Rwanda yavunja rekodi uuzaji Madini nje!

Rwanda yavunja rekodi uuzaji Madini nje!

wapo sawa kabisa,Kenya iliwai kuwa kinara wa kuuza madini ya Tanzanite wakati mzigo unatoka tz.
wafanya biashara siku zote huwa wanatafuta penye mazingira mazuri ya soko wakauze huko.
Umeona kuna vita na mauaji huko Mererani? Means wachimbaji wanafuata soko zuri huko Kenya kwa uhuru na ytashi wao wenyewe, sio kwa kuuwana
 
Wazungu wanampenda kwa hilo tu
Mkuu hata wazungu wanatafuta maisha kwa kila njia hata ziwe za kuuwa
Silaha zinauzwa sana ili wapate hela lakini pia watu wafe, ila hawajali

Madini yanatoka kila sehemu na inawezekana zinakuwa na damu lakini zinasafishwa na kuzigonga kama zimetoka Tz kumbe DRC

Hata wao wazungu wamekazana kusema wanaangalia hali ya usalama Mashariki ya kati lakini ukweli unajulikana kwanini wapo huko MAFUTA!
Acha niende Rwanda labda ntabahatisha kupata hata kibali chap chap cha kununua dhahabu au 💎

The world is your Oyster bro
Nakuelewa sana.
 
Rwanda imeingiza kiasi cha dola Bilioni 1.1 katika mapato ya mauzo ya Madini mbali mbali kwa mwaka wa 2023.

Hiyo ni ongezeko ya asilimia 43 ya mauzo ya mwaka wa 2022 baada ya kupata dola milioni 772 kutokana na mauzo ya nje ya madini.

Hii ni mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo ambayo haina madini ya dhahabu.
c & p, #kitenge.

View attachment 2905549

blood gems
 
we bwege peleka uzushi wako wa kingese huko kwa wajinga wenzio
 
Nilimsikia anasema anatuhumiwa kuiba. Kiukweli yeye haibi ila wanaoiba huwa wanapitishia Rwanda kwenda kuuza ulaya. Walaumiwe hao wanaonunua.

Nikajiuliza.
Anaruhusuje wezi kupitishia vitu nchini kwake?

Nikajiuliza nchi za wazungu zinapolicy kali sana za kununua madini yenye sintofahamu zenye chanzo damu.

Kabla sijalaumu, au kutuhumu natamani kujuq Rwanda inaelezeaje chanzo cha madini hayo. Na wanunuzi kama ni masoko yale yanayotambulika na sio wachina wajanjawajanja wananunuaje hivyo vitu?
Akasema kuwa akizuia wale wanaomsema kuwa anaiba Congo ndo watazidisha kumwbia anaiba Kongo.

Nikasema huyu jamaa mshenzi sana. Yeye ndo mwizi. Anacheza na watu wasiokuwa na akili. Wenye akili timamu wanamuelwa vizuri tu. Sema siku zake bado
 
Hii point ndio ya muhimu kbsaa Ni lzm ufanye lolote familia ipate chakula
Hii post umeikwoti mara mbili. Kwa uzoefu wangu na Banyarwanda siku zote huwa wanapenda kuidunisha Tanzania na kumfanya Kagame mungu mtu. Nimekaa nao sana, nimesoma nao kwa hilo nawaelwa vizuri. Unajua kwanini wanafanya hivyo? Deep down in their tribal thinking mind wanajua hapa East and Central Africa hakuna kama Tanzania.
 
Rwanda imeingiza kiasi cha dola Bilioni 1.1 katika mapato ya mauzo ya Madini mbali mbali kwa mwaka wa 2023.

Hiyo ni ongezeko ya asilimia 43 ya mauzo ya mwaka wa 2022 baada ya kupata dola milioni 772 kutokana na mauzo ya nje ya madini.

Hii ni mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo ambayo haina madini ya dhahabu.
c & p, #kitenge.

View attachment 2905549
Safi Kagame.
 
Hii post umeikwoti mara mbili. Kwa uzoefu wangu na Banyarwanda siku zote huwa wanapenda kuidunisha Tanzania na kumfanya Kagame mungu mtu. Nimekaa nao sana, nimesoma nao kwa hilo nawaelwa vizuri. Unajua kwanini wanafanya hivyo? Deep down in their tribal thinking mind wanajua hapa East and Central Africa hakuna kama Tanzania.
Umekuwa mungu kujua ya sirini mwa mtu?. Punguza unafiki.
 
Nilifanya mazungumzo na askari mmoja wa JW akasema shida sisi ( akimaanisha JW) tuna nidhanu sana. Wangeweza kuwa matajiri sana kama wangekuwa wanaiba Congo.

Sasa tukianza kuiba Kongo tutakuwa na tofauti gani na Kagame anayesemwa anaiba?

Sisi tunatakiwa tuweke mambo yetu sawa tuna kila resources hapa ya kutufanya tuishi vizuri bila kuiba Cha mtu yyte
Acha unafiki kujifanya una hasira na Kagame, wakati watu wanaiba hapa kila siku kwenye ripoti ya CAG mmekaa kimya. Anzeni kupiga kelele wizi wa ndani .
 
Back
Top Bottom