Rwanda yakana mpango wake wa siri wa kuigawa Congo DRC kwa kunyakua eneo la Mashariki

Rwanda yakana mpango wake wa siri wa kuigawa Congo DRC kwa kunyakua eneo la Mashariki

Waapuzi wale siasa za ndani
Wale kweli washenzi sana! Waliuwa watu hovyo bila sababu na kuzalisha wakimbizi wengi waliokimbilia Angola mpaka Serikali ya huko Angola ilisema iko tayari kupeleka jeshi lake kuisaidia serikali ya Drc kuwashughulikia hao wapuuzi.
 
Anamuandaa mwanaye ambaye yupo jeshini, Ivan Kagame kuchukua mikoba. Kaikamatwa Rwanda vibaya Sana.
Kagame akiondoka madarakani hiyo nchi itaingia kwenye machafuko. Kumpa mwanaye mikoba ni kurisishana madaraka
 
Mpaka sasa Kagame hana pumzi ya kufanya yote anayofikiria
 
Mkuu, Kagame ana nguvu na kiburi mno. Amewateka na hata kuwauwa maadui zake popote walipo duniani.
Hayo ya kuua wapinzani wake kajitahudi sana ...hilo la kuigawa Congo ndo utakua mwisho wake
 
Back
Top Bottom