Rwanda yawa nchi ya pili kukumbwa na Corona Afrika mashariki

DRC,Rwanda Garbon walijuaje case za CoronaVirus?
 
Hiyo list ya hizo nchi kumi zilizopata msaada wa kits mbona hamzileti????..
Au mlitaka kutuokota hapa..aisee mkenya ni kilaza sana ila usipowajua unaweza ukadhani ni watu flani makini kweli
Haikuwa misaada, ila hata orodha yenyewe haitapunguza pumba zenu. Mbona hamtoi taarifa zozote kutoka GoT, mpo gizani kabisa au ndio kunaendaje? Ndio hizi taarifa zenyewe na ramani kutoka kwa W.H.O. Update hii ilikuwa ya FEBRUARY 13.
 
Wewe ni mtu mzima usiejielewa alafu ni mpumbavu.
Sasa uwanja wa ndege kuna installments gani zingine za kupimia corona apart from kupima joto la watu kwanza.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mtu mzima usiejielewa alafu ni mpumbavu.
Sasa uwanja wa ndege kuna installments gani zingine za kupimia corona apart from kupima joto la watu kwanza.



Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe mjinga bado unahangaika hujanielewa mpaka sasa, tulizungumza kuhusu uwezo wa kupima Corona kwenye maabara kisha mlivyo wapumbavu mkaanza kutuletea mapicha ya kupima joto kwenye uwanja wa ndege eti ndio uwezo wenu huo. Upimaji wa joto kitu cha kawaida sana na hufanywa mara nyingi hata mipakani.
Corona ina vipimo vyake maalum, kupima joto ni kwa mtu ambaye itakua imepitiliza na kumuongeza joto. Kuna hata mataifa yameacha kupima joto na yakafunga viwanja vyake vya ndege, hakuna kuingia au kutoka.
IQ zenu hovyoo sana....
 
Kwa iyo unataka kuniambia Rwanda walipeleka samples SA au Kenya.
Haya umeshinda fara ww.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu ambaye bado hajaonyesha dalili zozote za Corona, hata laboratory test hii inayotumika sasa hivi pia sio rahisi kugundua kama ameambukizwa, kwasababu hicho kipimo hakipimi virusi (Viral load), bali kinapima kuwepo kwa kinga ya mwili dhidi ya virusi vya Corona(antibodies). Mtu aliyeambukizwa inachukua muda ili hizo antibodies ziweze kutenfenezwa mwilini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishakwambiaga we ni mtu mzima hovyo, una low iq. I was answering pingli inye who was questioning if the United Republic of Tanzania have any equipment used for detecting corona or we're just washing hands and acting. I repeat, washing hands and acting, he presumed we do not even check temperatures as an initial check up.
Ndio nikamjibu hivyo, ww unatoka huko unaingilia thread usiyoielewa afu unaunga mkono low iq thoughts, that we're acting abt corona and we're only washing hands to fight it. I swear, you're so low IQed, most of y'all Kenyans are so low IQed, you didnt even know what started the feud


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pingliwe aliuliza swali la msingi sana maana lilitokana na taarifa za juzi kati kwamba mataifa machache tu ndio yenye uwezo wa kupima virusi vya Corona, ulivyo mjinga wewe na yule mpumbavu mwenzako mkaanza kutupia picha za kupima kiwango cha joto kwenye uwanja wa ndege, ambacho ni kitu kimekua kikifanywa kwenye mataifa yote duniani.

Hawa hapa mumekua chni mkiwapokea kwa kupima joto na imekua kawaida kote duniani, ila swali la msingi ni je kwenye maabara mumepata reagents za Corona, hadi juzi mataifa sita tu ndio yalikua na uwezo huo, na WHO wamefanya jithada za ziada kuongeza mataifa zaidi.

 
Soma tweet vizuri acha kukurupuka hovyo, who's trump by the way?

Tweet inasema wamefunga aina mbili za vipimo, aina ya kwanza ni vile vinavyompima mtu bila yeye kujua na nyingine ndio hiyo thermometer gun, kipi huelewi?

Of course yes those are preliminary diagnosis but effective, ulitaka abiria wote wakitoka airports na mipakani wakimbizwe muhimbili kwa vipimo vikubwa?

Acha uzwazwa wewe ni famba halafu unajiona mjanja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
LOL imetoka vipimo as toys mpaka reagents πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na bado
 
LOL imetoka vipimo as toys mpaka reagents πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na bado

Umeanza kutia akili, shukuru huyo anayekutafsira hapo pembeni.
 
LOL wewe kweli mmiliki wa akili ya maiti

Mgonjwa wa Corona haitaji hayo mashudu yote uliyotema hapo ili kuprove kwamba ana Corona, mbona hii epidemic symptoms zake zipo wazi sana na kutokana ulivyo na kasi kubwa ya kushambulia kinga za mwili unabainika kiurahisi kuliko unavyotaka tuamini

Kubwa jinga wewe. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
LOL πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mpuuzi sana wewe
Testing new virus labs ndio Corona test kits?

Mambo mengine sio lazima uongelee kama akili yako ni finyu kupita upeo wa issue husika.
 
Haikuwa misaada, ila hata orodha yenyewe haitapunguza pumba zenu. Mbona hamtoi taarifa zozote kutoka GoT, mpo gizani kabisa au ndio kunaendaje? Ndio hizi taarifa zenyewe na ramani kutoka kwa W.H.O. Update hii ilikuwa ya FEBRUARY 13.
LOL taarifa ya Tanzania ipo straightforward, Tanzania haina Corona period


Una lingine?
 
Kama mliweza kuacha wale wachina nyege nzima ikaingia mtaani halafu mkaanza kuwasaka mtaani basi yatosha Kenya, Kenyans ni Nyumbu tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Oii

Huyo anayekutafsiria naona hafanyi kazi ya maana, ubongo wako bado umejawa shahawa, Corona kabla kupandisha joto inaweza ikachukua hata wiki, hivyo kukenua meno kwenye uwanja wa ndege na hizo toys za kupima joto na kutegemea eti ndio umejilinda ni ujinga uliokubuhu.
Kuna mataifa yamefunga kabisa, hamna vya kupima joto wala nini, haruhusiwi mtu kuingia au kutoka, hususan mataifa ambayo hayajapata kesi yoyote, maana hawa hapa mnaowapokea wanapita wakitabasamu na hizo toys zenu hazitagundua kama ikitokea kaambukizwa jana au juzi....

 
Effective?! You sound mentally retarded ukuzingatia taarifa zilizopo duniani saivi.
Kwanza Rudi nyuma ujue haswa nini mjadala naona umeanzinsha mwingine. Trump ni POTUS na ndo mtu aliepimwa ninaemfaham kwa jina. (Specificity)
 
Soma tena umuelewe huyo jamaa, umeshindwa kumwelewa u akurupuka kwa mihemko,
Low IQ.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nini hapo cha kudadavua? Sihitaji any IQ kuelewa alichokisema na nikajibu bila "kugusa" IQ yangu
 
Low iq bonobo, mm sijatuma picha yoyote.
Na alietuma picture na niliyojibu mimi yamesababishwa na post #7, by pingli inye. Huandikwaga juu ya each comment, yours is #89. So we came bcoz of that comment, nenda kasome hiyo post, ipo 1st page. Sasa usivyo na akili timamu unaanza niletea pctr za wachina wakija Tz, as if hakuna wachina walokuja kenya aftr corona outbreak. You're so pathetic dumb

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…