Rwanda yasema ndege ya vita ya DRC imeingia kwenye anga yake

Westerners!?
unajuaj kama Tshekedi hajakubaliana na hao westerners!?
Hao USA na UN mambo yao yakienda vizuri chini ya Tshekedi hawatahitaji tena kupitia kwa middle man wanakusaliti mchana kweupe rejea kisa cha savimbi.
Rwanda wanaweza fanya lolote ilimradi tu washinde vita.

Rwanda wanapendelea sana vita vya mstuni na uviziaji (guerilla warfare) ambayo ni ngumu sana kwa majeshi mengi hata wazungu watakumbana na ugumu.
 
Western tayari wameonesha kumkataa Kagame, unless hujafatilia hizi habari ndani ya miezi miwili hii.

Na hii imetokana na mataifa hayo kuonekana kama watajichafua mbele ya macho ya dunia sababu tuhuma hizo ni za muda mrefu.
 
... nikiwaza mchina anavyoingiza mamia ya ndege hapo Taiwan kwa wakati mmoja; Russia anavyohanikiza mamia ya drones at par hapo Ukraine japo zinatunguliwa kama kumbikumbi Afrika sisi bado sana; kadege kamoja ka DRC kamekaribia mpaka wa Rwanda; dah!
Hizo drone hakuna wa kuzitungua had I Leo maana ukitungua tu bado inakuchapaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…