Rwandan Foreign Minister: Kikwete could be an FDLR sympathiser

Rwandan Foreign Minister: Kikwete could be an FDLR sympathiser

MPIGA ZEZE

I couldn't agree more with you... Ukweli utabaki pale pale kuwa KAULI katika ulingo wa kisiasa ni jambo muhimu sana achalia mbali swala timing na jinsi ilivotolewa.

Ni bahati mbaya sana serikali ya A4 ina record ya kukosa umakini ktk kauli kuanzia WM mpaka kinara mwenyewe. Issue ya mpaka na Malawi ni historical..lakini kwa jinsi A4 wanavyoli-handle limekua ni issue kubwa!kuna mifano mingi tu.

Nafikiri jambo la kujifunza kama JK binafsi na hata nchi pia.
 
Last edited by a moderator:
fikiri hata kabla ya yeye kutoa ushauri huo nini alikuwa amefanya ktk mgogoro huo baada ya miaka 17 ya mauaji ya kimbali he was foreigner minister 10 yrs then 6 yrs as president. Alipaswa kuwa amefanya mengi kama ni kuwasaidia rwanda.

Ben et al, nataka mfikiirie zaidi kabla na baada ya ushauri wa jk kwa pk.
1) motive behind kwa tz kuchukua wapiganaji drc-ilikuw lini na uhusiano wetu na drc uko je ukilinganisha na rwanda

2) waraka na utafiti wa mtikira kuhusu pk/rwanda (note: Mtikira si kichaa na si mpinzani wa serikali kama ambavyo wengine tumedhani)- waraka huo ulitolewa lini na imemchukua muda gani kuufanhyia kazi.

3) mahamuzi ya serkali kwa sasa ya ku-target mikoa ya kagera na kigoma na geita-wahamihaji haramu. (je ni wanyarwanda tu au na wengine- warundi, wakenya....). Ni kwa nini serikali ilione ilo sasa na si miaka iliyopita? Kuna wakati serikali inalala kulinda mipaka yake?

4) nilini serkali itashugulikia suala la wahamiaji haramu kwa ujumla wake maana nasikia hata wachina wapo nchini? By the way wahamiaji haramu kwa mazingira ya tz ni nani? A joke qn to ben8, kitu gani kinakutambulisha wewe kama mtanzania sasa hivi?. A serious note to your answer: Naomba international human rights watch wakawai kabisa maeneo ya operations kagera, kigoma na geita kuakikisha haki inatendeka ( gvt kuendesha operation hiyo kwa haki na si unyanyasaji-kumbuka polisi imeamliwa kupiga tu

5) ujumla wa majibu na maswali mengine baadaa ya hayo ni kuwa: Hatua za serkali kwa sasa ktk mikoa hiyo ziko sahihi kama si provocation za vita ambazo zimeratibiwa kitambo; serkali itaimalisha ulinzi mipakani na ku-sort out issues zinazohusu uraia- nani mtanzania na kwa vitambulisho vipi? ; ku-revorke vitambulisho walivypewa wahamiji 1964/1972 hakitakuwa kipingamizi na kwenda kinyume cha mengi aliyoyafanya nyerere...trend inaonesha tunataka kuonesha nyerere was wrong...hii inafanywa na jk then atafuata el

6) kama tukiingia vitani sasa na baada ya vita au ktk kutafuta suruhu ya vita hivyo sasa sababu zitakuwa zipi haswa? Matusi ya pk, dharau za wanyarwanda? Mgogoro wa drc?? Na sababu zisitafutwe sasa? Tunahitaji sababu za msingi kabla na wakati huu, then you will get my support. Hapo hupo ben et al?

zote unazotoa ni porojo
kwanza ameenza kushughulikia maendeleo ya ndani
kinachofuata ni siasa za nje (ili tufanye biashara na kulinda maslahi ya tanzania na watanzania congo ikizingatiwa congo ni mshirika wetu mkuu kiongozi wake amezaliwa na kukulia tanzania kwahiyo tunawajibika baadaya kutengeza barabara ,umeme fedha za obama zinakuja )
 
Fikiri hata kabla ya yeye kutoa ushauri huo nini alikuwa amefanya ktk mgogoro huo baada ya miaka 17 ya mauaji ya kimbali He was foreigner minister 10 yrs then 6 yrs as president. Alipaswa kuwa amefanya mengi kama ni kuwasaidia Rwanda.

Ben et al, nataka mfikiirie zaidi kabla na baada ya ushauri wa jk kwa pk.
1) motive behind kwa tz kuchukua wapiganaji drc-ilikuw lini na uhusiano wetu na drc uko je ukilinganisha na Rwanda

2) Waraka na utafiti wa Mtikira kuhusu pk/Rwanda (note: Mtikira si kichaa na si mpinzani wa serikali kama ambavyo wengine tumedhani)- waraka huo ulitolewa lini na imemchukua muda gani kuufanhyia kazi.

3) Mahamuzi ya serkali kwa sasa ya ku-target mikoa ya kagera na kigoma na Geita-wahamihaji haramu. (Je ni wanyarwanda tu au na wengine- warundi, wakenya....). Ni kwa nini serikali ilione ilo sasa na si miaka iliyopita? Kuna wakati serikali inalala kulinda mipaka yake?

4) Nilini serkali itashugulikia suala la wahamiaji haramu kwa ujumla wake maana nasikia hata wachina wapo nchini? By the way wahamiaji haramu kwa mazingira ya tz ni nani? A joke qn to Ben8, kitu gani kinakutambulisha wewe kama mtanzania sasa hivi?. A serious note to your answer: Naomba international human rights watch wakawai kabisa maeneo ya operations Kagera, kigoma na Geita kuakikisha haki inatendeka ( gvt kuendesha operation hiyo kwa haki na si unyanyasaji-kumbuka polisi imeamliwa kupiga tu

5) Ujumla wa majibu na maswali mengine baadaa ya hayo ni kuwa: Hatua za serkali kwa sasa ktk mikoa hiyo ziko sahihi kama si provocation za vita ambazo zimeratibiwa kitambo; serkali itaimalisha ulinzi mipakani na ku-sort out issues zinazohusu uraia- nani mtanzania na kwa vitambulisho vipi? ; ku-revorke vitambulisho walivypewa wahamiji 1964/1972 hakitakuwa kipingamizi na kwenda kinyume cha mengi aliyoyafanya Nyerere...trend inaonesha tunataka kuonesha Nyerere was wrong...hii inafanywa na jk then atafuata el

6) Kama tukiingia vitani sasa na baada ya vita au ktk kutafuta suruhu ya vita hivyo sasa sababu zitakuwa zipi haswa? matusi ya pk, dharau za Wanyarwanda? mgogoro wa drc?? na sababu zisitafutwe sasa? tunahitaji sababu za msingi kabla na wakati huu, then you will get my support. Hapo hupo Ben et al?
1.We supported Kabila senior since the 60s, after the assasination of Patrice Lumumba. The aim was to establish a Socialist and democratic Congo, with the help of Che Guavara and Cuban Special forces, it didn't work because of the lack of committment from Kabila Troops coupled with CIA and other mercenaries supporting Mobutu. We were involved in the march to Kinshasa and subsequent training of Congo forces for a short period, before Kabila, walked out of the power sharing meeting held at Dar es salaam Sheraton Hotel. We somehow disowned him and RPF took over the military operations under Kabila.

2.Labda ungetuambia, kuhusu Mtikila, ila Ngara,BIHARAMULO na Geita zimekuwa over saturated na illegal immigrants. Siyo Mtikila peke yake hata wakazi wengi wa wilaya hizo wamekuwa wakilalamika .. crimes, land disputes, corruption etc. Something has to be done, dont you think?

3. Kwa watanzania, ni rahisi sana kumjua mhamiaji. Kwa mfano wewe ni mhamiaji, siyo mtanzania. We can easily spot them, ukiwa mtulivu poa, ukileta chokochoko huwa tunakuwa na roho mbaya sana, naomba mungu aepushie mbali.

4. Kuhusu mgogoro, we USED TO love and admire Kagame as a no nonsense president, he curbed corruption and helped change Rwanda a lot, we wanted a president like him. We used to (just few months ago) think that he's just like one of our own, we harbored RPF fighters. Kagame speaks good swahili na hata kwata za RPF zinapigwa kiswahili, wewe unadhani kuna kwata ya kitusi kwenye trainings za M23?, RPF?, NRA? .... HATA MAHI MAHI NA iNTERAHAMWE KWATA ZAO siyo za kiswahili.
Tunajua kuwa tumewatrain RPF, directly or indirectly, tumewakalisha na Habraymana na tumewafavor RPF from day one. Museveni is our own too, JWTZ, RPF na NRA NI brothers at arms kama walivyo FRELIMO na MPLA na SWAPO au hata ZANU fighters.... why would we want anything bad to happen to Rwandese??

AMEHARIBU NA AMEPOTEZA Heshima iliyokua mioyoni mwa watanzania, Tanzania is the most patriotic, the most Pan Africanist and above all those, the most blessed geographically and tactically to smash any surrounding "Districts" that dare disrespect, cause harm and/or move an inch of our borders ..... what makes it dangerous is, we know that and we grew up knowing that.

YOU GUYS NEED TO REALLY CHECK YOURSELVES, TALK TO YOUR COUNTRYMEN ....
 
Kinchi unaki judge kwa udogo wake?! Mbona mna sema kina lisumbua Li nchi likubwa kama Kongo?! Tumieni akili na raisi wenu dhaifu...anaedai viongozi wa rwanda wana mtukana yeye na watanzania wote!!! Sijamsikia KGM akiwa tukana wa TZ yeye ana mdeal JK tu kwa kuropoka kwake!

Wewe acha kuwa na akili za Bavicha. Hakuna kitu kinaitwa kudeal na Kikwete alone. Anayedeal na Kikwete anadeal na watanzania.

Amka toka usingizini...
 
Kikwete alikuwa Waziri wa mambo ya nje kwa miaka 10, alikuwa na degree ya nini?

Mimi sioni sababu ya kuamplify hii issue. Kwanza tuangalie matusi ya kagema kwa Dr. JK. Tujiulize haya kwanza, ni matusi managapi amepata mh kutoka hapa nchini, na what was his reaction so far? Pili ni kitu gani kinafanya Dr JK achukie haraka sana hata kuliko watu ambao wamefanya haya kwa taifa letu:
1. passport zetu hazina thamani kwani hata wanigeria wanazo, ukienda western union unakuta wantuma pesa wakiwa TZ pssport.
2. swala la madawa ya kulevya limeifanya Tanzania kama shimo la takataka. Kwa nini asitumie hata JWTZ kuhakikisha latila muda mfupi wanashikwa wote regardless wana vichwa vingapi.
3. kukubali mikataba as if kama sisi kama nchi hatuna uwezo wa kusema hapana!!!! Mchina akija kwetu inabidi akubali masharti yetu au Mjerumani akija lazima tumwambie tunataka nini! sasa angalia Dr na ndugu zake wenye pHd Holders wanavyotishiwa na mtu yeyote il mradi ana rangi nyeupe! Sasa Kagame inakuwaje iwe ndiyo tishio la Tanzania?
4. Jiulize wewe kama mtanzania mzalendo: Kagame akitangaza vita na Tanzania kweli unahitaji maandalizi ya siku ngapi kuwanyamazisha wanyarwanda?
Ndugu zangu watanzania tuangalie zaidi mbele kwani hapa kuna mchezo mbaya amboa at the end of the day tutaumie sisi wenyewe!!!!
 
Kazi za waziri wa eac sitta ni nini????? Vikao vinafanyika ata kutoa taarifa; toa msimamo wa serikali anakaa kimya; sioni kwa akili yangu anamkomoa jakaya kikwete ila anakomoa watanzania. Rwanda waziri na anajibu kwa niaba ya rais kp
Hawa watu huwa hawakurupuki tu na kuanza kuongea chochote kinachowajia kichwani.Ni mpaka atumwe na rais wake ndio aongee.Hata alichokisema waziri wa Rwanda kimetoka ama kina baraka za Kagame.
 
MPIGA ZEZE

Mkuu nimekusoma vema ila sikubaliani na wewe,kikao kilichozua mtafaruku huu kilikuwa kujadili vita vinavyoendela eneo la maziwa makuu na maraisi wa hizo nchi husika,JK akaja na hilo wazo,kosa lake hapo ni nini???kwenye kikao hicho PK hakusema lolote akasubiri akasemee nyumbani,mbona Mseveni hakuhamaki.

Kama kila rais atakuwa anafanya kwa staili ya PK huoni EAC nitakufa kifo cha mende na nchi kuishia kupigana??mimi ni CDM damu lakini katika hili niko na raisi wa nchi yangu.

Udhaifu wa JK wa ndani ya TZ haumfanyi awe dhaifu kwa lolote analosema akiwa na maraisi wenzie. Issue ya mfano wa wanafunzi kupewa mimba weka pembeni jadili hili kwanza kwani kukosa moja ndio kukosa yote? Ni bora yupi kati ya hawa maraisi aliyeshauri au aliyeishia KUTUKANA NA KEJELI NYINGI???
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Samuel Sitta anahusikaje?

Kazi za waziri wa eac sitta ni nini????? Vikao vinafanyika ata kutoa taarifa; toa msimamo wa serikali anakaa kimya; sioni kwa akili yangu anamkomoa jakaya kikwete ila anakomoa watanzania. Rwanda waziri na anajibu kwa niaba ya rais kp
 
Kinchi unaki judge kwa udogo wake?! Mbona mna sema kina lisumbua Li nchi likubwa kama Kongo?! Tumieni akili na raisi wenu dhaifu...anaedai viongozi wa rwanda wana mtukana yeye na watanzania wote!!! Sijamsikia KGM akiwa tukana wa TZ yeye ana mdeal JK tu kwa kuropoka kwake!

Kwa asiyefahamu taaisisi ya uraisi na mtu binafsi ni vigumu kuelewa jambo hili.....? Kama alimsema binafsi kwanini Membe alilijibu bungeni? Kikwete alikwenda kuongea AU kama mtu binafsi au Rais wa Tanzania...? Kweli ww ni Mzizi wa Mbuyu......wataalamu wa miti wanasema mbuyu ni mti ambao uko upside-down...!
 
Issue ndogo sana hizi, tatizo watz hatuna utamaduni wa kupingana hadharani na ndio maana kauli ya Kagame na viongozi wenzake inaumiza vichwa watu, sie tumezoea kupoza mambo mtu akisema uongo tunaambiwa sio lugha nzuri sema hajasema ukweli. Hapo ni kupiga kimya au unazijibu hoja kwa roho safi bila kuyaweka moyoni. Watz tukitofautiana kauli za kiutendaji huwa tunaumia na kuathiri hata mfumo wa maisha yetu lakini wenzetu mkitofautiana kwenye issue za kiutendaji baadae kwenye other issues mambo yanaendelea mengine kama kawaida
 
Baadhi yetu tulishasema mapema kuwa RPF na Paul Kagame ni hatari kwa eneo hili la KANDA ya maziwa makuu. Hapana shakka yoyote ile kuwa PK ni dictator na murderer. Mikono yake imejaa damu. HaKuna shaka kabisa kuwa ikiwa PK ataachiwa aendelee hivi bila 'kuchukuliwa hatua' tuko hatarini kwa suuala la amani.

Je, mnafahamu ni nani alimuua Laurent Kabila? Ni nani aliwaua kwa kutungua ndege iliyombeba Habyarimana na Rais wa Burundi? Ni nani alimuua kiongozi wa kwanza wa RPF? Sasa PK amemtishia maisha JK, tena bila hata aibu. Miezi michache kabla ya Laurent Kabila hajauawa, PK alitoa vitisho kama hivyo. Hivi PK ana tofauti na waliofanya genocide ya mwaka 1994?

Watanzania itabidi sasa tuwe macho. Nchini mwetu kwa sasa wako symphasizers wengi wa PK na Rwanda. Baadhi wamo mpaka serikalini na wengine mpaka kwenye vyombo vya dola. Ni hatari. PK ni lazima awaajibishwe.

Kimahesabu ni rahisi kuuondoa utawala wa PK. Unashamb ulia kugtoka pande tatu au nne. Unashambulia kutoka Congo, Tanzania na Burundi na pengine kutoka Uganda ingawa Museveni haaminiki. Haiwezekani watu milioni moja na nusu watawale watu milioni nane.
 
Huyu kagame si alikuwa msituni na anahusika na mauaji ya hao wanyarwanda kama inavosemekana?
since aliingia kwa damu madarakani kiburi chake hakiwezi kwisha.
ajiangalie sana kwani Ghadafi was like him, yuko wapi sasa?
how can u be a good president if yu dont side with your enemies?

Unapo mulika nyoka lazima uanzie miguuni mwaka. Kwaani Kagame anatofauti gani na Kikwete? Hakuna tofauti yeyote baina yao. Kagame hataki kuongea na wapinzani wake vile vile kikwete hataki suluhu na waapinzani. Mbaya zaidi kikwete anatumia green guard, polisi, usalama wa Taifa kuua watu (mwangosi), kungoa meno watu bila ganzi (Kibanda), kupiga mabomu kasha kuua raia wasio na hatia (arusha, mtwara nk). Hivyo hana ubavu wa kumshauri Kagame- dume la siafu.
 
mnaomtetea kikwete akili zenu ni kama za kikwete mwenyewe.. you all FDLR sympathisers..!!

sidhani kama umesikiliza vizuri maelezo ya watu humu: hapa kuna wakosaji wawili

Kosa N0. 1: Kagame hataki kufanya mazungumzo ya wabaya wake. Hilo ni kosa. Kagame si mtu wa amani. Kikwete hakufanya kosa kumshauri kuzungumza.

Kosa N0. 2: Kikwete anakandamiza Demokrasia ndani ya nchi yake na kuua watu kisiasa.

Haya ni yote ni makosa. Sasa mimi kama Mtanzania nachukua msimamo gani kuhusu makosa haya mawili?
Kila kosa nalipa adhabu inayojitegemea. Namlaani Kagame kwa kosa la kukataa kuzungumza na adui. Na hili ndo wengi humu tumekuwa tunafanya--kumlaumu kagame.

Lakini pia tunamlaumi Kikwete kwa kukandamiza democrasia. Lakini haya makosa mawili ni mutually exclusive. Kila moja linajitegemea. Kwenye ngazi ya kimataifa, sisi watanzania tutaungana kuwa kitu kimoja kutetea nchi yetu hata kama huku ndani tuna matatizo. Familia nyingi duniani hufanya hivyo. Mgeni akileta zongo nje ugomvi wa baba na mama unakoma tunahamia kwa umoja kwenye ugomvi unaletwa kutoka nje.

Kwa hiyo kaa chonjo. Pakitokea haja ya vita ujue vyama vyetu 22 vitakuwa kitu kimoja kuwashushia kichapo. mambo yetu ya hapa ndani hayawahusu!
 
Back
Top Bottom