Rwanda yapitisha mpango kujenga Kinu cha Nyuklia!

Rwanda yapitisha mpango kujenga Kinu cha Nyuklia!

Ila Rwanda kama vile anataka mambo makubwa uwezo mdogo! Ikitokea msala kwenye hiyo mitambo kuirekebisha ni uchumi wao wote! Japan walivyohangaika hivyo na kutumia mabilioni ya dola! Yetu macho!
 
Mfano tungeweza kwenye kilimo tungeuwa mawe matatu kwa pamoja,kwanza kutatua shida ya ajira, kuongeza mauzo nje tukapata pesa nyingi badala ya kutegemea kukopa,tatu tungekuwa na ziada ya kutosha yaan malighafi na chakula cha kutosha...
Mh... Ni halali Chadema ife kifo cha mende. JNHPP inakamilika 2022. Sgr Dar to Moro muda si mrefu inakamilika sasa wewe unawaz nini? Hii miradi miweili tu ni muhimu sana kwa taifa na italisailisaidia taifa letu.
 
Haya maendeleo ya Ubungo fly over na SGR wapinzani kama Chadema wanalalamika eti wao wanataka maendeleo e watu siyo vitu.

Rwanda imepitisha mpango wa ujenzi wa kinu cha nguvu za Nyuklia ili kuendana na kasi ya maendeleo ya teknolojia na utabibu duniani, itasaidiwa na Urusi katika mpango wake huo...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona bila chadema huna stori
 
Haya maendeleo ya Ubungo fly over na SGR wapinzani kama Chadema wanalalamika eti wao wanataka maendeleo e watu siyo vitu.

Rwanda imepitisha mpango wa ujenzi wa kinu cha nguvu za Nyuklia ili kuendana na kasi ya maendeleo ya teknolojia na utabibu duniani, itasaidiwa na Urusi katika mpango wake huo.

Niko hapa Falcon najaribu kujiuliza tu mpango huo ungetangazwa na serikali ya CCM pale Ufipa pangekalika kweli?

Daudi Mchambuzi kama uko mitaa ya jirani karibu upate supu ya mbusi.

Maendeleo hayana vyama!
Ebu leta source, kwa maelezo yako hiyo machine ni ya hospitali ni kwa ajiri utabibu tu. Kwa hiyo sio kinu kikubwa cha kufua umeme wa matumizi mbali mbali.
 
Wajinga tu, maendeleo ya watubyanakujaje bila vitu kwanza? Utajenga nyumba ya kisasa mahali pasipokuwa na barabara, maji, shule?
Ukiugua utatibiwa vipi bila uwepo wa hospital au wao watatibiwa nje ya nchi na agakhan? Utanunuaje gari au pikipiki kama hakuna barabara.? Unajileteaje maendeleo bila nishati ya umeme?
Una bwana Chadema ?

Mimi nina wake ccm
 
Haya maendeleo ya Ubungo fly over na SGR wapinzani kama Chadema wanalalamika eti wao wanataka maendeleo e watu siyo vitu.

Rwanda imepitisha mpango wa ujenzi wa kinu cha nguvu za Nyuklia ili kuendana na kasi ya maendeleo ya teknolojia na utabibu duniani, itasaidiwa na Urusi katika mpango wake huo...
Rwanda kama zilivyo nchi zote za Afrika hazijafikia umakini wa kuwa na vinu vya nukilia, ni asiyejua nukilia ni nini ndiye atachekelea. Huko miaka ya nyuma hapa Tanzania kuna waziri mmoja aliwahi kudai kuwa Tanzania itajenga kinu cha nukilia baada ya madini ya nishati hiyo kupatikana Bahi Dodoma!

Madhara ya nukilia yalionekana huko Chernobyl Urusi ambapo yalienea eneo kubwa na kwa sisi has Rwanda haipo mbali, uzuri wake tutakufa wote na wanaoshabikia.
 
Haya maendeleo ya Ubungo fly over na SGR wapinzani kama Chadema wanalalamika eti wao wanataka maendeleo e watu siyo vitu.

Rwanda imepitisha mpango wa ujenzi wa kinu cha nguvu za Nyuklia ili kuendana na kasi ya maendeleo ya teknolojia na utabibu duniani, itasaidiwa na Urusi katika mpango wake huo...
Mbona kwenye taarifa ya ujenzi wa mradi huo wa nyuklia, Wanyarwanda wa vyama vya upinzani wanaupinga kutokana madhara makubwa ndani ya Rwanda na katika nchi za Afrika Mashariki!
Acha upotoshaji!
 
Wajinga tu, maendeleo ya watu yanakujaje bila vitu kwanza? Utajenga nyumba ya kisasa mahali pasipokuwa na barabara, maji, shule?
Ukiugua utatibiwa vipi bila uwepo wa hospital au wao watatibiwa nje ya nchi na agakhan? Utanunuaje gari au pikipiki kama hakuna barabara.? Unajileteaje maendeleo bila nishati ya umeme?
Wapuuzi tu hawa sijui huwa hawafikirii kwanza
 
Rwanda kama zilivyo nchi zote za Afrika hazijafikia umakini wa kuwa na vinu vya nukilia, ni asiyejua nukilia ni nini ndiye atachekelea. Huko miaka ya nyuma hapa Tanzania kuna waziri mmoja aliwahi kudai kuwa Tanzania itajenga kinu cha nukilia baada ya madini ya nishati hiyo kupatikana Bahi Dodoma! Madhara ya nukilia yalionekana huko Chernobyl Urusi ambapo yalienea eneo kubwa na kwa sisi has Rwanda haipo mbali, uzuri wake tutakufa wote na wanaoshabikia.
Sidhani kama wanajenga kinu cha kufua umeme maana bado hawajawa na uwezo wa kukiendesha.
 
Mh... Ni halali Chadema ife kifo cha mende. JNHPP inakamilika 2022. Sgr Dar to Moro muda si mrefu inakamilika sasa wewe unawaz nini? Hii miradi miweili tu ni muhimu sana kwa taifa na italisailisaidia taifa letu.
[/QUOT
Upinzani utakufa Kama mtapambana na shida za watz na sio kwa kupambana na upinzani
 
Rwanda kama zilivyo nchi zote za Afrika hazijafikia umakini wa kuwa na vinu vya nukilia, ni asiyejua nukilia ni nini ndiye atachekelea. Huko miaka ya nyuma hapa Tanzania kuna waziri mmoja aliwahi kudai kuwa Tanzania itajenga kinu cha nukilia baada ya madini ya nishati hiyo kupatikana Bahi Dodoma! Madhara ya nukilia yalionekana huko Chernobyl Urusi ambapo yalienea eneo kubwa na kwa sisi has Rwanda haipo mbali, uzuri wake tutakufa wote na wanaoshabikia.
Labda Kama anamuiga kiduku.Shida ya madikteta ubongoni mwao wamejaza matumizi ya nguvu badala ya akili kwenye kutatua changamoto.
 
Jirani yetu nae amezidisha sana ngonjera, mara tunajenga kiwanda cha magari, mara kiwanda cha smatifoni, mara utasikia tunajenga kiwanda kuzalisha tv, leo tunaambiwa vinu vya nyuklia kesho tutasikia tunajenga kiwanda cha ndege aina ya boing, yaani hawa nshomile kila kukicha ni kujimwambafai tu ila hatujawahi kuona hata bidhaa yao moja sokoni.
 
Beberu wenyewe makonki wanaachana na vinu vya nuclear...
Mfano likitokea la kutokea walivyo na eneo dogo, exclusion zone si itakuwa nchi nzima jamani??.
Watapata sababu rasmi ya kuhamia Congo..

Everyday is Saturday........................... 😎
 
tungeuliza kwa nini asijenge kinu cha kutwangia mahindi ili unga ushuke bei just kidding
Ingawaje umezungumza kiutani huo ndio ukweli wenyewe, food security ndio hitaji la kwanza. Kinu cha nuclear mara nyingi ni kwa ajili ya umeme (ambao upo wa kutosha kwa sasa, na zaidi kuna miradi kadhaa inaendelea). Ni busara zaidi pesa hizo zijenge bara bara, vyoo , madarasa au maabara. Ila tujiulize zaidi, nchi kadhaa zipo kwenye mchakato wa kufunga vinu vya nuclear, jee waafrika tumegundua nini kujenga hivi vinu??
 
Kwani Megastructures mlizopinga zisifanyike huzijui? Unajifanya JNHPP hujui kama ipo inakaribia kukamilika?
Si mlituaminisha umeme wa gesi unatosha hadi kusambaza nchi jirani hadi DRC ?? Mkaona haitoshi mnaenda rufiji

Kwanini hiyo opportunity cost msingepeleka kwenye bajeti ya maendeleo ya wizara ya kilimo na umwagiliaji ili wakulima wasitegemee mvua tu na watumie kilimo cha kisasa cha kuongeza tija??

Wanaposema maendeleo ya watu ndio maana hiyo yaani vitu ambavyo directly vina impact maisha ya mtu mmoja mmoja. Mfano msanii ukiweka usimamizi wa Intellectual property ni maendeleo ya MTU sababu directly inamgusa bila kusubiri spillover effects kma za hizo SGR cjui Bombardier!!

Kasome kuhusu inclusive economy ndio utaelewa hoja inasemaje
 
Wajinga tu, maendeleo ya watu yanakujaje bila vitu kwanza? Utajenga nyumba ya kisasa mahali pasipokuwa na barabara, maji, shule?
Ukiugua utatibiwa vipi bila uwepo wa hospital au wao watatibiwa nje ya nchi na agakhan? Utanunuaje gari au pikipiki kama hakuna barabara.? Unajileteaje maendeleo bila nishati ya umeme?
Mjinga ni wewe, mjinga namb moja
 
Back
Top Bottom