MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Wewe msimamo wako ni upi... Ina umuhimu au haina umuhimu?....Mimi kwangu ina umuhimu coz kwanza ntajua nchi yangu imejipanga vipi... Na akidanganya kwenye hiyo listi ili kutetea nchi yake tutajua pia coz inabidi atupatie Iink ya source ya uhakika.Hatujaona response hadi sasa.
Serikali yako ndio yenye jukumu ya kusema kama imefanikiwa kuandaa maabara kwa ajili ya Corona. Kutufuata Wakenya tukuhakikishia hilo utakua unajihangaisha.