Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Waapuzi wale siasa za ndaniHivi wale jamaa wa Kamwena nsapu waliofanya vurugu kule Kasai (anapotoka Rais Felix) walitaka kujitenga? Au ni siasa tu za ndani za kikabila na kugombea madaraka?
Wale kweli washenzi sana! Waliuwa watu hovyo bila sababu na kuzalisha wakimbizi wengi waliokimbilia Angola mpaka Serikali ya huko Angola ilisema iko tayari kupeleka jeshi lake kuisaidia serikali ya Drc kuwashughulikia hao wapuuzi.Waapuzi wale siasa za ndani
Kimeanza kunuka Congo, huenda kikapigwa.Kama vipi zipigwe tu ili waheshimiane maana hakuna namna ya kuendelea kuvumilia mtu kama kagame ambaye amekaa kiugomvi ugomvi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kagame anatimiza azma yake kabla hajafaKimeanza kunuka Congo, huenda kikapigwa.
Anamuandaa mwanaye ambaye yupo jeshini, Ivan Kagame kuchukua mikoba. Kaikamatwa Rwanda vibaya Sana.Kagame anatimiza azma yake kabla hajafa
Kagame akiondoka madarakani hiyo nchi itaingia kwenye machafuko. Kumpa mwanaye mikoba ni kurisishana madarakaAnamuandaa mwanaye ambaye yupo jeshini, Ivan Kagame kuchukua mikoba. Kaikamatwa Rwanda vibaya Sana.
Haahhahaha haiwezi tokea kwenye jeshi imaraUkiona Askari anaenda likizo na SMGujue nchi hiyo Haina jeshi
Anaandaa huo mpango na umeiva.Kagame akiondoka madarakani hiyo nchi itaingia kwenye machafuko. Kumpa mwanaye mikoba ni kurisishana madaraka
Mkuu, Kagame ana nguvu na kiburi mno. Amewateka na hata kuwauwa maadui zake popote walipo duniani.Mpaka sasa Kagame hana pumzi ya kufanya yote anayofikiria
Hayo ya kuua wapinzani wake kajitahudi sana ...hilo la kuigawa Congo ndo utakua mwisho wakeMkuu, Kagame ana nguvu na kiburi mno. Amewateka na hata kuwauwa maadui zake popote walipo duniani.