rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Unaongea hayo ukiwa wapiHuna uwezo wa kumpiga kagame jichanganye uletewe vita sebuleni kwako humjui vizuri wewe cheza na wote Ile namba Sasa hivi usiiguse utaumia na kuabika vibaya sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
KigaliUnaongea hayo ukiwa wapi
Hiyo ni lugha ya kutokubali kuwa majeshi yapo Congo ila mipakani so ukweli wanaujua wa Rwanda.Hiyo barua ni ya kuondoa majeshi ya Rwanda yaliyopo ndani ya Rwanda sehemu za mipakani yarudi mjini.
Ulichoandika kwamba majeshi yarudi jutoka Congo hakipo katika hiyo barua.
Kagame kwanza wala hajakubali kwamba Rwanda ina majeshi Congo.
Nilijua tu mtasema hivi.Hiyo ni lugha ya kutokubali kuwa majeshi yapo Congo ila mipakani so ukweli wanaujua wa Rwanda.
Mwizi tuko lini akakiri kosa lake, hata Marehemu JK , kuna vitu vya kisiasa au kijeshi vinawekwa kama Kagame alivyowekaHiyo barua ni ya kuondoa majeshi ya Rwanda yaliyopo ndani ya Rwanda sehemu za mipakani yarudi mjini.
Ulichoandika kwamba majeshi yarudi jutoka Congo hakipo katika hiyo barua.
Kagame kwanza wala hajakubali kwamba Rwanda ina majeshi Congo.
Baada yawanajeshi wa SA kuuwawa Ramaphosa alimpigia simu KagameHii barua ya, tarehe 29/01, majibizano ya, SA, na Rwanda, yametokea juzi tu! Tarehe 3!
Hakuna nchi ambayo inaandika kukiri makosa yake .Nilijua tu mtasema hivi.
Lakini hapa tunajadili kilichoandikwa kwenye barua, si kuagua kitu ambacho hakijaandikwa kwenye barua ambacho kinaweza kuwa kimemaanishwa na barua.
Mtoa mada alivyoandika ni kama vile barua imeandika wanajeshi wa Rwanda walio Congo warudi Rwanda.
Barua haijaandika hivyo.
Walizungumza kwenye simu?Vipi kuhusu wao kuongea ktk simu na ramaphosa kubadili walichozungumza hili unaliongeleaje mkuu,
Ndio mkuu niliona kwenye press conferenceWalizungumza kwenye simu?
Sawa mwizi labda hakiri kosa lake lakini usiseme amekiri wakati hajakiri.Mwizi tuko lini akakiri kosa lake, hata Marehemu JK , kuna vitu vya kisiasa au kijeshi vinawekwa kama Kagame alivyoweka
Mkuu watu wanapenda upotoshaji ndio maana barua imeandikwa vingine na wachangiaji wanajadili mengine.Nilijua tu mtasema hivi.
Lakini hapa tunajadili kilichoandikwa kwenye barua, si kuagua kitu ambacho hakijaandikwa kwenye barua ambacho kinaweza kuwa kimemaanishwa na barua.
Mtoa mada alivyoandika ni kama vile barua imeandika wanajeshi wa Rwanda walio Congo warudi Rwanda.
Barua haijaandika hivyo.
Sawa.Hakuna nchi ambayo inaandika kukiri makosa yake .
Unataka watumie nguvu kidogo ili wauwawe ?mbona wanataka kutumia nguvu nyingi kukabiliana na Rwanda .
Navy seals ni nani na wangepitia wapi kufika Rwanda.BREAKING: Kagame withdraws troops after SA Allegedly Threatens to Use Long Range Ballistic Missiles, Deploy Navy Seals and Commando Units
President General Kagame has issued an executive order directing all Ruwandan military forces to withdraw from all DRC border towns and regroup in the capital Kigali with immediate effect.
A letter issued by Rwandan Prime Minister says the withdrawal is to protect the capital Kigali and critical infrastructure. But South African insiders say the retreat is a pre-emptive move to stop South Africa from deploying the full might of its military, Naval and air forces in retaliation to the 13 soldiers it lost.
Diplomatic pressure has also been mounted on Kagame from German who suspended aid, with similar calls coming from France and the US to de-escalate tensions and bring peace in the Eastern Congo.
Shillingi ina pande mbili mwenge au mkia na kichwa, katika utoaji wa habari unatoa picha Zote mbili, ni juu yako kuchukua upande, kutokana na hiyo taarifa.Sawa mwizi labda hakiri kosa lake lakini usiseme amekiri wakati hajakiri.
Umeelewa hoja?
Haijakiri, bali imeamua kuondoa majeshi yake kutokana na Hali walioitengeneza au tuseme Hali ya hofu ya kushambuliwaSawa.
Lakini usiseme imeandika kukiri makosa yake wakati haijakiri.
Kuna lile ziwaNavy seals ni nani na wangepitia wapi kufika Rwanda.
Hata hivyo uamuzi wa Kagame ni wa busara kwani nchi yake iko mbioni kuvurugwa kwa uzembe wake kama ilivyotokea kule Ukraine.
Nguvu gani?propaganda za kivita na ukiangalia kwa jicho lingine ni kama ni kweli hawa wasouth Africa na mataifa mengine ni kama wanaiba madini kutoka DRC mbona wanataka kutumia nguvu nyingi kukabiliana na Rwanda .
Sasa analinda mji mkuu, nani atalinda mipaka?BREAKING: Kagame withdraws troops after SA Allegedly Threatens to Use Long Range Ballistic Missiles, Deploy Navy Seals and Commando Units
President General Kagame has issued an executive order directing all Ruwandan military forces to withdraw from all DRC border towns and regroup in the capital Kigali with immediate effect.
A letter issued by Rwandan Prime Minister says the withdrawal is to protect the capital Kigali and critical infrastructure. But South African insiders say the retreat is a pre-emptive move to stop South Africa from deploying the full might of its military, Naval and air forces in retaliation to the 13 soldiers it lost.
Diplomatic pressure has also been mounted on Kagame from German who suspended aid, with similar calls coming from France and the US to de-escalate tensions and bring peace in the Eastern Congo.
Ni ya uongo?Hii barua mbona IPO Toka mwezi uliopita?