Rwanda yapata Mafuta kwenye Lake Kivu

Rwanda yapata Mafuta kwenye Lake Kivu

Sawa kwa tunashukuru kwa taarifa ila matokeo yenu tunayo
 
Unamaanisha Mwakakundi?
Anajificha kwenye habari za Rwanda wakati habari zilizotokea pale Temeke hataki kuzijadili.

Kama tangu mwanzo alijua Rwanda kuna mafuta alishindwa vipi kuyatumia kulainishia mechi ya jana wafuzu?
 
Watu tunaongelea mambo ya maendeleo ya nchi wewe unaleta mambo ya mpira hapa; nenda jukwaa la michezo. Nchi zote zilizoendelea siyo mabingwa wa mpira.
 
Hqpo tumepigwa. Chaka hilo. Yanatafutwa mafuta ya mtu hapo.
 
Lake Kivu tena si Congo ndo watangaze yao, wao wanacheza sebene tu.
 
Tutatumia hayo hayo ya Zanzibar, maana ni nchi moja. Mbona wanatumia dhahabu na Tanzanite zetu.
Hujua mjadala uliozuka kwenye baraza la wawakilishi wakati wa utawala wa Salmini baada ya kutangazwa kugundulika kwa mafuta hayo ambayo hayajachimbwa hadi leo zaidi ya miaka 20 sasa !
 
Mbona Watanganyika hawazushi mgogoro kukatazia dhahabu, Tanzanite, carbon, magogo nk
 
Back
Top Bottom