joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ethiopia inanipa taabu sana kuitaja kama ni nchi ya Afrika Mashariki, kiukweli kabisa, Rwanda sio Afrika mashariki(Geographically).Nchi ya tatu Afrika Mashariki, jana Ethiopia pia walipata case yao ya kwanza. Ethiopia Confirms First Case of Coronavirus
Ethiopia inanipa taabu sana kuitaja kama ni nchi ya Afrika Mashariki, kiukweli kabisa, Rwanda sio Afrika mashariki(Geographically).
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vigumu sana kuzitoa Rwanda na Burundi ktk EAC hizo chi mbili ziko mbavuni mwetu ni kama sehemu ya mike yetu ya kanda yetu ya magharibi..
Kuna tofauti kubwa kati ya muungano wa nchi za Afrika mashariki(EAC) na Afrika Mashariki(A.M).Ethiopia inanipa taabu sana kuitaja kama ni nchi ya Afrika Mashariki, kiukweli kabisa, Rwanda sio Afrika mashariki(Geographically).
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania kuna kits na lab za kupima uwepo wa virusi vya COVID-19 kwenye sampuli zinazoshukiwa kuwa na virusi hivyo vya Corona? Au ni usanii tu wa kuosha mikono kwa maji yanayotiririka na kusalimiana kwa kunyanyua mguu mmoja?
Ethiopia, Somalia and Djibouti have traditionally been considered to be located in the horn of Africa...Kuna tofauti kubwa kati ya muungano wa nchi za Afrika mashariki(EAC) na Afrika Mashariki(A.M).![]()
Kina Comoros na Madagascar are in East Africa in fact there are 18 countries in the Region.Ethiopia, Somalia and Djibouti have traditionally been considered to be located in the horn of Africa...
Duh, unaichulia Tz kiuwepesi sana. Ati una question kama Tz ina kits and lab za kupimia corona au ni usanii wa kuosha mikono, the audacity you have, u must be high kwa kwa miraa. Are u serious au you're jokingTanzania kuna kits na lab za kupima uwepo wa virusi vya COVID-19 kwenye sampuli zinazoshukiwa kuwa na virusi hivyo vya Corona? Au ni usanii tu wa kuosha mikono kwa maji yanayotiririka na kusalimiana kwa kunyanyua mguu mmoja?
Niliona mahali wametofautisha kwa East Africa & Eastern Africa.Kuna tofauti kubwa kati ya muungano wa nchi za Afrika mashariki(EAC) na Afrika Mashariki(A.M).![]()
Very cheap argument.Tanzania kuna kits na lab za kupima uwepo wa virusi vya COVID-19 kwenye sampuli zinazoshukiwa kuwa na virusi hivyo vya Corona? Au ni usanii tu wa kuosha mikono kwa maji yanayotiririka na kusalimiana kwa kunyanyua mguu mmoja?
Niliona mahali wametofautisha kwa East Africa & Eastern Africa...sababu sijui.
Tanzania kuna kits na lab za kupima uwepo wa virusi vya COVID-19 kwenye sampuli zinazoshukiwa kuwa na virusi hivyo vya Corona? Au ni usanii tu wa kuosha mikono kwa maji yanayotiririka na kusalimiana kwa kunyanyua mguu mmoja?
Asante kwa kunijuza.Kuna muungano unaoitwa East Africa Community na kuna ukanda unaoitwa Eastern Africa.
Nchi kuweza tu kupandikiza au kubadilisha figo, ujuwe Kuna lab ya kuweza kugudua vitu kibao sana. Tanzania Kuna lab nzuri sana
Nimeuliza swali rahisi, ila hakuna aliyenipa jibu kamili, naona mmepandwa na mafeelings tu. Ingekuwa ni mimi nimeulizwa kuhusu Kenya ningejibu kwa facts. Corona ilipoanza kutaja tajwa hapa Africa kulikuwa na nchi mbili ambazo zilikuwa na uwezo wa kupima uwepo wa virusi hivyo kwenye sampuli, Senegal na S.Africa. Baadaye mapema mwezi Machi nchi zingine kumi za Afrika zikapata kits na lab, Kenya ikiwemo, Tz haikuwa. Baada ya hapo sijapata taarifa zingine kuhusu suala hilo.Very cheap argument.
Duh, unaichulia Tz kiuwepesi sana. Ati una question kama Tz ina kits and lab za kupimia corona au ni usanii wa kuosha mikono, the audacity you have, u must be high kwa kwa miraa. Are u serious au you're joking
.....and the Horn of Africa is located in East Africa. Same as the Great Lakes Region.Ethiopia, Somalia and Djibouti have traditionally been considered to be located in the horn of Africa...
Listi yenyewe ipo wapNimeuliza swali rahisi, ila hakuna aliyenipa jibu kamili, naona mmepandwa na mafeelings tu. Ingekuwa ni mimi nimeulizwa kuhusu Kenya ningejibu kwa facts. Corona ilipoanza kutaja tajwa hapa Africa kulikuwa na nchi mbili ambazo zilikuwa na uwezo wa kupima uwepo wa virusi hivyo kwenye sampuli, Senegal na S.Africa. Baadaye mapema mwezi Machi nchi zingine kumi za Afrika zikapata kits na lab, Kenya ikiwemo, Tz haikuwa. Baada ya hapo sijapata taarifa zingine kuhusu suala hilo.
Nadhani Eastern Africa ni pana zaidi na ndio inajumuisha hadi nchi za Comoros na Madagascar.Niliona mahali wametofautisha kwa East Africa & Eastern Africa.