FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
JWTZ wafanye haraka kuwaondoa M23 DRC, wafanye haraka sana, wanaumiza wenzao...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona kuna vita na mauaji huko Mererani? Means wachimbaji wanafuata soko zuri huko Kenya kwa uhuru na ytashi wao wenyewe, sio kwa kuuwanawapo sawa kabisa,Kenya iliwai kuwa kinara wa kuuza madini ya Tanzanite wakati mzigo unatoka tz.
wafanya biashara siku zote huwa wanatafuta penye mazingira mazuri ya soko wakauze huko.
HawawaweziJWTZ wafanye haraka kuwaondoa M23 DRC, wafanye haraka sana, wanaumiza wenzao...
Unafikiri M 23 wameenda kutalii Goma?Produce of land of Rwanda.
Pengine kuna ya Tanzania yamejumuishwa humo, a man has a larger network!
Nakuelewa sana.Wazungu wanampenda kwa hilo tu
Mkuu hata wazungu wanatafuta maisha kwa kila njia hata ziwe za kuuwa
Silaha zinauzwa sana ili wapate hela lakini pia watu wafe, ila hawajali
Madini yanatoka kila sehemu na inawezekana zinakuwa na damu lakini zinasafishwa na kuzigonga kama zimetoka Tz kumbe DRC
Hata wao wazungu wamekazana kusema wanaangalia hali ya usalama Mashariki ya kati lakini ukweli unajulikana kwanini wapo huko MAFUTA!
Acha niende Rwanda labda ntabahatisha kupata hata kibali chap chap cha kununua dhahabu au 💎
The world is your Oyster bro
ndio hivyo penye soko zuri wauzaji wanaepeleka mzigo huko.Umeona kuna vita na mauaji huko Mererani? Means wachimbaji wanafuata soko zuri huko Kenya kwa uhuru na ytashi wao wenyewe, sio kwa kuuwana
Rwanda imeingiza kiasi cha dola Bilioni 1.1 katika mapato ya mauzo ya Madini mbali mbali kwa mwaka wa 2023.
Hiyo ni ongezeko ya asilimia 43 ya mauzo ya mwaka wa 2022 baada ya kupata dola milioni 772 kutokana na mauzo ya nje ya madini.
Hii ni mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo ambayo haina madini ya dhahabu.
c & p, #kitenge.
View attachment 2905549
Kagame anaipenda nchi inaifanya kama familia yupo radhi aibe watoto wale chakula. Viongozi wa Tanzania wanaipenda nchi kama shamba,wapo radhi wavune waende kuuza sokoni
we bwege peleka uzushi wako wa kingese huko kwa wajinga wenzioRwanda imeingiza kiasi cha dola Bilioni 1.1 katika mapato ya mauzo ya Madini mbali mbali kwa mwaka wa 2023.
Hiyo ni ongezeko ya asilimia 43 ya mauzo ya mwaka wa 2022 baada ya kupata dola milioni 772 kutokana na mauzo ya nje ya madini.
Hii ni mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo ambayo haina madini ya dhahabu.
c & p, #kitenge.
View attachment 2905549
kwann usihamie huko!!
unajua ni wakongo wa ngap wamekufa?? u son of
Thanks daughter of bitch😀kwann usihamie huko!!
unajua ni wakongo wa ngap wamekufa?? u son of bitch
Akasema kuwa akizuia wale wanaomsema kuwa anaiba Congo ndo watazidisha kumwbia anaiba Kongo.Nilimsikia anasema anatuhumiwa kuiba. Kiukweli yeye haibi ila wanaoiba huwa wanapitishia Rwanda kwenda kuuza ulaya. Walaumiwe hao wanaonunua.
Nikajiuliza.
Anaruhusuje wezi kupitishia vitu nchini kwake?
Nikajiuliza nchi za wazungu zinapolicy kali sana za kununua madini yenye sintofahamu zenye chanzo damu.
Kabla sijalaumu, au kutuhumu natamani kujuq Rwanda inaelezeaje chanzo cha madini hayo. Na wanunuzi kama ni masoko yale yanayotambulika na sio wachina wajanjawajanja wananunuaje hivyo vitu?
Hii post umeikwoti mara mbili. Kwa uzoefu wangu na Banyarwanda siku zote huwa wanapenda kuidunisha Tanzania na kumfanya Kagame mungu mtu. Nimekaa nao sana, nimesoma nao kwa hilo nawaelwa vizuri. Unajua kwanini wanafanya hivyo? Deep down in their tribal thinking mind wanajua hapa East and Central Africa hakuna kama Tanzania.Hii point ndio ya muhimu kbsaa Ni lzm ufanye lolote familia ipate chakula
Safi Kagame.Rwanda imeingiza kiasi cha dola Bilioni 1.1 katika mapato ya mauzo ya Madini mbali mbali kwa mwaka wa 2023.
Hiyo ni ongezeko ya asilimia 43 ya mauzo ya mwaka wa 2022 baada ya kupata dola milioni 772 kutokana na mauzo ya nje ya madini.
Hii ni mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo ambayo haina madini ya dhahabu.
c & p, #kitenge.
View attachment 2905549
Umekuwa mungu kujua ya sirini mwa mtu?. Punguza unafiki.Hii post umeikwoti mara mbili. Kwa uzoefu wangu na Banyarwanda siku zote huwa wanapenda kuidunisha Tanzania na kumfanya Kagame mungu mtu. Nimekaa nao sana, nimesoma nao kwa hilo nawaelwa vizuri. Unajua kwanini wanafanya hivyo? Deep down in their tribal thinking mind wanajua hapa East and Central Africa hakuna kama Tanzania.
Una hasira na Kagame, ila wezi wa pesa za Umma Tanzania unawatetea kila siku. Anzia nyumbani kwako kwanza.Kagamne wizi anaufanya DRC, nashangaa ulimwengu unamwangalia tu namna anavyoua watu kule kisa aibe!
Acha unafiki kujifanya una hasira na Kagame, wakati watu wanaiba hapa kila siku kwenye ripoti ya CAG mmekaa kimya. Anzeni kupiga kelele wizi wa ndani .Nilifanya mazungumzo na askari mmoja wa JW akasema shida sisi ( akimaanisha JW) tuna nidhanu sana. Wangeweza kuwa matajiri sana kama wangekuwa wanaiba Congo.
Sasa tukianza kuiba Kongo tutakuwa na tofauti gani na Kagame anayesemwa anaiba?
Sisi tunatakiwa tuweke mambo yetu sawa tuna kila resources hapa ya kutufanya tuishi vizuri bila kuiba Cha mtu yyte
Wawaondoe waende wapi?JWTZ wafanye haraka kuwaondoa M23 DRC, wafanye haraka sana, wanaumiza wenzao...