Wamepata proven reserve kiasi gani?Uganda tayari ina mafuta, South Sudan inayo, Kenya inayo, Zanzibar nayo inayo (hata yawe kinibu ni mafuta ya Zanzibar) na sasa Rwanda nayo imepata mafuta yake. Je Tanganyika vipi?
View: https://www.youtube.com/watch?v=0g7af_f469Y
Unamaanisha Mwakakundi Mbele Daima?Sawa kwa tunashukuru kwa taarifa ila matokeo yenu tunayo
Anajificha kwenye habari za Rwanda wakati habari zilizotokea pale Temeke hataki kuzijadili.Unamaanisha Mwakakundi?
Watu tunaongelea mambo ya maendeleo ya nchi wewe unaleta mambo ya mpira hapa; nenda jukwaa la michezo. Nchi zote zilizoendelea siyo mabingwa wa mpira.Anajificha kwenye habari za Rwanda wakati habari zilizotokea pale Temeke hataki kuzijadili.
Kama tangu mwanzo alijua Rwanda kuna mafuta alishindwa vipi kuyatumia kulainishia mechi ya jana wafuzu?
Watu tunaongelea mambo ya maendeleo ya nchi wewe unaleta mambo ya mpira hapa; nenda jukwaa la michezo. Nchi zote zilizoendelea siyo mabingwa wa mpira.
Nje ya madaSawa kwa tunashukuru kwa taarifa ila matokeo yenu tunayo
Tutatumia hayo hayo ya Zanzibar, maana ni nchi moja. Mbona wanatumia dhahabu na Tanzanite zetu.Uganda tayari ina mafuta, South Sudan inayo, Kenya inayo, Zanzibar nayo inayo (hata yawe kinibu ni mafuta ya Zanzibar) na sasa Rwanda nayo imepata mafuta yake. Je Tanganyika vipi?
View: https://www.youtube.com/watch?v=0g7af_f469Y
Hujua mjadala uliozuka kwenye baraza la wawakilishi wakati wa utawala wa Salmini baada ya kutangazwa kugundulika kwa mafuta hayo ambayo hayajachimbwa hadi leo zaidi ya miaka 20 sasa !Tutatumia hayo hayo ya Zanzibar, maana ni nchi moja. Mbona wanatumia dhahabu na Tanzanite zetu.
Mbona Watanganyika hawazushi mgogoro kukatazia dhahabu, Tanzanite, carbon, magogo nkHujua mjadala uliozuka kwenye baraza la wawakilishi wakati wa utawala wa Salmini baada ya kutangazwa kugundulika kwa mafuta hayo ambayo hayajachimbwa hadi leo zaidi ya miaka 20 sasa !