Rwanda yaondoa Majeshi yake DRC baada ya tishio la SA

Hii barua mbona IPO Toka mwezi uliopita?
 
propaganda za kivita na ukiangalia kwa jicho lingine ni kama ni kweli hawa wasouth Africa na mataifa mengine ni kama wanaiba madini kutoka DRC mbona wanataka kutumia nguvu nyingi kukabiliana na Rwanda .
Tatizo ni Kagame kuzungumza kauli tata na zenye taharuki.
Hata SA anaiba madini hpaswi kuzungumza kauli kama zile, kwa alichozungumza ni kama alitangaza vita.
Na wengine kuzungumza huwa hawawezi wao ni vitendo.
 
propaganda za kivita na ukiangalia kwa jicho lingine ni kama ni kweli hawa wasouth Africa na mataifa mengine ni kama wanaiba madini kutoka DRC mbona wanataka kutumia nguvu nyingi kukabiliana na Rwanda .
Wote wezi ila maslahi yamegongana
 
Ramphosa ni kijana wetu Tz,

Naipenda sana Nchi yangu nzuri TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
This time tutaona mwanaume ni nani


Pamoja na ujuzi na tekinolojia, determinant kubwa ya ushindi kwenye vita ni ukubwa wa uchumi wa Taifa husika.

Hakuna muujiza wowote wa kuiwezesha Rwanda kupigana na South Africa, halafu Rwanda ipate ushindi.

South Africa in advantage over Rwanda, kiuchumi na kijiografia. South Africa ina uwezo wa kuipiga Rwanda kwa kutumia uwanja wa DRC, wakati hakuna uwezekano rahisi wa Rwanda kushambulia ndani ya South Africa tokea Rwanda.
 
Hii barua ya, tarehe 29/01, majibizano ya, SA, na Rwanda, yametokea juzi tu! Tarehe 3!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…