Rwanda yaondoa Majeshi yake DRC baada ya tishio la SA

Rwanda yaondoa Majeshi yake DRC baada ya tishio la SA

BREAKING: Kagame withdraws troops after SA Allegedly Threatens to Use Long Range Ballistic Missiles, Deploy Navy Seals and Commando Units

President General Kagame has issued an executive order directing all Ruwandan military forces to withdraw from all DRC border towns and regroup in the capital Kigali with immediate effect.

A letter issued by Rwandan Prime Minister says the withdrawal is to protect the capital Kigali and critical infrastructure. But South African insiders say the retreat is a pre-emptive move to stop South Africa from deploying the full might of its military, Naval and air forces in retaliation to the 13 soldiers it lost.

Diplomatic pressure has also been mounted on Kagame from German who suspended aid, with similar calls coming from France and the US to de-escalate tensions and bring peace in the Eastern Congo.
Hiyo barua ni ya kuondoa majeshi ya Rwanda yaliyopo ndani ya Rwanda sehemu za mipakani yarudi mjini.

Ulichoandika kwamba majeshi yarudi jutoka Congo hakipo katika hiyo barua.

Kagame kwanza wala hajakubali kwamba Rwanda ina majeshi Congo.
 
Zipigwe tuu
Mshindi apatikane
Vita iishe
 
Nikurekebishe south africa hawana unit inatwa navy seals, ila wana maritime unit kutoka aka 4th special forces regiment
Na hiyo regiment ni part ya south africa special forces brigade (Recce commando). Originaly ni brigade mama, ni brigade ya ardhi( infantry). Ila hai belong to south african navy

South african navy wana maritime reaction squadron ambayo ni simalar to SAP STF. Technicaly si special forces but ni intervation unit. Chukua wana maji, wapeleke mafunzo ya infantry ndio unapata hawa.
Asee @T-14 Armata kumbe ni wewe na hii ID yako nyingine?
 
Unapambana na taifa lenye nuclear na ICBM Africa

Kagame ni mpuuzi na apuuzwe
BREAKING: Kagame withdraws troops after SA Allegedly Threatens to Use Long Range Ballistic Missiles, Deploy Navy Seals and Commando Units

President General Kagame has issued an executive order directing all Ruwandan military forces to withdraw from all DRC border towns and regroup in the capital Kigali with immediate effect.

A letter issued by Rwandan Prime Minister says the withdrawal is to protect the capital Kigali and critical infrastructure. But South African insiders say the retreat is a pre-emptive move to stop South Africa from deploying the full might of its military, Naval and air forces in retaliation to the 13 soldiers it lost.

Diplomatic pressure has also been mounted on Kagame from German who suspended aid, with similar calls coming from France and the US to de-escalate tensions and bring peace in the Eastern Congo.
 
Tukimalizana naye Congo tunaanza na nyie mnaojificha kwa kivuli cha utanzania, bahati nzuri mkuu wa majeshi anawajua
Huna uwezo wa kumpiga kagame jichanganye uletewe vita sebuleni kwako humjui vizuri wewe cheza na wote Ile namba Sasa hivi usiiguse utaumia na kuabika vibaya sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
propaganda za kivita na ukiangalia kwa jicho lingine ni kama ni kweli hawa wasouth Africa na mataifa mengine ni kama wanaiba madini kutoka DRC mbona wanataka kutumia nguvu nyingi kukabiliana na Rwanda .
tatizo rwanda anataka achukue na aridhi
 
Uliona wapi jeshi linaandikiwa barua kurudi eti kulinda mipaka.

SA hawana jeshi bali wanawacheza mapiano tu, jeshi la SA ukiwatoa Kaburu hakuna jeshi pale ni kama wale wahuni wa DRC tu.
 
Back
Top Bottom