Tetesi: RwandaAir, Air Tanzania & Uganda Airlines Kuungana

Tetesi: RwandaAir, Air Tanzania & Uganda Airlines Kuungana

1. Katika kuhakikisha wanakamata soko la usafirishaji wa Anga. RwandAir, Uganda Airlines na Air Tanzania kuungana ili kupambana na washindani wakuu kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki (Kenya Airways & Ethiopian).

2. Mashirika haya matatu wanaruka destinations nyingi zinafanana barani (JHB, JRO, LSK, HRE, NLA, LOS, NBO, DAR, EBB, KGL, CPT) na Asia (DXB, DOH, PEK, BOM). Kuungana kwao ni kuwaimarisha kibiashara na kupanua wigo wa destinations mpya.

NB: CEO/MD apatikane on merit/ competitive basis bila kujali utaifa wake sio UKADA.
Waafrika hawajawahi fanikisha lolote. Wanchoeza ni kuiba, kuua, kuteka, na Kukubali kutokubaliana , hili wanaliweza sana
 
Virema wa miguu wote wanaungana kukimbia mbio za marathoni je wa taweza? Air Tanzania imeshindwa ku-capitalise domestic flight zake soko ni kubwa ndege zipo viwanja vipo ila ni meneno tupu kama tume rogwa internatinal flight ndo ataweza?
Wanashangaza kweli, eti Dar to Bukoba go and return ni tsh 800,000+
 
Kuungana kivipi yani? Kugawana mapato au kuunda shirika moja ilihali sisi tushatumia matrillion kuagiza ndege lukuki?
 
1. Katika kuhakikisha wanakamata soko la usafirishaji wa Anga. RwandAir, Uganda Airlines na Air Tanzania kuungana ili kupambana na washindani wakuu kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki (Kenya Airways & Ethiopian).

2. Mashirika haya matatu wanaruka destinations nyingi zinafanana barani (JHB, JRO, LSK, HRE, NLA, LOS, NBO, DAR, EBB, KGL, CPT) na Asia (DXB, DOH, PEK, BOM). Kuungana kwao ni kuwaimarisha kibiashara na kupanua wigo wa destinations mpya.

NB: CEO/MD apatikane on merit/ competitive basis bila kujali utaifa wake sio UKADA.
Asili ya Air Tanzania kufilisika mazima ni kuungana na SAA wakaunda Alliance Air baada ya kumalizika kwa muda wa ushirikiano, Air Tanzania ikabaki hata safari za ndege haina.

Na SAA ikawa imechukua soko lote la safari la SA to TZ wakiwa hadi na ndege tatu kila siku. Hivyo, hata hawa nao nawaona wanalitaka tu soko la abiria hasa wa ndani ya Tanzania.

Na mwisho wa ushirikiano hizo ndege 11 zote hazitaweza kupaa na shirika litakuwa na madeni maradufu. So hifadhini hii post ili yakishatukia mje mseme kuwa nilisema hata kama sitakuwepo duniani.

Ova
 
Sema ushirikiano wa kibiashara na sio kuuangana. Kumbuka yaliyotokea kwenye shirika la ndege la Afrika Mashariki lililoinufaisha Kenya na kudhoofisha Tanzania na Uganda.

Taarifa zilizopo ni kwamba, Rwanda ina mpango wa kuuangana Quatar Airways katika mfumo wa Rwandair kuiuzia Quatar Airways asilimia 40 ya hisa kwenye umiliki wake. Hii ni pamoja na ujenzi wa uwanja mpya wa ndege wa Bugesera.
 
Anaewaunganisha hapo ni ET kwa kupitia mgongo wa Rwanda ambao ana hisa huko hata Malawi air..
 
Back
Top Bottom