Beba jina lolote hapo zama nalo Forbes huko utakutana na kasheshe zao
Na hapo Kuna matajiri kibao hawapo.
Mfano huyo Awadhi (mmiliki wa Like Oil), baba yake ndie mmiliki wa Azania , hii kampuni iko kwenye mataifa 5. (Ni msiri mno), Kaka yake pia nae yuko kwenye logistics...trucks Kama utitiri, wako kimyaa, kina Jitu Patel etc etc
Mfano kwenye sector ya logistics..kampuni zenye gari kuanzia 400+ ni nyingi mno , nyingi mno kwa hapa tz.. ( wastani wa gari 7 tu za mizigo wewe tayari ni millionea) mataifa yote yaliyo tuzunguka, Rwanda, burundi, Uganda , Zambia na congo tunawahudumia sisi, Zaid ya 90% ya mizigo inayoenda huko ni kampuni za hapa hapa, ..Hilo ni eneo moja tu , sijazungumza sehemu nyingine
Tofauti kubwa kati yetu sisi na nyie ni "KILELE" Yani kwenu kitu kidogo tu dunia nzima inajua , sisi huku kwetu hakunaga hiyo , ni wachache mno utawaona mitandaon huko , ni nadra Sana kupata hata details zao , ngumu mno , watu Wana keep low profile
Utajiri wenu unamilikiwa na WANASIASA huku kwetu Wafanya biashara
Sent using
Jamii Forums mobile app