Rwanda yaondoa Majeshi yake DRC baada ya tishio la SA

Rwanda yaondoa Majeshi yake DRC baada ya tishio la SA

Shillingi ina pande mbili mwenge au mkia na kichwa, katika utoaji wa habari unatoa picha Zote mbili, ni juu yako kuchukua upande, kutokana na hiyo taarifa.
Toa pande zote lakini usiseme mtu kasema kitu ambacho hajasema.
 
Haijakiri, bali imeamua kuondoa majeshi yake kutokana na Hali walioitengeneza au tuseme Hali ya hofu ya kushambuliwa
Bado mnamlisha Kagame maneno hakusema majeshi yarudi kutoka Congo.
 
Julius Malema juu ya vifoo vya Askari wa SA na Jinsi Kagame alivyomjibu Ramaphosa
 
Attachments

  • VID-20250206-WA0003.mp4
    1.5 MB
BREAKING: Kagame withdraws troops after SA Allegedly Threatens to Use Long Range Ballistic Missiles, Deploy Navy Seals and Commando Units

President General Kagame has issued an executive order directing all Ruwandan military forces to withdraw from all DRC border towns and regroup in the capital Kigali with immediate effect.

A letter issued by Rwandan Prime Minister says the withdrawal is to protect the capital Kigali and critical infrastructure. But South African insiders say the retreat is a pre-emptive move to stop South Africa from deploying the full might of its military, Naval and air forces in retaliation to the 13 soldiers it lost.

Diplomatic pressure has also been mounted on Kagame from German who suspended aid, with similar calls coming from France and the US to de-escalate tensions and bring peace in the Eastern Congo.
Ametoa majeshi kwasababu anajua Goma ipo mikononi mwao na kuikamata Goma kwao ni kama ushindi, so itabidi tu Goma irudishwe mikononi mwa Serikali ya Congolese aache janjajanja😅😅😅😅
 
propaganda za kivita na ukiangalia kwa jicho lingine ni kama ni kweli hawa wasouth Africa na mataifa mengine ni kama wanaiba madini kutoka DRC mbona wanataka kutumia nguvu nyingi kukabiliana na Rwanda .
Kwa akili zako Rwanda atakuja atawale Afrika nzima , maana unapenda anavyoua wacongo
 
‘South Africa even dares to issue threats?’ Rwanda’s Paul Kagame insists SANDF is working alongside DRC militia.

Published Jan 30, 2025

Rwandan President Paul Kagame has reacted angrily to the warning issued by South Africa following the killing of 13 members of the SA National Defence Force (SANDF) who were part of the regional peacekeeping force comprised of militaries from South Africa, Malawi and Tanzania.

On Wednesday, IOL reported that Defence and Military Veterans Minister Angie Motshekga told journalists that President Cyril Ramaphosa has issued a warning to Rwanda, saying continued hostilities against SANDF members would be taken as a declaration of war.

Rwanda is accused of backing the M23 rebels, but it consistently denies the reports.

In a widely circulating video shared by the Presidency in Rwanda, Kagame told fellow leaders at an Extraordinary Summit of East African Community (EAC) heads of State on Wednesday that he has had two telephonic conversations with President Ramaphosa in recent days.
“South Africa even dares to issue threats about what is going to happen after that and so on and so forth. Of course, we will see what threats they are talking about. Maybe they should have done that which they are issuing threats, they should have done it to clean up the mess in Congo, or to fight back those who have been trying to clean up the mess,” he said.
 
propaganda za kivita na ukiangalia kwa jicho lingine ni kama ni kweli hawa wasouth Africa na mataifa mengine ni kama wanaiba madini kutoka DRC mbona wanataka kutumia nguvu nyingi kukabiliana na Rwanda .
Na Rwanda anatumia nguvu nyingi za nini Congo kama sio kuiba. Bora SA abebe madini bila damu za wakongo
 
Ramaphosa ni kama Benjamini Netanyahu ni vitendo pekee
Netanyahu uyu uyu Wa Anaeumwa Tezi dume uyu uyu Alieshindwa na Wanamgambo wa Hamas jilan yao pua na mdomo!! Ngoja uijue vizuli iyo SOUTH AFRICA ambayo ktk AFRICA nzima ndio nchi inayoshutumiwa kuuza kitu kinaitwa Silaha kwa Russia na IRAN!!!! KAGAME kayakanyaga huu mwaka 2025

nimekaa pale na mwajuma wangu napigiwa Story yake y zaman wkt akiambiwa nakupenda ananuna Uso na ngumi kakunja!! adi sasa kakua akisikia neno nakupenda anatabasam kutokea Uson adi kwenye mbunye!!!!!
 
Huwezi kuelewa wewe
 
Back
Top Bottom