wahutu na watutsi
Hahahaha , kuna walio kuwa kabla ya Uhuru Hawa walipelekwa km wafanyakazi wakalowea

Kuna walioenda baada ya machafuko ya kwanza

Kuna wa Congo ambao nao wanaona wanastahili hiko kipande

ila Watusi wengi, Kagame anataka kuwaendeleza kwa kumega pande la Ardhi
 
Kwa mikakati ya PK ilivyo ndani ya mda mfupi ujao atakua na ushawaishi na nguvu ya kijeshi na kijasusi kwenye ukanda huu wa africa mashariki na kati. Kuna kundi la watutsi wengi congo ya mashariki, Uganda, Tanzania, Burundi na wachache Kenya. PK anachohitaji ni rasililimali watu na ardhi ya kutosha. Yule bwana ukimuangalia yupo kimkakati sana na inaonesha ana kitu cha kufanya kabla hajafa ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha,

Unajua Kivu Republican ilikua hata kabla ya kagame kuzaliwa?

Kivu ,na maeneo yote ya mashariki ,toka enzi za ukoloni ni sehemu korofi ,hata kipindi cha Mobutu walisumbua

Na hilo sio wazo la PK , watu wa mashariki ,banyamulenge na wengine wamelowa pale enzi na enzi

Ukitaka kuona Kivu au mashariki ya Congo ya sasa, rejea historia ya eneo hilo toka ukoloni
Hata kama watataka jamhuri yao unafikiri serikali kuu ya Kinshasa itakubali hilo? (Rejea mzozo wa Katanga Kati ya Tshombe na Lumumba)

Hata kama watataka hilo vipi nchi jirani na marafiki wa Drc wenye nguvu,je watakubali kuzaliwa jamhuri mpya ndani ya mipaka ya maziwa makuu?

Kumbuka kama hizi nchi jirani zikiruhusu hiyo jamhuri ya Kivu kuwepo, huko kujitenga hakutaishia hapo tu,huenda ukaamsha mizozo iliyolala.

Mfano Angola; hawa wana mgogoro kule Cabinda (jimbo lenye utajiri wa mafuta) na kundi la waasi wa Flec wanaotaka kujitenga na kuunda jamhuri ya Cabinda. Ina maana kama jamhuri ya Kivu ikiwepo wale wa Cabinda watapata mori ya kuendelea kupambana. Je serikali ya Angola itakubali hilo?

Tanzania; Kama jamhuri ya Kivu itakuwepo Ina maana zile sauti za kutaka Zanzibar inayojitegemea zitaongezeka, je unafikiri Tanzania pia itakubali hilo?

Kenya; hawa wana mzozo kule Mombasa na kundi la kisiasa linalojiita MRC (Mombasa republic council) wanaodai maeneo ya pwani ikiwemo Mombasa sio sehemu ya Kenya. Je unafikiri hawa pia watakubali hilo?

Vipi nchi za SADC (Drc ikiwa mwanachama) je watakubali kuzaliwa kwa jamhuri mpya ya kikabila itakayotishia usalama wa nchi wanachama?

Je AU (African union) wako tayari kushuhudia nchi changa ikizaliwa Africa baada ya kuzaliwa Sudan kusini (ambayo Sasa imegeuka uwanja wa Vita)?

Nadhani hayo Mambo kwa dunia ya sasa hayawezekani, itabakia kuwa ndoto tu.
 
Ndiyo hivyo, alafu baadae inaungana na Rwanda na kuunda Rwaki Democratic Union. Usipime hapo. Kagame ni Rais alafu anamwachia yule kijana wake wa Jeshini akizeeka.
Kagame azeeke Mara ngapi?,yule Ni mzee Sema mkomao tu
 
Hahahaha, kifupi hawatapa

NB: April ,Sometimes in April , ngoja tuazimishe miaka 26 ya mauji ya kimbari
 
Nakubaliana na wewe ndio maana nika toa history fupi ktk eneo hilo

Kwa wengi hawajui kuwa eneo lile ni eneo mkakati kwa nchi za maziwa makuu ,litaendelea kusumbua mno
 
Ndiyo hivyo, alafu baadae inaungana na Rwanda na kuunda Rwaki Democratic Union. Usipime hapo. Kagame ni Rais alafu anamwachia yule kijana wake wa Jeshini akizeeka.
Hahahaha, mkuu Freed Freed hii ngumu kufanyika ,eneo lile litabaki ki mkakati zaidi ,khs Kivu Republican wasahau hili ,km vile wakatangee kule jimbo la Katanga walivyosagau Katanga yao
 
Sometimes in April , 26 years now
IMG_20200408_000656.jpeg
 
Hahahaha, mkuu Freed Freed hii ngumu kufanyika ,eneo lile litabaki ki mkakati zaidi ,khs Kivu Republican wasahau hili ,km vile wakatangee kule jimbo la Katanga walivyosagau Katanga yao
Hivi wale jamaa wa Kamwena nsapu waliofanya vurugu kule Kasai (anapotoka Rais Felix) walitaka kujitenga? Au ni siasa tu za ndani za kikabila na kugombea madaraka?
 
Back
Top Bottom