JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Kauli hiyo ya Rwanda imetolewa wakati mivutano kati ya majirani hao wawili ikiongezeka juu ya waasi wanaozidi kusonga mbele katika eneo lenye mzozo la Mashariki mwa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC).
DRC inaishutumu Rwanda kuliunga mkono kundi la waasi la M23, ambalo liliteka baadhi ya maeneo kutoka kwa Jeshi la Congo na washirika wake miezi ya hivi karibuni.
Kigali ilikanusha madai hayo, ambayo yamethibitishwa na waatalamu wa Umoja wa Mataifa kadhalika na Marekani, Ufaransa na Ubelgiji.
Rwanda inaishtumu DRC kushirikiana na waasi wa FDLR, kundi la zamani la waasi wa Kihutu wa Rwanda lenye makao yake nchini DRC.
dege ya vita aina ya Sukhoi 25 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ilifanya ukiukaji na kuingia katika anga ya Rwanda kwenye Ziwa Kivu katika Jimbo la Magharibi Nchini Rwanda nyakati za mchana,” Serikali ya Rwanda imesema katika taarifa.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa: “Ndege hiyo ilirejea mara moja DRC.”
Tukio hilo linajiri chini ya miezi miwili baada ya Kigali kudai ndege nyingine ya vita ya DRC iliingia kwenye anga yake.
=== = ==== ===
Rwanda Says DR Congo Fighter Jet Violated Airspace
Rwanda said a fighter jet from the Democratic Republic of Congo violated its airspace Wednesday amid spiralling tensions between the neighbours over rebels advancing in the DRC's volatile east.
The DRC has accused Rwanda of backing the M23 rebel group, which has captured swathes of territory from the Congolese army and allied militias in recent months.
Kigali has denied the allegations, which are also supported by UN experts as well as the United States, France and Belgium.
It accuses Kinshasa of colluding with the FDLR -- a former Rwandan Hutu rebel group based in the DRC.
"A Sukhoi-25 fighter jet from the Democratic Republic of Congo (DRC) violated Rwandan airspace along Lake Kivu in the Western Province of Rwanda today at around" midday, the Rwandan government said in a statement.
The aircraft immediately returned to the DRC, the statement said, adding: "Rwandan authorities have once again protested to the DRC government against the violations of Rwandan airspace by DRC fighter jets."
It comes less than two months after Kigali accused another DRC fighter jet of violating its airspace.
Chanzo: VOA