Rwanda yawa nchi ya pili kukumbwa na Corona Afrika mashariki

Rwanda yawa nchi ya pili kukumbwa na Corona Afrika mashariki

List itusaidie nini? si isaidie kuconfirm kama hatujapewa hizo kits, whats the matter kuulizia hiyo list, au unataka tumwamini yeye tu afu tufunge mjadala, pasipo kusoma from a credible source. Kama mm iq yangu ni size ya kiatu, wewe huna kabisa IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuachane na mjadala wa IQ, coz hiyo ipo wazi.
Turudi kwenye mada, yani Unauliza mkenya list ili uone kama serekali yako ilipata mgao wa kit itakayoisaidia kuhakikisha afya yako?! C'mon!! Huoni tatizo hapo? Rejea sentensi ya kwanza.
Alafu kit inakua procured, sio kupewa.
 
Kugundua korona sio uzuri wa lab, bali ni uwepo wa kit ya kugundua korona (kuwa na jiko zuri la kisasa haimaanishi unaweza ukapika chai kama huna majani chai)

Mbona Swali halina tatizo. Kits za kupima korona hazitengenezwi nnchini na hatujapata taarifa kama zimefika ukizingatia upande wa serekali PR section inafanya kazi vizuri sana hii awamu ya 5.

Sio kila kitu ni ligi, swali alouliza huyu jamaa ni la msingi sana. Tunatakiwa kujihoji kama tupo tayari kupambana na hivi virusi vikiingia nnchini na hatua mojawapo ni uwezo wa kupima. Sasa nyie mnataka List ili iwasaidie nini?

Wewe IQ yako ni size ya kiatu!
Tweet yenyewe imesema mashine zinapima joto la mwili wakati kinachoongelewa ni kupima virusi vya korona.

Duh Umeiweka vizuri sana, yaani kama kuna mtu bado ataendelea kuhoji baada ya hili jibu lako, atakua mjinga aliyepitiliza na itashangaza amewezaje hata kuingia JF.
Kuwa na jiko la kisasa bila majani na sukari bado hautaweza kupika chai.....
 
Mimi nadhani sio muhimu sana kukimbilia kupima virusi vya Corona, muhimu ni kuzuia kuenea kwa virusi, pamoja na kwamba nchi za Ulaya na Marekani vinazo hizo maabara zenye uwezo wa kugundua Corona, lakini bado zimepiga marufuku watu kusafiri na kuingia katika nchi zao. Ni jambo la kushangaza kuona watu wazima wanajisifia kuwepo kwa maabara za kupima Corona wakati nchi hiyo imeshapatwa na Corona, wakati hiyo nchi ambayo unaishupalia, hadi sasa imefanikiwa kuzuia maambukizi kuingia nchini.

Ipe mtazamoo huu, Wasingekua na kipimo, mpaka saivi wangekua wapo korona free! Nadhani Sihitaji kufafanua zaidi, achia akili ifanye kazi.
 
Mtu wa IQ ndogo kama wewe hutaelewa ujumbe wangu labda uusome mara kumi na uelezwe na mtu, kisha ufafanuliwe na watu kitaani ndio mpaka utakaribia kunielewa.
Nimesema na narudia, tafuta watu kama kumi hivi wakusaidie kuelewa ninachokisema hapa, kwamba hamna nchi yoyote iwe Kenya wala Ulaya yenye uwezo wa kugundua Corona ambayo haijakolea kwa kutumia vpima joto, ndio maana taifa kama Marekani ambao ujuzi wao, teknolojia zao ni zaidi yenu mara elfu moja, wao wameamua kufunga hawaruhusu wageni kutokea kwenye nchi zilizotajwa kuwa na Corona, maana kupima joto tu haitoshi.
Kubaini Corona lazima upimwe kwenye maabara, na vitumike vifaa maalum, hadi juzi mataifa machache ikiwemo Kenya ndio yalikua na maabara yenye uwezo huo, kama nyie mumefaulu kuongeza uwezo huo ndio mtuambie, sio ubumbumbu wa kutuletea mapicha ya watu wakipima kiwango cha joto.
Nyie mmefungia wageni wa nchi gani
Hiyo listi ya hayo mataifa ipo wap?
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Kugundua korona sio uzuri wa lab, bali ni uwepo wa kit ya kugundua korona (kuwa na jiko zuri la kisasa haimaanishi unaweza ukapika chai kama huna majani chai)

Mbona Swali halina tatizo. Kits za kupima korona hazitengenezwi nnchini na hatujapata taarifa kama zimefika ukizingatia upande wa serekali PR section inafanya kazi vizuri sana hii awamu ya 5.

Sio kila kitu ni ligi, swali alouliza huyu jamaa ni la msingi sana. Tunatakiwa kujihoji kama tupo tayari kupambana na hivi virusi vikiingia nnchini na hatua mojawapo ni uwezo wa kupima. Sasa nyie mnataka List ili iwasaidie nini?

Wewe IQ yako ni size ya kiatu!
Tweet yenyewe imesema mashine zinapima joto la mwili wakati kinachoongelewa ni kupima virusi vya korona.
Usipoona umuhimu wake ni juu yako... Mimi hiyo list ina umuhimu kwangu.
 
Watanzania elimu yenu imewaathiri sana mpaka mnakaa kama mazombi fulani hivi, kujadili na nyie mada yoyote inabidi mtu awe mvumilivu sana, you're very thick with low IQ.
Wewe hapa unaleta vipimo vya joto ambavyo kila nchi inavyo, hivi havisaidii chochote maana mtu aliyesheheni Corona ambayo haijakolea hagunduliki na hivi vipimo kwenye viwanja vya ndege, ndio maana mataifa mengi yameingia kwenye "lockdown", hakuna kuingia au kutoka.
Mfano Marekani amefunga haruhusu raia wa bara Uropa au hata Uingereza kuingia kwake, maana vipimo vya uwanja wa ndege sio vya kutegemewa.
Kinachozungumzwa kuhusu humu ni uwezo wa kumpima mshukiwa na kubaini kama kweli anayo Corona. Kumbuka vipimo hivi vya uwanja wa ndege vinapima joto, na kuna aina nyingi ya maradhi yanayoweza kusababisha kiwango cha joto kupanda.
Wewe jiulize Marekani pamoja na jeuri yake ya teknolojia alizo nazo kaamua kufunga, nyie na njaa zenu hapo mnaona mumejilinda sana kwa kupima joto, mnasahau kuna mtu akiambukizwa Corona, inapita wiki kabla joto kumpanda au kuhisi chochote, atapita hivyo vipimo vyenu na kutinga uswahilini na kuendeleza maambukizi.
Unayo kichaa wewe, hivyo ndio vipimo vinavyotumika hata China

Kwa hiyo hapo wanapima mimba?

Akili zenu bora za maiti 😂😂😂😂😂
 
Usipoona umuhimu wake ni juu yako... Mimi hiyo list ina umuhimu kwangu.
Hili ni jukwaa la kubadilishana mawazo na kuambiana ukweli, kunauwezekano kuna point mimi au mwingine hajaiona sio mbaya ukaelezea kutupa mtazamo mpana zaidi lakini tukisema kilammoja agugumie alichonacho tutakua wajinga. Jiamini kushare na kushawishi ila uwe open minded, usiogope kurekebishwa.
 
Huyo ndezi nishamsomaga kitambo kidogo kwenye uzi wa miraa, akijipiga kifua ni mtumiaji mzuri, basi mm nikafikia hitimisho, huyo atakuwa hana meno, kama anayo akichapwa kibao kimoja yanang'oka. [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂 Meno yameondoka na akili

Eti anasema hapo hawapimwi Corona

Sasa utajuaje mtu Ana Corona bila kujua joto lake LA mwili ambayo ndio symptom number moja then ukishajua ipo juu ndio unamuweka pembeni kwa diagnosis zaidi

Haya mazombi tabu sana
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Unayo kichaa wewe, hivyo ndio vipimo vinavyotumika hata China

Kwa hiyo hapo wanapima mimba?

Akili zenu bora za maiti 😂😂😂😂😂
Kuna msemo flani nimeona kama unakufaa.
"Pumbavu hua hajitambui, waliomzunguka ndo wanaopata tabu kuvumilia upumbavu wake."
 
Kugundua korona sio uzuri wa lab, bali ni uwepo wa kit ya kugundua korona (kuwa na jiko zuri la kisasa haimaanishi unaweza ukapika chai kama huna majani chai)

Mbona Swali halina tatizo. Kits za kupima korona hazitengenezwi nnchini na hatujapata taarifa kama zimefika ukizingatia upande wa serekali PR section inafanya kazi vizuri sana hii awamu ya 5.

Sio kila kitu ni ligi, swali alouliza huyu jamaa ni la msingi sana. Tunatakiwa kujihoji kama tupo tayari kupambana na hivi virusi vikiingia nnchini na hatua mojawapo ni uwezo wa kupima. Sasa nyie mnataka List ili iwasaidie nini?

Wewe IQ yako ni size ya kiatu!
Tweet yenyewe imesema mashine zinapima joto la mwili wakati kinachoongelewa ni kupima virusi vya korona.
Wewe bastard huwezi kujua Corona bila joto la mwili 😂😂😂😂😂😂

Japo umekuja na id nyingine lakini ukweli ulioukimbia ndio huohuo unaupata na hili lifekero lako jipya 😂😂😂😂😂

Au unataka tuweke CT scan hapo airport? Wewe kweli famba 😂😂😂😂😂
 
Kuna msemo flani nimeona kama unakufaa.
"Pumbavu hua hajitambui, waliomzunguka ndo wanaopata tabu kuvumilia upumbavu wake."
We Kafie mbele huko blalfuuu 😂😂😂😂😂😂
 
Nimeuliza swali rahisi, ila hakuna aliyenipa jibu kamili, naona mmepandwa na mafeelings tu. Ingekuwa ni mimi nimeulizwa kuhusu Kenya ningejibu kwa facts. Corona ilipoanza kutaja tajwa hapa Africa kulikuwa na nchi mbili ambazo zilikuwa na uwezo wa kupima uwepo wa virusi hivyo kwenye sampuli, Senegal na S.Africa. Baadaye mapema mwezi Machi nchi zingine kumi za Afrika zikapata kits na lab, Kenya ikiwemo, Tz haikuwa. Baada ya hapo sijapata taarifa zingine kuhusu suala hilo.

Umeuliza issue ya msingi, hao walio provoke swali lako wangejibu ulichouliza na sikuleta story nyingi!
 
Hili ni jukwaa la kubadilishana mawazo na kuambiana ukweli, kunauwezekano kuna point mimi au mwingine hajaiona sio mbaya ukaelezea kutupa mtazamo mpana zaidi lakini tukisema kilammoja agugumie alichonacho tutakua wajinga. Jiamini kushare na kushawishi ila uwe open minded, usiogope kurekebishwa.
Wewe msimamo wako ni upi... Ina umuhimu au haina umuhimu?....Mimi kwangu ina umuhimu coz kwanza ntajua nchi yangu imejipanga vipi... Na akidanganya kwenye hiyo listi ili kutetea nchi yake tutajua pia coz inabidi atupatie Iink ya source ya uhakika.Hatujaona response hadi sasa.
 
LOL hajielewi huyo

Yaani anataka kusema Tanzania imekosa pesa za kununua hizo test kits mpaka wasubiri msaada?

Hivi huyo ana akili timamu kweli?

Kwa namna issue ilivyo seriously serikalikazini inaweza kufanya huo upumbavu, kwa hiyo huko airport wale wanaopima Corona wa nafanya utani?

Hawa hawana akili mkuu wasikupotezee muda.
 
Hujaeleweka jaribu kufafanua swali lako

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe bastard huwezi kujua Corona bila joto la mwili 😂😂😂😂😂😂

Japo umekuja na id nyingine lakini ukweli ulioukimbia ndio huohuo unaupata na hili lifekero lako jipya 😂😂😂😂😂

Au unataka tuweke CT scan hapo airport? Wewe kweli famba 😂😂😂😂😂
Una mtazamo finyu sana
Joto la mwili kupanda linaweza kusababishwa na magonjwa mengi sio corona tu. Hata kipindi cha ebola kama ulisafiri nje ya nnchi walitumia hiyo hiyo thermometr gun.
Unavyosema " huwezi kujua Corona bila joto la mwili" unamaanisha nini? Hiyo scan ni very preliminary. Walivyo mpima Trump, Rais wa Marekani kwanini hawakutumia hiyo thermometer gun kama lazima kujua joto la mwili?
We Kafie mbele huko blalfuuu 😂😂😂😂😂😂
 
LOL hajielewi huyo

Yaani anataka kusema Tanzania imekosa pesa za kununua hizo test kits mpaka wasubiri msaada?

Hivi huyo ana akili timamu kweli?

Kwa namna issue ilivyo seriously serikalikazini inaweza kufanya huo upumbavu, kwa hiyo huko airport wale wanaopima Corona wa nafanya utani?

Hawa hawana akili mkuu wasikupotezee muda.
Nimemuacha na imani yake.
 
Wewe msimamo wako ni upi... Ina umuhimu au haina umuhimu?....Mimi kwangu ina umuhimu coz kwanza ntajua nchi yangu imejipanga vipi... Na akidanganya kwenye hiyo listi ili kutetea nchi yake tutajua pia coz inabidi atupatie Iink ya source ya uhakika.Hatujaona response hadi sasa.
Mtazamo wangu.... hiyo list haisaidii chochote coz sio mashindano. serekali yapaswa kutoa elimu na taarifa kuhusu mkakati gani ilioweka pale ambapo korona itaingia nnchni.
 
Unayo kichaa wewe, hivyo ndio vipimo vinavyotumika hata China

Kwa hiyo hapo wanapima mimba?

Akili zenu bora za maiti 😂😂😂😂😂

Akili za kizombi hizi bora hata za maiti, ni aibu na fedheha kubwa kama kuna mtu hutegemea ubongo wako wewe, kuna vipimo mara mbili
- Vya kupima joto, ambavyo hupima hata mtu wa Ebola, hivi havisemi kama una Corona au Ebola au Malaria, ila vinapima kama kiwango cha joto kipo juu,ulivyotuletea mapicha yake. Ikibainika kiwango cha joto kipo juu ndio inabidi utengwe na kupelekwa kwenye kipimo cha pili.

- Kipimo cha pili ndio kinatumia kitu tunaita "Corona test reagent", ikibainika kiwango chako cha joto kiko juu, unaletwa kwenye maabara maalumu na kutengwa humo "quarantine" unapimwa Corona kabisa. Kunao wanapmwa na kukutwa hawana Corona licha ya kuwa na joto mwilini maana inaweza ikasababishwa hata na Malaria.

Hadi juzi ni mataifa machache sana Afrika yalikua na uwezo wa kufanya kipimo hicho cha pili,
 
Back
Top Bottom