Rwanda yasema ndege ya vita ya DRC imeingia kwenye anga yake

Rwanda yasema ndege ya vita ya DRC imeingia kwenye anga yake

Westerners!?
unajuaj kama Tshekedi hajakubaliana na hao westerners!?
Hao USA na UN mambo yao yakienda vizuri chini ya Tshekedi hawatahitaji tena kupitia kwa middle man wanakusaliti mchana kweupe rejea kisa cha savimbi.
Rwanda wanaweza fanya lolote ilimradi tu washinde vita.

Rwanda wanapendelea sana vita vya mstuni na uviziaji (guerilla warfare) ambayo ni ngumu sana kwa majeshi mengi hata wazungu watakumbana na ugumu.
 
Mkuu Rwanda ana mikono ya westerners, Congo ina jeshi lililopitwa na wakati. Rwanda ana silaha na mbinu bora, ameshalichezea vya kutosha eneo la mashariki mwa congo na ana mapandikizi wake wengi.

kuhusu congo kusaidiwa na members wa sadc sahau hilo wataishia kuhamasisha mazungumzo ya amani huku vita ikiendelea.
Western tayari wameonesha kumkataa Kagame, unless hujafatilia hizi habari ndani ya miezi miwili hii.

Na hii imetokana na mataifa hayo kuonekana kama watajichafua mbele ya macho ya dunia sababu tuhuma hizo ni za muda mrefu.
 
... nikiwaza mchina anavyoingiza mamia ya ndege hapo Taiwan kwa wakati mmoja; Russia anavyohanikiza mamia ya drones at par hapo Ukraine japo zinatunguliwa kama kumbikumbi Afrika sisi bado sana; kadege kamoja ka DRC kamekaribia mpaka wa Rwanda; dah!
Hizo drone hakuna wa kuzitungua had I Leo maana ukitungua tu bado inakuchapaaaa
 
Back
Top Bottom