Rwanda yaondoa Majeshi yake DRC baada ya tishio la SA

Hiyo barua ni ya kuondoa majeshi ya Rwanda yaliyopo ndani ya Rwanda sehemu za mipakani yarudi mjini.

Ulichoandika kwamba majeshi yarudi jutoka Congo hakipo katika hiyo barua.

Kagame kwanza wala hajakubali kwamba Rwanda ina majeshi Congo.
 
Zipigwe tuu
Mshindi apatikane
Vita iishe
 
Asee @T-14 Armata kumbe ni wewe na hii ID yako nyingine?
 
Unapambana na taifa lenye nuclear na ICBM Africa

Kagame ni mpuuzi na apuuzwe
 
Tukimalizana naye Congo tunaanza na nyie mnaojificha kwa kivuli cha utanzania, bahati nzuri mkuu wa majeshi anawajua
Huna uwezo wa kumpiga kagame jichanganye uletewe vita sebuleni kwako humjui vizuri wewe cheza na wote Ile namba Sasa hivi usiiguse utaumia na kuabika vibaya sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
propaganda za kivita na ukiangalia kwa jicho lingine ni kama ni kweli hawa wasouth Africa na mataifa mengine ni kama wanaiba madini kutoka DRC mbona wanataka kutumia nguvu nyingi kukabiliana na Rwanda .
tatizo rwanda anataka achukue na aridhi
 
Uliona wapi jeshi linaandikiwa barua kurudi eti kulinda mipaka.

SA hawana jeshi bali wanawacheza mapiano tu, jeshi la SA ukiwatoa Kaburu hakuna jeshi pale ni kama wale wahuni wa DRC tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…