Tetesi: RwandaAir, Air Tanzania & Uganda Airlines Kuungana

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
1. Katika kuhakikisha wanakamata soko la usafirishaji wa Anga. RwandAir, Uganda Airlines na Air Tanzania kuungana ili kupambana na washindani wakuu kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki (Kenya Airways & Ethiopian).

2. Mashirika haya matatu wanaruka destinations nyingi zinafanana barani (JHB, JRO, LSK, HRE, NLA, LOS, NBO, DAR, EBB, KGL, CPT) na Asia (DXB, DOH, PEK, BOM). Kuungana kwao ni kuwaimarisha kibiashara na kupanua wigo wa destinations mpya.

NB: CEO/MD apatikane on merit/ competitive basis bila kujali utaifa wake sio UKADA.
 
Pia utawezesha ndege kubeba abiria wengi
 
UKAWA
 
Naamini wanafanya kile wanaita code sharing kama wanavyofanya Kenya airways na KLM au Precision Air na Kenya Airways.
 
Virema wa miguu wote wanaungana kukimbia mbio za marathoni je wa taweza? Air Tanzania imeshindwa ku-capitalise domestic flight zake soko ni kubwa ndege zipo viwanja vipo ila ni meneno tupu kama tume rogwa internatinal flight ndo ataweza?
 
EAC kupambana na EAC! Muungano huu hautadumu kutokana na Tanzania kuwa na viwanja vingi jambo lililojitokeza wakati wa EAC(Kenya, Uganda na Tanzania) kwa nchi Kenya na Uganda kulalamika kwani ndege zilikuwa zikitumia muda mwingi Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…