Rwanda yapitisha mpango kujenga Kinu cha Nyuklia!

Rwanda yapitisha mpango kujenga Kinu cha Nyuklia!

Mnaposema Tz ya viwanda mna maana kuwekeza kwenye amenities zitakazovutia na kuwezesha uwekezaji iwe SGR, mabarabara, cjui Ndege, umeme n.k ambayo ni sawa ila inakera pale ambapo wabunge wakipiga kelele kuhusu wizara ya kilimo kupewa 15% pekee alafu utaskia miradi fulani inapewa pesa kwa wakati.

Siku mkiamua kuwa serious kwenye kilimo ndio tutasahau umaskini. Hta India sio kma wana manufacturing industry kubwa ila wao waliwekeza kwenye service zaidi na unaweza ona imewapandisha kiuchumi so tusikariri kuwa viwanda pekee ndio vitainua hadi uchumi wa kati.
Wewe unataka seriali iwe serious vipi kwenye kilimo? Fungu la bajeti matumizi ya maendeleo liikuwa ni bil 700+. Kilimo peke yake kilipata bil 253, ambayo ni zaidi ya 30% ya fungu zima. Bado unasema serikali haipo serious.
Na Tanzania kwa East Africa ni nchi inayojitahidi kwa kuzalisha chakula.
 
Bashe mwenyewe alidai hawapeleki fedha huko sababu sekta ya kilimo ni purely Private sector!!! Nikawaza mabilion wanayolipa serikali ya China kwa wakulima wake in terms of Subsidies ili waweze kuwa na bei ndogo bila kupata hasara .......... HAWAONI?

Tuwe wakweli kilimo kinaonekana ni pata potea na hta ukilima masoko nayo changamoto rejea issue ya mbaazi alafu mtu anadai kilimo ni purely private sector!! Ili tu kuiondoa serikali kwenye lawama za kushindwa kupeleka fuko la bajeti.

Kingine napoongelea kilimo sijagusa eti food security mie naongelea kilimo cha biashara ili tukuze exports na BOP yetu ikae vizuri.

Hvi kuna hta mkulima mmoja ana bima kweli ya risk za shambani? Ama hta guarantee ya bei kwamba ikishuka serikali ita compensate? Kma haya hayapo basi endelea kushabikia CCM.
 
Ahaaaa. Hoja juu ya hoja, bima ya ya risk? Masoko ya mazao? Umeachana tena na na bajeti kuwa kiduchu? Maana 2020-2021 bil 229 zitapelekwa kwenye kilimo.
 
Mkuu hili swali unalikwepa sana

Multiplier effect ya kuongeza MW 2000 na kuwekeza 100% kwenye kilimo kinachoajiri 70% ya labor force, ipi ni viable zaidi?

Narudia tena mpaka 3rd quarter ni 15% pekee ya bajeti ya maendeleo kwa wizara za kilimo na mifugo/umwagiliaji ilipatikana. Je kwako hili ni sawa?
kila kitu kinategemea umeme
kuongeza thamani ya mazao ni lazima umeme
kutengeneza zana za kilimo hata vifungashio hata mbolea ni lazima umeme
ok tnataka kua nchi ya viwanda tutakuaje bila umeme?

gesi
gesi ni nzuri ila kuihudumia ni gharama sana kuliko maji hata umeme wa gas kwa unit1 ni ghali kuliko maji.
bado gas tnaeza kuiuza kwa matumizi ya majumbani kwe viwanda vya mbolea pia kwe refainary za mafuta mazito

em fikiria gharama ya kujenga plant za kuibadlisha gesi kua umeme kwa nchi nzima (viwanda ) ni kiasi gani? iyo ela unayo?
ndugu nmefatlia maelezo yako ni kama unakurupuka jaribu kuziweka point zako vizuri kabla hujapost
 
safi sana PK, ebu endelea kuipasha Rwanda!
 
Mkuu kma ww ni muelewa toka mwanzo nimeuliza opportunity cost ya kuongeza source ya nishati (kumbuka hatuna upungufu) AU kupeleka 100% bajeti ya maendeleo wizara ya kilimo ipi italeta matokeo yenye tija?

Kma ww ni mchumi basi ukishaamua kufanya mradi wa kufua umeme wa gesi huwezi tena Anza mradi wa kufua umeme mwimgine ilihali sekta inayotengeneza ajira kubwa zaidi ya labor force nchini ina deficit ya 80%.

Ssa ww unajaribu kueleza faida za umeme ila hujaonyesha in relation to faida za kilimo kikipewa fungu lote 100% na hiyo ndio hoja yangu.

Kwahiyo mzizi wa hoja ni OPPORTUNITY COST!!
 
Ahaaaa. Hoja juu ya hoja, bima ya ya risk? Masoko ya mazao? Umeachana tena na na bajeti kuwa kiduchu? Maana 2020-2021 bil 229 zitapelekwa kwenye kilimo.
Sasa kwani kazi ya bajeti ya kilimo haiwezi include covering risk/uncertainty kwa serikali kununua mazao kma korosho kwa forward contracts, ama kutoa guarantees kwa waomba mikopo kwa ajili ya kilimo cha kisasa, ama kutoa subsidies kwa ajili ya kudhibiti bei bila kumpa muuzaji hasara?

Ama bajeti ya maendeleo haiwezi ingiza hizo?

NB: Allocation haijawahi kuwa shida ila mara zote changamoto ni kwamba pesa iliyotengwa haifiki ilipokusudiwa, kma umeisoma ripoti ya CAG 2018/19 utaona hiyo querry!! Kwahiyi kwenye billion 200 plus hapo itapelekwa billion 50 tu!! As always
 
Ok fine 15% ya bajeti ya maendeleo ilipelekwa kwenye kilimo, je output iko vipi kilimo? Hatuzalishi chakula cha kutosha? Na kuhusu swali lako nimeshakujibu mradi wa JNHPP ni viable sababu nchi yetu tunaelekea kuwa nchi ya uchumi wa kati. Kwa hiyo tunahitaji umeme mwingi zaidi ya huu uliopo sasa. Maana lazima tujikite kwenye viwanda . Na hata hayo mazao tunyozalisha hapa nchini lazima yaongezewe thamani hapa nchini kwetu.
Ukweli unajujua tu ila unakomaa kumtetea zero brain president aliyeiaibisha phd
 
Back
Top Bottom