Rwanda yawa nchi ya pili kukumbwa na Corona Afrika mashariki


Serikali yako ndio yenye jukumu ya kusema kama imefanikiwa kuandaa maabara kwa ajili ya Corona. Kutufuata Wakenya tukuhakikishia hilo utakua unajihangaisha.
 
Mtu yeyote ambaye joto lake limepanda lazima achukuliwe very serious na atengwe, hapo ndio damu yake ichukuliwe ipelekwe kupima, hata kama ni nchi ya nje hadi majibu yatakaporudi. Sio muhimu kwa kila nchi kuwa na uwezo wa kupima ugonjwa ambao bado haujaenea sana katika hiyo nchi, ndio sababu WHO inashauri kuwepo kwa nchi angalau moja katika kila kanda ili kupima huo ugonjwa ambao bado haujaenea sana, hadi utakapoenea sana ndio kila nchi italazimika kujenga uwezo wake wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo list ya hizo nchi kumi zilizopata msaada wa kits mbona hamzileti????..
Au mlitaka kutuokota hapa..aisee mkenya ni kilaza sana ila usipowajua unaweza ukadhani ni watu flani makini kweli😂😂😦
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia flani sio lazima kuwa na test kit ila kwenye situation kama hii ni muhimu kuchukulia worst case scenario. Na kutuma vipimo vyako nje ya nchi inapunguza ufanisi wako wa kupambana na mlipuko wa magonjwa ya kuambukiza kama korona
 
Serikali yako ndio yenye jukumu ya kusema kama imefanikiwa kuandaa maabara kwa ajili ya Corona. Kutufuata Wakenya tukuhakikishia hilo utakua unajihangaisha.
Nyie si ndio mlioiona list... Kwa nini msiilete tukaona wote....sababu lazima itakuwa na maelezo yatakayotusaidia... kama kweli mmeiona halafu mkashindwa kushare na mnavyopenda kujipaisha,lazima kuna jambo hapo.
 
Kaka ninachokuambia ni "recomendatio" ya WHO duniani kote, hasa katika nchi zenye rasilimali chache kama za Afrika. Sio busara kwa kila nchi kununua vifaa kwa ajili ya ugonjwa ambao haijafikia, na ukifika inawezekana usiwapate hata 0.01% ya watu wake, ukawa umeisha. Hivi kama tungelinunua mitambo ya kupima Ebola kwasababu tu DRC na Uganda ilikuwepo, sasa hivi hivyo vifaa na reagents tungevifanyia nini?

Sasa hivi kama Kenya au South Afrika wanaouwezo wa kupima Corona, tuendelee Kupeleka "sample" za damu hadi tutakapokua na wagonjwa wa kutosha ambapo hata tukinunua mashine na dawa, vitatumika havitokaa bure hadi viharibike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeuliza issue ya msingi, hao walio provoke swali lako wangejibu ulichouliza na sikuleta story nyingi!
Hawa vichaa bila shaka ndio wale ambao walienda shuleni kuiba miwa. Alafu mtu akiwa offline wanaanza kuruka ruka utadhani kuna mkataba ambao nilitia saini ndio nilazimike kukesha hapa Jf 24/7. Nilitegemea wanipe jibu simpo kama hivi; Kenya now in position to test for COVID-19 Hiyo ni taarifa kuhusu Kenya ilipomaliza rasmi shughuli ya ku'set up' kits kwenye lab mbili za shirika la kiserikali la risechi, KEMRI(Kenya Medical Research Institute). Hii nayo ilikuwa ni update(Feb13) kutoka kwa W.H.O-AFRO 'regional office' ya W.H.O hapa Afrika. Hizi ndio nchi ambazo zilipata kits na lab za kupima COVID-19, baada ya nchi za kwanza za hapo awali, Senegal na S.Africa.
 
Mtazamo wangu.... hiyo list haisaidii chochote coz sio mashindano. serekali yapaswa kutoa elimu na taarifa kuhusu mkakati gani ilioweka pale ambapo korona itaingia nnchni.
Hiyo ni kwa upande wako... Hata hivyo mimi focus yangu kubwa kwenye hiyo list ni maelezo... Sihitaji hata kubishana na mtu kama unavyodai... Nafahamu hayo maelezo yataeleza nchi nyingine zimejipanga vipi na hapo ntajua nchi yangu pia imejipangaje...Mimi sihitaji eti listi tu namba 1 huyu,no 2 yule no 3 hapana.
 
Tungefanyia research.
Sijui wewe ila kwangu mimi swala la afya na maisha ya mTanzania nachukulia serious sana. Hili ni eneo moja naamini huwezi ukazidisha utayari. Kutumia hata billioni moja kununua mashine ya kupima alafu ugonjwa ukaisha sioni kama ni issue coz sio guarantee hautarudi kama small pox. Tunapoteza hela nyingi kwa vitu visivyo vya msingi kwaiyo kwenye kulinda afya na maisha ya mTanzania mmoja is worth all the money we can throw at it.
 
Kwa iyo umekiri kwamba kupima joto ndio initial stage ya kipimo, sasa huwezi kujiona venye ubongo wako umejaa mavi. Ulivyokuwa unasema tuna IQ ndogo sababu tumeweka vipima joto airports, au ulitaka airports kuwe na vipimo vyote.
Zero brain kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rwanda wamegunduaje kwamba wana mgonjwa wa corona kama hawana huo uwezo we mbulula, au walitumia kipimo cha joto, tutoleeni ujinga hapa with your fake news. Juzi moshi wamepimwa watu airport wakagundulika na joto abnormal wakaenda kupimwa mawenzi ikagundulika hawana huo ugonjwa, walitumia nini kugundua hawana huo ugonjwa. Wakenya wengine wajinga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nae fara tu, pita hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wai, wana akili fupi kama soli ya kiatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugonjwa wa Corona nguvu kubwa huwekwa katika kukinga sio kutibu, kinga hufanywa kwa "Screening not testing". Mtu yeyote mwenye dalili lazima atengwe bila kujali kwamba amepimwa au hapana.

Kaka wacha kupingana na wataalamu wa WHO, wao ndio wameshauri hivyo baada ya kufanya tafiti, sio kufanya vile wapendavyo. Hivi unajisikiaje kama nchi itatumia 1B, kununua vifaa ambavyo havitumiki au havitotumika kabisa na kuacha kununua chanjo zitakazoweza kuwakinga watoto milioni moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wewe ubongo wako uliojawa makamasi na uharo mbona imekuchukua masaa yote kuelewa chochote ninachkisema, nimesema na narudia tena, rudi kwa hao wanakutafsiria kwamba kipimo cha joto hakitoshi, sio cha kuja kutambia watu hapa maana Corona huchukua muda sana kabla kuongeza joto kwa mwili, hivyo anaweza akapita mtu mwenye Corona bila kugundulika, halafu eti wewe ndiye tegemezi wa taifa lako kama great thinker wakati ubongo umejaa shahawa na kila aina ya maggots.
 
We nae fara tu, pita hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiishiwa hoja sio hatia kunyamaza. Rejea sentesi ya kwanza
 
Kama nilivyosema, kulinda maisha ya mTanzania mmoja is worth all the money we can throw at it. Ukiongelea "kuacha" umetoka nayo wapi?
hivi vitu ni mutually exclusive sio inclusive.
Sijakataa screening sio muhimu, as a preliminary ila hatua ya pili ya kupima ndo muhimu zaidi Ukiiangalia kwa mapana yake. Usipompima unahatarisha wengine ambao huenda wakawa na joto ila hawana corona ukizingatia ni zoezi endelevu na quarantine ina cost zake pia
 
Ashakum si matusi ila wewe jamaa ni mpumbavu kupitiliza. Rudi shuleni tafadhali tunazungumzia testing na confirmation ya samples kwenye lab sio kupimwa joto ya mwili. Kenya tulikuwa tunatuma sample S.A. kabla ya kupata kits. Labda kwa sasa Rwanda wana uwezo pia. Ila hiyo ramani, ambayo wewe unasema ni fake news, ya nchi ambazo zina COVID-19 'testing capacity' ilikuwa ni update ya Feb. kutoka kwa W.H.O-AFRO(African Regional Office). Ulitumia nguvu nyingi, matusi na umbea wa kibraza du kuitisha taarifa hiyo alafu baada ya kuzipata sasa unasema kwamba hazifai.
 
Sio kweli unavyosema, testing hufanywa kwa mtu mwenye kuonyesha dalili pekee, kama hana dalili hafanyiwi testing, anachofanyiwa ni kuwekwa chini ya karantini kwa siku 14 kama ataonyesha dalili, na katika kipindi hicho cha karantini, haruhusiwi kuchanganyika na watu, hivyo sio sawa ukisema kwamba mtu ambaye hahapimwa anahatarisha watu wengine.

Kaka lazima ukubali kwamba, kama ugonjwa haujaingia nchini, nguvu lazima ziwekwe katika "Screening not testing", ukishaanza kuzagaa ndio testing inaanza kuwa muhimu. Kwanza itaanza katika maabara moja nchi nzima, kadri ugonjwa unavyoeenea ndio umuhimu wa kueneza sehemu za kupima nchi nzima unapojitokeza. Hapo Kenya ni sehemu moja tu ndio inapima Corona, kwanini usiwashauri wasambaze vipimo nchi nzima kwa sasa?, jibu ni kwamba kwasababu bado ugonjwa haujafika nchi nzima. Prudent use of public resourses.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…