Rwandan Foreign Minister: Kikwete could be an FDLR sympathiser

Rwandan Foreign Minister: Kikwete could be an FDLR sympathiser

Hizo ni propaganda za wahutu hazina ukweli wowote. Habyarimana na Cyprian ntaryamira waliuawa na Jeshi la Habyarimana uwanja wa kanombe airport ambapo palikuwa panashikiliwa na majeshi ya serikali ya Habyarimana. bomu lililoitungua ndege liligunduliwa kuwa ni aina ya silaha iliyokuwa inatumiwa na jeshi la habyarimana na sio RPF
 
Back
Top Bottom