Rwanda yawa nchi ya pili kukumbwa na Corona Afrika mashariki

Tuachane na mjadala wa IQ, coz hiyo ipo wazi.
Turudi kwenye mada, yani Unauliza mkenya list ili uone kama serekali yako ilipata mgao wa kit itakayoisaidia kuhakikisha afya yako?! C'mon!! Huoni tatizo hapo? Rejea sentensi ya kwanza.
Alafu kit inakua procured, sio kupewa.
 

Duh Umeiweka vizuri sana, yaani kama kuna mtu bado ataendelea kuhoji baada ya hili jibu lako, atakua mjinga aliyepitiliza na itashangaza amewezaje hata kuingia JF.
Kuwa na jiko la kisasa bila majani na sukari bado hautaweza kupika chai.....
 
Mimi nadhani sio muhimu sana kukimbilia kupima virusi vya Corona, muhimu ni kuzuia kuenea kwa virusi, pamoja na kwamba nchi za Ulaya na Marekani vinazo hizo maabara zenye uwezo wa kugundua Corona, lakini bado zimepiga marufuku watu kusafiri na kuingia katika nchi zao. Ni jambo la kushangaza kuona watu wazima wanajisifia kuwepo kwa maabara za kupima Corona wakati nchi hiyo imeshapatwa na Corona, wakati hiyo nchi ambayo unaishupalia, hadi sasa imefanikiwa kuzuia maambukizi kuingia nchini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipe mtazamoo huu, Wasingekua na kipimo, mpaka saivi wangekua wapo korona free! Nadhani Sihitaji kufafanua zaidi, achia akili ifanye kazi.
 
Nyie mmefungia wageni wa nchi gani
Hiyo listi ya hayo mataifa ipo wap?
 
Reactions: Oii
Usipoona umuhimu wake ni juu yako... Mimi hiyo list ina umuhimu kwangu.
 
Unayo kichaa wewe, hivyo ndio vipimo vinavyotumika hata China

Kwa hiyo hapo wanapima mimba?

Akili zenu bora za maiti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Usipoona umuhimu wake ni juu yako... Mimi hiyo list ina umuhimu kwangu.
Hili ni jukwaa la kubadilishana mawazo na kuambiana ukweli, kunauwezekano kuna point mimi au mwingine hajaiona sio mbaya ukaelezea kutupa mtazamo mpana zaidi lakini tukisema kilammoja agugumie alichonacho tutakua wajinga. Jiamini kushare na kushawishi ila uwe open minded, usiogope kurekebishwa.
 
Huyo ndezi nishamsomaga kitambo kidogo kwenye uzi wa miraa, akijipiga kifua ni mtumiaji mzuri, basi mm nikafikia hitimisho, huyo atakuwa hana meno, kama anayo akichapwa kibao kimoja yanang'oka. [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Meno yameondoka na akili

Eti anasema hapo hawapimwi Corona

Sasa utajuaje mtu Ana Corona bila kujua joto lake LA mwili ambayo ndio symptom number moja then ukishajua ipo juu ndio unamuweka pembeni kwa diagnosis zaidi

Haya mazombi tabu sana
 
Reactions: Oii
Unayo kichaa wewe, hivyo ndio vipimo vinavyotumika hata China

Kwa hiyo hapo wanapima mimba?

Akili zenu bora za maiti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna msemo flani nimeona kama unakufaa.
"Pumbavu hua hajitambui, waliomzunguka ndo wanaopata tabu kuvumilia upumbavu wake."
 
Wewe bastard huwezi kujua Corona bila joto la mwili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Japo umekuja na id nyingine lakini ukweli ulioukimbia ndio huohuo unaupata na hili lifekero lako jipya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Au unataka tuweke CT scan hapo airport? Wewe kweli famba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna msemo flani nimeona kama unakufaa.
"Pumbavu hua hajitambui, waliomzunguka ndo wanaopata tabu kuvumilia upumbavu wake."
We Kafie mbele huko blalfuuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Umeuliza issue ya msingi, hao walio provoke swali lako wangejibu ulichouliza na sikuleta story nyingi!
 
Wewe msimamo wako ni upi... Ina umuhimu au haina umuhimu?....Mimi kwangu ina umuhimu coz kwanza ntajua nchi yangu imejipanga vipi... Na akidanganya kwenye hiyo listi ili kutetea nchi yake tutajua pia coz inabidi atupatie Iink ya source ya uhakika.Hatujaona response hadi sasa.
 
LOL hajielewi huyo

Yaani anataka kusema Tanzania imekosa pesa za kununua hizo test kits mpaka wasubiri msaada?

Hivi huyo ana akili timamu kweli?

Kwa namna issue ilivyo seriously serikalikazini inaweza kufanya huo upumbavu, kwa hiyo huko airport wale wanaopima Corona wa nafanya utani?

Hawa hawana akili mkuu wasikupotezee muda.
 
Hujaeleweka jaribu kufafanua swali lako

Sent using Jamii Forums mobile app
Una mtazamo finyu sana
Joto la mwili kupanda linaweza kusababishwa na magonjwa mengi sio corona tu. Hata kipindi cha ebola kama ulisafiri nje ya nnchi walitumia hiyo hiyo thermometr gun.
Unavyosema " huwezi kujua Corona bila joto la mwili" unamaanisha nini? Hiyo scan ni very preliminary. Walivyo mpima Trump, Rais wa Marekani kwanini hawakutumia hiyo thermometer gun kama lazima kujua joto la mwili?
We Kafie mbele huko blalfuuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimemuacha na imani yake.
 
Mtazamo wangu.... hiyo list haisaidii chochote coz sio mashindano. serekali yapaswa kutoa elimu na taarifa kuhusu mkakati gani ilioweka pale ambapo korona itaingia nnchni.
 
Unayo kichaa wewe, hivyo ndio vipimo vinavyotumika hata China

Kwa hiyo hapo wanapima mimba?

Akili zenu bora za maiti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Akili za kizombi hizi bora hata za maiti, ni aibu na fedheha kubwa kama kuna mtu hutegemea ubongo wako wewe, kuna vipimo mara mbili
- Vya kupima joto, ambavyo hupima hata mtu wa Ebola, hivi havisemi kama una Corona au Ebola au Malaria, ila vinapima kama kiwango cha joto kipo juu,ulivyotuletea mapicha yake. Ikibainika kiwango cha joto kipo juu ndio inabidi utengwe na kupelekwa kwenye kipimo cha pili.

- Kipimo cha pili ndio kinatumia kitu tunaita "Corona test reagent", ikibainika kiwango chako cha joto kiko juu, unaletwa kwenye maabara maalumu na kutengwa humo "quarantine" unapimwa Corona kabisa. Kunao wanapmwa na kukutwa hawana Corona licha ya kuwa na joto mwilini maana inaweza ikasababishwa hata na Malaria.

Hadi juzi ni mataifa machache sana Afrika yalikua na uwezo wa kufanya kipimo hicho cha pili,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…