Rwandan Foreign Minister: Kikwete could be an FDLR sympathiser

Rwandan Foreign Minister: Kikwete could be an FDLR sympathiser

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,575
After Kikwete's speech, Rwandan Foreign Minister Louise Mushikiwabo was quoted by Radio France Internationale (RFI) suggesting Kikwete could be an FDLR sympathiser and was adamant that Rwanda would not negotiate with people it considers responsible for the 1994 genocide against Tutsis.

Ethnic Hutu militia and soldiers butchered 800,000 minority Tutsis and politically moderate Hutus in the tiny east African country in just 100 days between April and June 1994. Kikwete said he had been a target of insults and ridicule from Rwandan leaders, while also hearing a lot of "alleged plots" against Tanzania and himself. He did not elaborate.

"I would like to reiterate that neither I nor my government have any conflict nor any ill intentions towards Rwanda," he said.
A 17,000-strong U.N. force, known as MONUSCO, and Congo troops have struggled over the past decade to stem a conflict involving dozens of armed groups and complicated by national and ethnic rivalries. A new 3,000-member U.N. Intervention Brigade was recently deployed to fight and disarm rebels in the east.

(Writing by Drazen Jorgic; Editing by Alistair Lyon)

Pia, soma: Kagame tells Kikwete "I will hit you......"
 
Huyu kagame si alikuwa msituni na anahusika na mauaji ya hao wanyarwanda kama inavosemekana?
since aliingia kwa damu madarakani kiburi chake hakiwezi kwisha.
ajiangalie sana kwani Ghadafi was like him, yuko wapi sasa?
how can u be a good president if yu dont side with your enemies?
 
Huyu dada yake Londe Ndasingwa aache kutumia emotions. Huyu Mama aliwekwa katika hiyo position na Kagame kwa makusudi ili mtumie kwenye rhetorics za genocide kwa kuwa kaka yake Londe aliuawa mwaka 1994 akiwa mtutsi pekee kwenye baraza la mawaziri la Habryiamana. Alitekwa na kuuawa yeye na mke wake raia wa Canada.

Sasa Kagame alijua Louise atakua bitter katika rhetorics za Genocide ndiyo maana akamteua badala ya kuteua wanadiplomasia wengine. Huyu mama kitaaluma kasomea public relations kwa hiyo intellectual pedigree yake inaweza kuwa questioned kwenye masuala ya kimataifa kwa kuwa anaweza kuwa na upungufu wa maarifa katika fani hiyo

Hajui waliommaliza kaka yake ndiyo waliomzunguka?
 
Kazi za waziri wa eac sitta ni nini????? Vikao vinafanyika ata kutoa taarifa; toa msimamo wa serikali anakaa kimya; sioni kwa akili yangu anamkomoa jakaya kikwete ila anakomoa watanzania. Rwanda waziri na anajibu kwa niaba ya rais kp
 
Huyu dada yake Londe Ndasingwa aache kutumia emotions.Huyu Mama aliwekwa katika hiyo position na Kagame kwa makusudi ili mtumie kwenye rhetorics za genocide kwa kuwa kaka yake Londe aliuawa mwaka 1994 akiwa mtutsi pekee kwenye baraza la mawaziri la Habryiamana.Alitekwa na kuuawa yeye na mke wake raia wa Canada.

Sasa Kagame alijua Louise atakua bitter katika rhetorics za Genocide ndiyo maana akamteua badala ya kuteua wanadiplomasia wengine.Huyu mama kitaaluma kasomea public relations kwa hiyo intellectual pedigree yake inaweza kuwa questioned kwenye masuala ya kimataifa kwa kuwa anaweza kuwa na upungufu wa maarifa katika fani hiyo

Hajui waliommaliza kaka yake ndiyo waliomzunguka?

Kikwete alikuwa Waziri wa mambo ya nje kwa miaka 10, alikuwa na degree ya nini?
 
Huyu dada yake Londe Ndasingwa aache kutumia emotions.Huyu Mama aliwekwa katika hiyo position na Kagame kwa makusudi ili mtumie kwenye rhetorics za genocide kwa kuwa kaka yake Londe aliuawa mwaka 1994 akiwa mtutsi pekee kwenye baraza la mawaziri la Habryiamana.Alitekwa na kuuawa yeye na mke wake raia wa Canada.

Sasa Kagame alijua Louise atakua bitter katika rhetorics za Genocide ndiyo maana akamteua badala ya kuteua wanadiplomasia wengine.Huyu mama kitaaluma kasomea public relations kwa hiyo intellectual pedigree yake inaweza kuwa questioned kwenye masuala ya kimataifa kwa kuwa anaweza kuwa na upungufu wa maarifa katika fani hiyo

Hajui waliommaliza kaka yake ndiyo waliomzunguka?

Ben huwa nasoma na kufurahishwa na ujenzi wa hoja zako.

Mintaarafu dai hili, nimekuwa nakusoma sana katika suala la Kagame vs. JK na kugundua kwamba wakati mwingine 'uzalendo' ukiwekwa sukari nyingi unaweza ukageuka kuwa mchungu. Kwa watu wanaofuatilia kwa makini utendaji wa Mhe Rais Dr. JK katika nafasi yake ya urais (na sio vinginevyo) na wanataka kuwa wakweli watakubaliana kuwa anayo sehemu kubwa ya udhaifu. Kila binadamu ana udhaifu wa aina fulani. Kwa hivyo kusema Mhe JK ana udhaifu fulani sio dhambi wala kitu cha ajabu.

Kuhusu suala hili la Kagame vs JK, nimegundua kitu kimoja kikubwa kwamba sisi Wabongo ndio tunafikiria tu binadamu pekee wenye hisia na wengine ni 'marobot'! Nikizingatia kauli ambazo Mhe Rais Dr JK amewahi kuzitoa hadharani kuhusu masuala yetu ya humu humu ndani ya nchi na kutuacha baadhi yetu midomo wazi - mfano, "watoto wa shule wanaopata mimba wanazipata kwa sababu ya kiherehere chao" - kwa nini tusifikirie kuwa kauli aliyotoa kuhusu mgogoro wa ndani ya Rwanda nayo inaweza kuwaacha wanyarwanda 'midomo wazi'?

Kwa sababu nao ni binadamu wenye hisia kama tulivyo sisi wabongo. Hili sio sula la 'uzalendo' bali ni suala la 'umakini katika utawala'. Udhaifu wa JK umetumeza sote na tunafungia akili zetu katika makabati! Wanyarwanda may have a point - let's take a step back and give the whole issue a serious thought rather than being dragged into 'udhaifu' zone.
 
MPIGA ZEZE

unajua nikuambie kitu, rais wetu ni kwel kabisa hukustahl kuwa rais lakn mimi binafs namuunga mkono kwa alyoyasema coz style hiyo hiyo unayomwona nayo kagame na kikundi chake cha kijesh waliyochukua nch ndio style wale wahutu nao watakuja kuichukua nch coz akina kagame wazaz wao walipigwa wakakimbilia kongo wale wazee wakaja kufa sasa watoto wamejikusanya wamerudi wamechukua nchi.

So, ushauri wa huyu mzee wetu nafikir alikuwa sahh tu. kuwa ili kuzuia hilo licje kutokea mbelen hawa wagomv wenu waiten mkae chin mkubaliane mjenge nchi yenu. cc tutawasaidia. hayo tu. coz pia ujue kwenye suala la upatanishi.

Ujue kuna kukubali kusiko kukubaliana.
 
Last edited by a moderator:
Huyu dada yake Londe Ndasingwa aache kutumia emotions.Huyu Mama aliwekwa katika hiyo position na Kagame kwa makusudi ili mtumie kwenye rhetorics za genocide kwa kuwa kaka yake Londe aliuawa mwaka 1994 akiwa mtutsi pekee kwenye baraza la mawaziri la Habryiamana.Alitekwa na kuuawa yeye na mke wake raia wa Canada.

Sasa Kagame alijua Louise atakua bitter katika rhetorics za Genocide ndiyo maana akamteua badala ya kuteua wanadiplomasia wengine.Huyu mama kitaaluma kasomea public relations kwa hiyo intellectual pedigree yake inaweza kuwa questioned kwenye masuala ya kimataifa kwa kuwa anaweza kuwa na upungufu wa maarifa katika fani hiyo

Hajui waliommaliza kaka yake ndiyo waliomzunguka?

Run as fast as you can MwanaCHADEMA mwenzangu.Kweli sasa nimeamini kuwa ukishajiweka upande wa maCCM katika jambo lolote lile uwezo wako wa kufikiri la zima ushuke tu.Nashangaa unamshangaa yule Mama wa Rwanda kuwa Waziri Mambo ya Nje,Je JK wakati huo akiwa katika Wizara hiyo alisomea nini?
 
Huyu dada yake Londe Ndasingwa aache kutumia emotions.Huyu Mama aliwekwa katika hiyo position na Kagame kwa makusudi ili mtumie kwenye rhetorics za genocide kwa kuwa kaka yake Londe aliuawa mwaka 1994 akiwa mtutsi pekee kwenye baraza la mawaziri la Habryiamana.Alitekwa na kuuawa yeye na mke wake raia wa Canada.

Sasa Kagame alijua Louise atakua bitter katika rhetorics za Genocide ndiyo maana akamteua badala ya kuteua wanadiplomasia wengine.Huyu mama kitaaluma kasomea public relations kwa hiyo intellectual pedigree yake inaweza kuwa questioned kwenye masuala ya kimataifa kwa kuwa anaweza kuwa na upungufu wa maarifa katika fani hiyo

Hajui waliommaliza kaka yake ndiyo waliomzunguka?

Kweli nyani haoni kundule, unatilia shaka uwezo wa kidiplomasia wa huyo mama huku wa Membe unauona perfect...
Kumbe Membe na mtangulizi wake Kikwete walisoma International relations kama Hillary Clinton na John Kerry, ha ha haaa, good good Jembe la Chadema
 
This is ridiculous!

Mimi nimekuwa nikijiuliza, hivi hawa Rwanda wanajiamini nini? Lkn nika note kuwa, there must be an elefant behind the hare. Kagame amejiamini kupita kawaida. Ni kweli, rais wetu ana mapungufu yake, lakini kauli za viongozi wa Rwanda zinafunua mapungufu yao zaidi kuliko ya rais wetu.

Actually hii ni hatari, nchi yetu inapozungukwa na watu ambao hatuko nao vizuri kidiplomasia,ref. Malawi and then Rwanda.

Mbaya zaidi, wakati tukisema Tanzania kuna amani, Kagame amekuwa akihusishwa na mambo mengi ya kigaidi katika nchi yetu. Kwa hali hii. Serikali yetu iwe makini sana kuzuia jambo lolote ambalo linaweza kuathiri umoja wa kitaifa, kwani kupitia nyufa zimezokuwa zikiachiliwa na serikali yetu,tunaweza kujikuta hawa majirani wetu wa mashaka, wanapitia humohumo kutudhuru, wakati sisi tukiendelea kujiamini kuwa tuna amani, hebu fikiria mabom ya arusha,nani mpaka sasa ameshawajua wahusika?

Kagame amefanikiwa kwa kiasi fulani kuimarisha umoja wa kitaifa ktk nchi yake, ila nchi yetu kila tunapoamka, ndo afadhali ya jana. Mara udini, uvyama, na kubwa zaidi, ufisadi baina ya viongozi wetu. Haya yanaathiri uzalendo wa raia, na utekelezaji wa haki,ambazo ni hatari ktk kipindi tulichonacho.

TAFAKARI! CHUKUA HATUA.........
 
MPIGA ZEZE

unajua nikuambie kitu, rais wetu ni kwel kabisa hukustahl kuwa rais lakn mimi binafs namuunga mkono kwa alyoyasema coz style hiyo hiyo unayomwona nayo kagame na kikundi chake cha kijesh waliyochukua nch ndio style wale wahutu nao watakuja kuichukua nch coz akina kagame wazaz wao walipigwa wakakimbilia kongo wale wazee wakaja kufa sasa watoto wamejikusanya wamerudi wamechukua nchi.

So, ushauri wa huyu mzee wetu nafikir alikuwa sahh tu. kuwa ili kuzuia hilo licje kutokea mbelen hawa wagomv wenu waiten mkae chin mkubaliane mjenge nchi yenu. cc tutawasaidia. hayo tu. coz pia ujue kwenye suala la upatanishi.

Ujue kuna kukubali kusiko kukubaliana.

Fikiri hata kabla ya yeye kutoa ushauri huo nini alikuwa amefanya ktk mgogoro huo baada ya miaka 17 ya mauaji ya kimbali He was foreigner minister 10 yrs then 6 yrs as president. Alipaswa kuwa amefanya mengi kama ni kuwasaidia Rwanda.

Ben et al, nataka mfikiirie zaidi kabla na baada ya ushauri wa jk kwa pk.
1) motive behind kwa tz kuchukua wapiganaji drc-ilikuw lini na uhusiano wetu na drc uko je ukilinganisha na Rwanda

2) Waraka na utafiti wa Mtikira kuhusu pk/Rwanda (note: Mtikira si kichaa na si mpinzani wa serikali kama ambavyo wengine tumedhani)- waraka huo ulitolewa lini na imemchukua muda gani kuufanhyia kazi.

3) Mahamuzi ya serkali kwa sasa ya ku-target mikoa ya kagera na kigoma na Geita-wahamihaji haramu. (Je ni wanyarwanda tu au na wengine- warundi, wakenya....). Ni kwa nini serikali ilione ilo sasa na si miaka iliyopita? Kuna wakati serikali inalala kulinda mipaka yake?

4) Nilini serkali itashugulikia suala la wahamiaji haramu kwa ujumla wake maana nasikia hata wachina wapo nchini? By the way wahamiaji haramu kwa mazingira ya tz ni nani? A joke qn to Ben8, kitu gani kinakutambulisha wewe kama mtanzania sasa hivi?. A serious note to your answer: Naomba international human rights watch wakawai kabisa maeneo ya operations Kagera, kigoma na Geita kuakikisha haki inatendeka ( gvt kuendesha operation hiyo kwa haki na si unyanyasaji-kumbuka polisi imeamliwa kupiga tu

5) Ujumla wa majibu na maswali mengine baadaa ya hayo ni kuwa: Hatua za serkali kwa sasa ktk mikoa hiyo ziko sahihi kama si provocation za vita ambazo zimeratibiwa kitambo; serkali itaimalisha ulinzi mipakani na ku-sort out issues zinazohusu uraia- nani mtanzania na kwa vitambulisho vipi? ; ku-revorke vitambulisho walivypewa wahamiji 1964/1972 hakitakuwa kipingamizi na kwenda kinyume cha mengi aliyoyafanya Nyerere...trend inaonesha tunataka kuonesha Nyerere was wrong...hii inafanywa na jk then atafuata el

6) Kama tukiingia vitani sasa na baada ya vita au ktk kutafuta suruhu ya vita hivyo sasa sababu zitakuwa zipi haswa? matusi ya pk, dharau za Wanyarwanda? Mgogoro wa drc?? na sababu zisitafutwe sasa? tunahitaji sababu za msingi kabla na wakati huu, then you will get my support. Hapo upo Ben et al?
 
Yaani kiwaziri cha kinchi kama Rwanda kinataka kumjibu Kikwete!!!

Kinchi unaki judge kwa udogo wake?! Mbona mna sema kina lisumbua Li nchi likubwa kama Kongo?! Tumieni akili na raisi wenu dhaifu...anaedai viongozi wa rwanda wana mtukana yeye na watanzania wote!!! Sijamsikia KGM akiwa tukana wa TZ yeye ana mdeal JK tu kwa kuropoka kwake!
 
Hivi ni lazima hata kama ze rais hatumpendi ndiyo hatukubali hoja zake zote?

"Nchi ngumu hii"
 
Back
Top Bottom